kitabu cha Baba

8.5K posts

kitabu cha Baba banner
kitabu cha Baba

kitabu cha Baba

@KitabuchaBaba

Self discipline/wealth & wisdom/Acceptance/Awareness

🇪🇸🇹🇿 Присоединился Temmuz 2024
2K Подписки1.8K Подписчики
Закреплённый твит
kitabu cha Baba
kitabu cha Baba@KitabuchaBaba·
Mjali mama ako hana copy
kitabu cha Baba tweet media
8
31
723
28.4K
kitabu cha Baba
kitabu cha Baba@KitabuchaBaba·
Zamani niliambiwa Tanga, hata kifuu cha nazi ukikipiga teke, kinakwambia ukirudishe ulipo kitoa. Hivi ilikuaga kweli???
Indonesia
0
1
2
75
killo_Killotz
killo_Killotz@killo_killo11·
Tanga kumejaaliwa kwa mandhari nzuri buana Natural is beaut😍
killo_Killotz tweet media
Filipino
4
9
35
375
kitabu cha Baba ретвитнул
𝐀𝐲𝐨 𝐃𝐢𝐦𝐞𝐣𝐢
Bila hii NSSF sijuwi ingekuwaje aisee watumishi wengi wangeaibika baada ya kumaliza kazi.
Indonesia
7
8
58
1.8K
HAPPNES MLAY
HAPPNES MLAY@Happinesmlay·
Leo toka asubuhi lips zangu zinacheza upande mmoja hadi naogopa🥹🥹 Hii hali husababishwa na nini?
Indonesia
33
11
68
3.6K
kitabu cha Baba ретвитнул
Jumble
Jumble@JumbleJumbeg9fu·
Hakuna kifo, hakuna ugonjwa na hakuna uovu utakaokuja nyumbani kwako mwezi wa Mei. Amina!
Indonesia
5
9
40
456
kitabu cha Baba ретвитнул
precious”11:11🌸
precious”11:11🌸@iamdoll__·
Dada kama boyfriend wako anajipost status kila siku kama tangazo la selengeti lite , Ukiwa unasali usiache kulia sana💔😹😹😹😹😹
Filipino
8
12
34
521
Nkota
Nkota@xlusako·
Mke wangu anataka kuniogesha kwa nguvu nifanyeje?
HT
26
20
65
1.9K
SIAH☺+255
SIAH☺+255@MalkiaTabasamu·
Taasisi ipi ya serikali haipendwi na Raia Tuijue leo Hapa 😊😁
Filipino
32
22
115
4.5K
kitabu cha Baba
kitabu cha Baba@KitabuchaBaba·
Kama mkeo ni mjamzito , na mambo yako hayaendi, Believe me Bro, mwanamke sio mpumbavuu huyo mtoto si wako🙂‍↕️🙂‍↕️ Ukweli mchungu
Filipino
0
1
2
24
kitabu cha Baba ретвитнул
Being 6 💊💉🌡️🩺
Mchawi huwa anaanza na vitisho akikutisha usipotishika anakuroga na hata ukitishika anakuroga zaidi utachagua wewe 🤣🤣🙌
Filipino
1
3
12
157
kitabu cha Baba ретвитнул
Tinah Mamantilie~mantilie wa X🥰
"Mantilie hv unafanyaga delivery "? ~Yap tunafanya km ni karibu na Sgr mahali pa kutembea tu Unaletewa chakula bila gharama . Pa kuhitajika boda utalipia Boss wangu. 📞📞Simu za ma site ziite Matajiri Shibisha mafundi wako wakutolee kitu kimenyooka😊😅 Mafundi washibe.
Tinah Mamantilie~mantilie wa X🥰 tweet media
Indonesia
5
22
84
1.3K
kitabu cha Baba ретвитнул
#Dr Gudume The PDF Guy 🇹🇿
Utafurahi sana kudate demu wa kizungu mpaka pale atakapokwambia “we need to talk”😭
Indonesia
6
10
84
4K
Tinah Mamantilie~mantilie wa X🥰
Ukifika Sgr station Dodoma ..geti hili pa kutokea magari.. Upande wa kulia utaona sehemu wanauza Juice frsh 😊 Karibuni sana ..Sgr pia kuna fulsa nyingi kwa wewe kijana mtafutaji👊 ~Hakuna fundi viatu hapa (fulsa) ~Eneo hili lina watu wengi lkn hakuna maabara(fulsa)
Tinah Mamantilie~mantilie wa X🥰 tweet mediaTinah Mamantilie~mantilie wa X🥰 tweet media
Indonesia
30
71
358
16.4K
kitabu cha Baba
kitabu cha Baba@KitabuchaBaba·
@Innocen89950594 Kula Milo mitatu ya kueleweka, USITUMIE pombe Soda Sigara/Bangi Maharage Dagaa Nanasi Viporo Ata usipo tumia dawa utapona
Indonesia
1
0
0
59
kitabu cha Baba
kitabu cha Baba@KitabuchaBaba·
@Tinahcristiaan Sawa nitakuja kusavay, nipitie na tufinyango tuwili,tutatu mgahawani🙏😅
Filipino
1
0
1
10