Mchachu, PhD🐐

273.2K posts

Mchachu, PhD🐐 banner
Mchachu, PhD🐐

Mchachu, PhD🐐

@mchachu_

Kikiwaka Mulika, Kikizimika Papasa!!! #Simba #Chelsea

Присоединился Şubat 2021
1.3K Подписки30.5K Подписчики
Закреплённый твит
Mchachu, PhD🐐
Mchachu, PhD🐐@mchachu_·
Ukishaanza kuwa serious na maisha yako, kupoteza baadhi ya marafiki ndio gharama utakayolipia🤞🏿
Indonesia
33
141
674
18.7K
Mchachu, PhD🐐 ретвитнул
Miss Chelsea1221
Miss Chelsea1221@MissChelsea1221·
Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍 👉Bei 27,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0714336827 👉Duka lipo kariakoo.Pia tunatuma NCHI NZIMA
Miss Chelsea1221 tweet mediaMiss Chelsea1221 tweet media
Filipino
24
156
175
3.2K
Mchachu, PhD🐐 ретвитнул
Dullah_theKing🎧
Dullah_theKing🎧@DullahTheking2·
Which rapper, more than DRAKE, has songs for every situation you experience??
Dullah_theKing🎧 tweet media
English
118
24
210
11.7K
Sam
Sam@Dagwaaa·
@mchachu_ Akupe pia na hizi gharama
Sam tweet media
Indonesia
1
0
1
11
Mchachu, PhD🐐
Mchachu, PhD🐐@mchachu_·
Tupe pia gharama za Roho za wairani waliouliwa kuanzia kwenye maandamano January mpk sasa.
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿@EsirEid

#TajiriLaKihaya Hasara za ndege za Jeshi la Marekani katika jaribio la kuwaokoa marubani wawili wa ndege ya F-15E iliyodunguliwa juu ya Iran: Hasara zilizothibitishwa (idadi ya sasa): 1× F-15E Strike Eagle — imeharibiwa 2× helikopta za HH-60 — zimeharibika 1× MH-6 Little Bird — imeharibiwa 1× A-10 Thunderbolt II — imeharibiwa 2× C-130 Hercules — zimeharibiwa 1–2× MQ-9 Reaper — zimeharibiwa Uharibifu unaowezekana / haujathibitishwa: 1× F-16 Fighting Falcon — imetoa tahadhari ya dharura (emergency squawk) 1× KC-135 Stratotanker — imetoa tahadhari ya dharura 1× A-10 Thunderbolt II — huenda ilitua kwa dharura

Indonesia
1
1
1
90
Mchachu, PhD🐐 ретвитнул
D A L A L I
D A L A L I@_zolendronic·
Kwa hiyo Delta Force wamemnyakua mjeda wao ndani ya ardhi ya Iran... IRGC ni paper tiger, Humu tunadanganwa sana Waajemi wa Kinzudi 😎😎
Indonesia
31
11
180
10K
takadinie
takadinie@takadini_23·
@mchachu_ Kumbe mbn hawa wapangaji wenzangu hawali wanasema haram
Indonesia
1
0
0
11
D A L A L I
D A L A L I@_zolendronic·
Huyu kamuweka mwanaye 5yo front seat bila safety belt yuko speed 60 muziki mkubwa kishandu kampiga mkasi kaweka mguu kati dogo kasema na kioo cha mbele Tafrani hapa na pale 😎
Indonesia
2
3
35
2.6K
Mchachu, PhD🐐 ретвитнул
D A L A L I
D A L A L I@_zolendronic·
Huyu ni mjukuu wa late Qassem Soleiman, yule Maj. Gen. Wa Quds ya Iran ambaye Marekani walimkata kichwa Huyu binti anaishi life lake US, Tehran usipofunika kichwa hata ukiwa ndani ya private car morality police wanaruka na wewe... Kuna hadi 📸 kufuatilia wasiofunika vichwa..
D A L A L I tweet media
Indonesia
14
2
31
3.1K
D A L A L I
D A L A L I@_zolendronic·
@mchachu_ Mi mwenyewe siko hewani kaka... Hii vita ya Iran imesababisha upungufu wa internet
Indonesia
1
0
0
26
Mchachu, PhD🐐 ретвитнул
D A L A L I
D A L A L I@_zolendronic·
Kwa uwezo wa Allah Iran wameshindwa kumuua Netanyahu, Smotrich na David Barnea Kwa uwezo wa shetani Israel imewaua Ayatollah Ali Khamenei, Larijani na Hossein Salami
Indonesia
14
4
49
3.7K