COTWU TANZANIA
61 posts

COTWU TANZANIA
@cotwu
Trade Union, Affiliated to Trade Union Congress of Tanzania (TUCTA), and International Transport Workers' Federation (ITF).
Присоединился Mart 2021
0 Подписки17 Подписчики

Je unahitaji kujua zaidi juu ya Elimu ya kazi ulimwenguni? Kumbuka masuala ya Wsfanyakazi ni taaruma. COTWU (T) inakuleta fursa tajwa hapo juu. COTWU (T) - Mwanachama kwanza. instagram.com/p/ClgI3AYt1wh/…
Indonesia

Je wewe ni Mfanyakazi wa Sekta ya Mawasiliano na Uchukuzi (Usafirishajia) Tanzania? Jiunge na Chama Cha COTWU(T) Kwa huduma bora na maisha yenye Staha Kazini. Wasiliana nasi Kwa ushauri na Maelezo ya Ziada. instagram.com/p/CjvlUWOovcJ/…
Indonesia

COTWU - TANZANIA KWA AJILI YA USTAWI WA WAFANYAKAZI TANZANI instagram.com/p/CiuVRQqDoF5/…
Indonesia

COTWU (T) inaendelea na VIKAO VYAKE VYA KIKATIBA JIJINI DODOMA yaani Kamati ya Utendaji na Baraza Kuu Katika Hotel ya FOUR POINTS DODOMA, Dondoo za Vikao hivyo zitakujia baadaye katika kurasa hizi cha Chama. instagram.com/p/ChHeZ3nDV3c/…
Indonesia

COTWU (T) Imeshiriki Semina ya Vijana iliyoandaliwa na SHIRIKISHO LA VYAMA vya Wafanyakazi TUCTA iliyofanyika katika Ukumbi wa MAMLAKA YA AFYA NA USALAMA KAZINI (OSHA) - Dar es Salaam. instagram.com/p/CeyKJKLjN1n/…
Indonesia

Katika Picha ni baadhi ya Wanachama wa COTWU (T) katika Kikao maalumu cha Tathimini juu ya Kima cha Chini cha Mshahara kwa Sekta Binafsi katika Hotel ya Golden Turip Jijini Dar es Salaam. instagram.com/p/CenyhtGjkUP/…
Indonesia

Kazi inaendelea Dar es Salaam. Meimos 2022 instagram.com/p/CdAcLdHKEmQ/…
Indonesia

Kutokea Makao Makuu ya Nchi DODOMA, Masikio ya Wafanyakazi wote Nchini yako Dodoma. MEIMOSI 2022 instagram.com/p/CdAUIwjqvFT/…
Indonesia