chrispine clement
175 posts

chrispine clement
@chrispineclemen
|| i entertain positive progress only || i believe in Jesus Christ 👆we all here to save the world,
Dar es Salaam, Tanzania Присоединился Ağustos 2013
193 Подписки11 Подписчики

@zittokabwe @jumuiya Mjadala wa sasa ni Mombasa Refinery au Tanga Refinery
Filipino

Kama Tanga Refinery itamilikiwa na Mzee Dangote kwa 50%, Serikali za Afrika Mashariki kwa 25% na Wananchi wa nchi za @jumuiya kwa 25% maana yake ni kwamba kila mwananchi awe na haki ya hisa 1 sawa na usd 12.5 ( shs 30,000). Inaweza kuwekwa sokoni EAC kote a Tanga Refinery Bond!
Filipino
chrispine clement ретвитнул

@Roma_Mkatoliki Serikali inafanya KAZI na mashirika ya kifedha ya ndani na ya nje. Kama haitotoa ukaguzi wa matumizi yake ya fedha.. hayo mashirika yatashindwa kuiamini serikali.
i.e IMF wanatoa mikopo kuja Tanzania lazima waone uwajibikaji ili waendelee kukupa pesa.
Indonesia

Maeneo mengine mengi wanavunjaga katiba na wala hawajali!!
Lakini kwanini kwenye report ya CAG kuwekwa hadharani ufisadi wanaofanya hapa huwa nini kinatokea??🤔
Sawa ni takwa la kikatiba, but kwani wao huwa wanajali kuvunja katiba?🤔
Kwanini kwingine wavunje lakini when it comes kwenye report ya CAG wanaachia madudu yaonekane yasikike!?? WHY?
Hata kama hawawajibishwi, lakini kwann hapa huwa wanaruhusu!!?
Mtu anielekeze kwa lugha ya kiustaarabu…..Nimefunga
Indonesia

@INFLUENCERjr "we are just a spark" sisi ni kama cheche tu muda wowote tunazima.. binadamu hutakiwa kujikweza sana huna hati miliki ya maisha, Mungu ndio kila kitu.
Indonesia

@mlinganya Nakubali consistency yako.. Kuna namna malaya walikukosea, huachi kuwasema kila siku..
Filipino

"Huyu demu amelala na wanaume watatu tu na amenyooka kwangu naona anafaa"
Unajidanganya bro. Hata Pentagon USA wana kila aina ya technology ila kamwe hawawezi leta kifaa cha kupima idadi ya wanaume waliomgonga demu.
So ili kurahisisha na kujiondolea wasiwasi oa bikira. Bikira peke yake ndiye mwenye uhakika wa idadi kuwa ni 0.
Ni ujinga wa hali ya juu kumuuliza mwanamke asiye bikra idadi ya wanaume waliomgonga maana hutojua kamwe na hata ukijua itakusaidia nini? Wewe beba kahaba weka ndani
Indonesia

FREE TO PLAY sasa inapatikana SportPesa. Cheza GOAL RUSH BURE leo kwa kubofya HAPA! #MamilioniNaGoalRush
sportpesa.co.tz/goal-rush/refe…
Indonesia

@DeptofWar Mungu akuumba Dunia hiwe uwanja wa vita.. mlaaniwe wote mnaoshabikia vita!!
MATAKO YENU
Indonesia

@IAMartin_ @grok Kwa mkutadha huo, je wanaweza kuja na shahidi mpya, mwenye ushahidi wa matukio ya uchaguzi na mahakama ikampokea?
Indonesia

Kimsingi Mahakama Kuu imezima jaribio la Serikali la kutaka kuingiza mambo ya Oktoba 29 kwa mlango wa nyuma. TAL amewalazimisha Jamhuri kurejea katika mstari wa kesi (mambo ya April wakati anakamatwa) siyo (mambo ya Oktoba akiwa gerezani). Baada ya Mahakama Kuu kusema Notice of Additional Witnesses (ushahidi wa nyongeza) chini ya kifungu cha 308 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (Criminal Procedure Act - CPA) iliyoletwa na upande wa Jamhuri ni incompetent (haina sifa wala uwezo wa kusimama mbele ya sheria) na kwamba kifungu cha 308 CPA hakiruhusu upande wa mashitaka “kuboresha” ushahidi wao katikati ya kesi kwa kutumia shahidi yuleyule. Baada ya notisi yao kufutwa (struck out), upande wa Jamhuri ukatakiwa kuleta shahidi kesi iendelee, wakasema shahidi wao hawajamuandaa. Hapa ndipo Tundu Lissu alipowaka kama mbogo na kupinga hairisho na kutaka Jamhuri walete shahidi kesi iendelee. Upande wa Jamhuri wamechanganyikiwa na wameomba muda wa “kutafakari.”. Mahakama ikawapa muda wa dakika 40, watafakari. Tunasubiri. TAL anajua kuwa Serikali haina mashahidi wengine waliojipanga vizuri kwa sasa nje ya ule ushahidi wao wa “matukio ya Oktoba 29” ambao umekataliwa Mahakamani. TAL anasisitiza kesi iendelee. TAL anawaweka upande wa Jamhuri katika shinikizo (pressure) la kuleta ushahidi uleule wa mwanzo uliodhoofika. Hawana ushahidi na shahidi wa msingi.
Indonesia
chrispine clement ретвитнул

@KiandaWa14 jiulize kwanini waislamu wanaruhusiwa kuoa wanawake 4, ata kwenye biblia kabla ya yesu kuja walikua wanaoa wanawake wengi..
Kaka wanawake ni starehe yetu..kama unawezo wewe oa wengi tu..
Indonesia

@chrispineclemen Kaka hii sikubaliani na ww hata kidogo, being a womanizer is an choice coz unaweza ji control lakin ukiendekeza hizo tabia ukazihalalisha basi utakuwa ivyo daima
Indonesia

@emabilly2001 Bill gate alitalikiana na mke wake..
Hakimi alitalikiana na mke wake..
Hao wote ni watu wenye pesa..
pesa ni muhimu ila si kila kitu.. acha kudanganya watu..
Indonesia
chrispine clement ретвитнул

@ReganTesla_ 1👍 analysis ya malezi ni muhimu bila kuendekeza hisia
# wazazi wake wamemlea wakiwa pamoja 👍
# wazazi wake wameishi Kwa hofu ya Mungu 👍
# mama yake ni submissive Kwa baba yake, ata mtoto ata copy iyo nadhalia.
NB: zipo exceptional akawa hana sifa hizo. ila akawa mcha Mungu
Indonesia

Ndoa kudumu ni matokeo ya mambo mbali mbali..
1-Malezi ya Wanandoa
2-Utimamu wa mwili na akili
3-Uwezo wa kiuchumi
4-Imani
Unaweza kutafuta Mke au Mume ukampata mzuri tu lakini ukakosa hivyo hapo juu ndoa ikakushinda.
Ndio maana unaweza kuona mimi nadumu na Mke wangu ila nikikupa wewe Mke huyo huyo baada ya mwezi tu unaweza kumrudisha na magoti amekushinda.. 😀
Gonga jr@PanganiC
@Your2qh Brother @ReganTesla_ tunaanzia wap hapa
Indonesia

@winstone_nnko Wewe Chatgpt wapo vizuri kuliko grok.. chatgpt wanafanunua Kwa lugha ya layman.. ila grok hadi uwe kichwa hasa ndio unawaelewa..
Indonesia

@chrispineclemen @Kimbesa11 @MwananchiNews @ChademaTZ2 Sahv chama kikuu ni Chadema ila chama kikuu cha upinzani ni ACT
Eesti

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche ametaja mambo mawili ambayo yataisaidia chama hicho kufikiria kushiriki katika maridhiano yaliyotangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Akifungua Bunge la 13 Novemba 14, 2025 mjini Dodoma, Rais Samia alitangaza kuundwa kwa tume ya kuchunguza vurugu za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2026 zilizozua vifo, majeruhi na uharibifu wa mali, akisisitiza kuwa hatua hiyo itaweka msingi wa mazungumzo, amani na maridhiano ya kitaifa. Rais alisema Serikali itaendelea kunyoosha mkono wa maridhiano kwa wadau wote wa kisiasa.
Katika mahojiano maalumu yaliyofanyika Februari 10, 2026 jijini Dar es Salaam, Heche amesema ili Chadema ifikirie kushiriki katika maridhiano, sharti la kwanza ni kuachiwa huru kwa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, ambaye kwa sasa anakabiliwa na kesi ya uhaini na kutoa taarifa za uongo. Amesema Lissu ndiye mwenye mamlaka ya kuongoza maamuzi ya chama kuhusu kushiriki au kutoshiriki mazungumzo hayo.
Soma zaidi mwananchi.co.tz/mw/habari/sias…
Indonesia

@Mnyamaa3 @Kimbesa11 @MwananchiNews @ChademaTZ2 ACT ushawishi wao huko wapi?? wewe unupimaje?
mbona kwenye kampeni zizopita chadema ndio ilikua inaongelewa zaidi na ccm wenyewe.. agenda zilizotrend zaidi ni mbili KAZI na UTU na ile ya No reform no election.
Indonesia

@Mnyamaa3 @MwananchiNews @ChademaTZ2 Inshort washiriki/wasishiriki hawana uwezo wa kuzuia shughuli za kitaifa kufanyika.
Indonesia

@RevocatusMagum1 ukitaka kumpima okello kama kafeli subiri Yanga irudi kucheza mechi za ligi!! libase amecheza mechi mbili za ligi ya mtibwa na kmc, okello kacheza moja tu ya mtibwa na wakashida 6.
Kumpima okello kwenye mechi za alhly au far rabati unamuonea.
Libase mechi za kimataifa kafanya.
Indonesia












