
BARCABLOOD
1.8K posts

BARCABLOOD
@MJAPANI11
@BarcelonaFC fan a degree holder with no any experience or money but with a lot of knowledge 😁💙🟣🔴❤️🟣 always culer,here for enjoyment and making friends💙🔴


Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limewakata Watu wanne kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya raia wa China, Baozhang Ge. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, SACP Jummane Muliro amethibitisha kukamatwa kwa Watu hao katika maeneo tofauti ndani ya Tanzania ambapo walithibitha kuhusika na mauaji hayo pamoja na kuchukua kiasi cha fedha shilini milioni tisa. Baozhang Ge alikuwa Mmiliki wa Kiwanda cha Kuchakata Makopo maeneo ya Mabibo, ambapo aliuawa Mei 16, 2026. #MillardAyoUPDATES



"We had a choice, it was a very easy one and a very quick one." Thomas Tuchel says Declan Rice is "one of the very best midfielders in Europe" after explaining why he chose the Arsenal midfielder as his vice-captain 🏴





MAC ALLISTER WITH ONE OF THE MOST OUTRAGEOUS MISS YOU’LL EVER SEE😭😭




















