Закреплённый твит
bullet🇹🇿
470 posts

bullet🇹🇿
@MussaShauri03
in god i trust!
Dar es salaam Присоединился Nisan 2024
179 Подписки45 Подписчики

@killerNegan1 @ddaniels_k @Elsukay0 Never outshine your master” ukitaka kufanikiwa na kuwa karibu na mamlaka usi wa outshine kuwa lowkey nahisi now umemuelewa
Filipino

@ddaniels_k @Elsukay0 Sasa hapo nani ni mjinga kati yake na wewe kichwa box 🚮
Indonesia
bullet🇹🇿 ретвитнул

@MwambogelaI @Allan_Lucky Kupitia huko kugawanyika na kukosa uongozi ndo sababu mpaka leo walibya wanaamini walifanya makosa kumuondoa ghadafi, kwa kuhofia kurudishwa kwa damu yake ndo maan unaona watoto wake wanauliwa kwa sababu wapinzani wanajua wanaushawishi
Filipino

@MussaShauri03 @Allan_Lucky Nchi kugawanyika ni sababu hakukua na succession plan. Hata leo utawala wa North korea ukianguka lazima nchi iingie kwenye machafuko sababu hakuna utaratibu wowote
Indonesia

Kwa wasomi wa vitabu, tafuteni kitabu kinaitwa 'The Return' kimeandikwa na Hisham Matar, kijana wa mmoja wa wapigania haki wa Libya waliopelekwa uhamishoni Egypt na baadae kuuawa kwa maelekezo ya Muamar Gaddafi.
Wakati nje ya Libya Gaddafi alionekana kiongozi shujaa mwenye maono, kuna walibya ambao waliteseka sana chini ya uongozi wake.
Nina rafiki Mlibya ambaye akikusimulia maswaibu ambayo jamii yake waliyapitia, mpaka huwa anatoa machozi.
Hakuna kiongozi asiye na mawaa nyumbani kwake, na wengi hufanya maovu makubwa kama ambayo tunayashuhudia kwenye nchi mbalimbali, lengo ni kulinda nguvu walizo nazo au maono yao, kwa kigezo cha maslahi ya nchi zao.
Na hata kama ukawa mzuri nje, uovu wako ndani utakuangusha tu. Ubaya ni kwamba watu wa nje huwa hawaoni machungu ya waliopo ndani.
Disclaimer: hii haimaanishi kwamba nasapoti uvamizi wa Marekani kule Libya au popote pale duniani, ni ukweli usiopingika.
Indonesia

@MwambogelaI @Allan_Lucky Unahakika wa libya hawamsifii?? Unajua kwann watoto wake ambao watu walikuwa wanaamini watateuliwa kuwa viongozi wamuuwawa wote??
Mpaka leo libya hamna raisi nchii imegawanyika na waliby wanamlilia ghadafi fatilia mambo
Indonesia

@Allan_Lucky Mitandaoni humu tunaomsifia ghadafi ni sisi Sub-Saharan africa tuu ila huwezi kutana na wananchi wa Libya wenyewe wakimsifia hata siku moja. Kuna mambo mengi ya hovyo jamaa alifanya na raia hawakua proud nae kabisa
Indonesia
bullet🇹🇿 ретвитнул
bullet🇹🇿 ретвитнул
bullet🇹🇿 ретвитнул
bullet🇹🇿 ретвитнул
bullet🇹🇿 ретвитнул

















