John Heche

92.2K posts

John Heche banner
John Heche

John Heche

@HecheJohn

Vice Chairman Chadema Tanganyika, former Member of Parliament for Tarime rural constituency, a reformer.

Tarime, Mara, Tanzania. เข้าร่วม Nisan 2012
1.8K กำลังติดตาม803.4K ผู้ติดตาม
ทวีตที่ปักหมุด
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Mnaua watu kwa maelfu, Mnateka watu na kuwapoteza. Mnaiba uchaguzi kwa nguvu.. Alafu mnasema kuna watu wanawaonea wivu kwasababu ya rasimali!!!! Hivi mnawaona Watanzania ni wajinga? Kwamba Mataifa ya nje ndio yaliwatuma kuiba uchaguzi ambao hamjashinda!!!! Watu sio sisimizi mmeua lazima muwajibike.
Indonesia
78
648
2K
107.5K
John Heche รีทวีตแล้ว
Joyce Evaristi
Joyce Evaristi@JoyceHuru·
Chadema inatoaga wapi wafuasi n hawalipwi chchte yani watu wanalipa nauli zao kwenda kufanya usafi n kupandisha bendera
Indonesia
2
3
21
425
John Heche รีทวีตแล้ว
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
CHADEMA MBEYA HAWANA JAMBO NDOGO, WAISIMAMISHA MBEYA KWA MUDA, WAFANYA MAMBO MAZITO: youtu.be/x_a9zAIMcTI
YouTube video
YouTube
Indonesia
0
4
19
717
John Heche รีทวีตแล้ว
Hamadi.Mbeyale🔥🔥
Hamadi.Mbeyale🔥🔥@hamadimbeyale·
Lile Jambo ni leo, Yamebaki masaa tu.
Hamadi.Mbeyale🔥🔥 tweet mediaHamadi.Mbeyale🔥🔥 tweet media
Indonesia
0
2
11
128
John Heche รีทวีตแล้ว
Msigwa Mpenda.
Msigwa Mpenda.@MsigwaMpenda·
The only hope and Aspiration of Tanzanians.......
English
0
4
4
77
John Heche รีทวีตแล้ว
Mangi wa Kichaga
Mangi wa Kichaga@MangiwaKwanza1·
Mikiki wanayopitia CHADEMA sio poa mara viongozi wamepelekwa polisi, mara wanachama wanatekwa, mara wanapewa kesi za uahaini, amini nawaambieni wangekuwa wale mbogamboga, mzee wasiraaaa mpaka sasa angekuwa yupo mawinguni kumlakii bwana wetu.
Indonesia
3
7
44
521
John Heche รีทวีตแล้ว
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
CHADEMA KANDA YA VICTORIA WAZUA KIZAA ZAA, WATANGAZA MKAKATI MZITO WA KUMTOA LISSU GEREZAN, NI BALAA: youtu.be/4Ai8xQLRQyg
YouTube video
YouTube
Indonesia
0
5
11
622
John Heche รีทวีตแล้ว
Vicensia Shule
Vicensia Shule@vicensiashule·
Ndugu @tanpol mmeona @ChademaTZ2 wanafanya sherehe na kupika kwenye ofisi zao? Msijifanye hamuoni, nendeni mkale, njaa zisiwaue
Indonesia
8
10
98
1.9K
John Heche รีทวีตแล้ว
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
#TANZANIA: SIKU LISSU AKITOKA, APANDE NDEGE AJE KUFANYA MKUTANO WA KWANZA MWANZA - OBAD Chama cha CHADEMA Kanda ya Victoria leo Aprili 18, 2026 kupitia kwa Katibu wa kanda hiyo, Zakaria Obad kwenye uzinduzi wa shughuli za chama hicho Kanda ya Victoria zilizokuwa zimezuiliwa kwa amri ya Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar Es Salaam kutokana na kesi iliyokuwa ikikikabili chama hicho amesema kipo tayari kuandaa mkutano wa kwanza wa kisiasa katika Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza iwapo Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu ataachiliwa huru. Aidha, Obad amesema baada ya chama hicho kuruhusiwa kufanya shughuli za kisiasa wanaimani kwamba Mwenyekiti wao, Tundu Lissu ataachiwa huru hivyo amewaomba viongozi wa ngazi za juu wa chama hicho mkutano wa kwanza ufanyike mkoani Mwanza. "Tunaomba makao makuu ya chama, siku mwenyekiti akitoka, kituo cha kwanza apande ndege na kufanya mkutano katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza na hiyo kazi kama ambavyo Makamu Mwenyekiti amesema tunawapa kipindi cha uangalizi tukiamini watamwachia" - ZakariaObad, Katibu Mkuu wa CHADEMA Kanda ya Victoria. Zaidi: youtu.be/4Ai8xQLRQyg
YouTube video
YouTube
Indonesia
1
10
29
560
John Heche รีทวีตแล้ว
Grace Shio
Grace Shio@GraceShio03·
Namna hii, tumepandisha bendera mpyaaaaa kuashiria mwanzo mpya, ari mpya na kasi mpya kuelekea kwenye Tanzania ya uhuru, haki, usawa na demokrasia. #chamakipohuru #Nyasatupotayari
Indonesia
5
18
94
816
John Heche รีทวีตแล้ว
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Safi sana 💪🏽🔥
Türkçe
8
42
199
2.5K
John Heche รีทวีตแล้ว
CHADEMA NYASA
CHADEMA NYASA@chadema_nyasa·
Zoezi la kushusha Bendera ya zamani na Kupandisha Bendera mpya ya Chama.
CHADEMA NYASA tweet mediaCHADEMA NYASA tweet media
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
0
32
241
2.7K
John Heche รีทวีตแล้ว
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
#TANZANIA: CHADEMA NYASA KUWASHA MOTO UPYAAAA. Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (@ChademaTZ2) Kanda ya Nyasa Bi. Grace Shio, amesema viongozi na wanachama wa CHADEMA Nyasa wamejitokeza kwenye zoezi la usafi katika ofisi za chama hicho Kanda ya Nyasa ikiwa ni mwanzo mpya wa shughuli za chama hicho baada ya kuzuiliwa kwa muda kufanya shughuli za kisiasa. Shio ameeleza hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari wakati wa zoezi la kufanya usafi katika ofisi hizo ambapo amesema pamoja na zoezi hilo kutakuwa na shughuli nyingine ikiwemo ya kupandisha bendera mpya akisema wanachama na wapenzi wa chama hicho zaidi ya mia tano watashiriki na kushuhudia zoezi hilo la kihistoria na ushindi wa chama hicho. April 15 mwaka huu mahakama ya rufani iliondoa zuio lililokuwa likikikabili chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA la kuzuiwa kufanya shughuli za kisiasa na mikutano yake kufuatia kesi ya mgawanyo wa mali za CHADEMA (Kesi ya madai namba 8323/2025) iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti upande wa Zanzibar Said Issa Mohamed na wenzake wawili. Zaidi: youtu.be/8A97P41OhcI
YouTube video
YouTube
Indonesia
0
26
108
2.5K
John Heche รีทวีตแล้ว
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
#BREAKINGNEWS Pauline Pallangyo ameachiliwa huru siku ya leo Baada ya wakili Peter Kibatala kufungua KESI ya kuwataka Polisi wampeleke mahakamani au wamuachilie huru.. Haki imeshinda Pauline yupo huru.
Twaha Mwaipaya tweet media
Indonesia
22
103
589
5.7K
John Heche รีทวีตแล้ว
Oluwagembe
Oluwagembe@M_Sungwa·
Sijapita hii route ya Babati-Singida siku nyingi, hivi hii ni barabra au bonde la uvuli wa mauti?
Indonesia
18
5
128
12K
John Heche รีทวีตแล้ว
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Ni mwendo wa kupandisha bendera za Chama kila kona ya nchi.
Hilda Newton tweet media
Filipino
10
81
600
5.2K
John Heche รีทวีตแล้ว
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
🚨AKILI KICHWANI‼️ Lissu na Heche wako imara na si wageni wa harakati! Hawa ni viongozi ambao wamekipa gharama kubwa Lissu amepigwa risasi 16 mwilini na kafungwa mara chungu mbovu Heche amefungwa mara kibao na kupigwa na polisi, kaka yaje aliuwawa kikatili Ila bado hawajanunuliwa na CCM! Wangetaka wangenunuliwa zamani! Wakati wa uchaguzi wa ndani team Mwamba wakadai hawa ni maRADIKO maana wana msimamo thabiti - ila sisi ndo tukawakubali nje na ndani ya Chama kwa sababu ya uthabiti wao! Leo mnataka kuja kuamini kuwa eti watawasaliti watanzania na kupokea vyeo na pesa? Based on what? Ni hivi: CCM wameshabanwa wameambiwa ili wapate pesa za mabeberu lazima wamwachie Lissu na waruhusu Chadema - hii nawaambia 💯 nikijiamini! Na hawana namna Lakini pia wameambiwa kuhusu UWAJIBIKAJI NA HAKI kuhusu Oktoba 29, 2025 Sasa walichobaki nacho hawa wauaji ni kutaka kuharibu imani ya wananchi kwa hawa viongozi na CHADEMA ili imani yetu kwa mwanasiasa yeyote ife tuwe wapole kabla hawajamwachia Lissu na nyie mnaingia mkenge? Sasa ni hivi: moto uko palepale 🔥 hakuna kuyumba wala kutoka kwenye focus! Hakuna mpasuko wala drama! We are laser FOCUSED ! Kuna mengi CCM wamejaribu kuyumbisha harakati na ninayajua yote ila kwa kuwa wameshindwa nimepotezea! Nyie wapumbavu wauaji mjishike - buckle up it’s gonna be a bumpy ride! Niliwaambia TUMESHASHINDA - sasa ushindi wetu unakuja kudhihirika! #TutaelewanaTu #FreeTunduLissu
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Filipino
27
111
465
9.6K
John Heche รีทวีตแล้ว
MWANAMAPINDUZI
MWANAMAPINDUZI@MachumuKadutu·
"Wito wa maridhiano ni ubatili, wito wakupumbaza na hauna ukweli nyuma yake"- Makamu Mwenyekiti @HecheJohn #Lissusiomhaini
Filipino
4
21
84
1.6K
John Heche รีทวีตแล้ว
Msigwa Mpenda.
Msigwa Mpenda.@MsigwaMpenda·
Hakuna maridhiano bila "HAKI" na hakuna haki bila "UWAJIBIKAJI"
Indonesia
3
12
38
976
John Heche รีทวีตแล้ว
Msigwa Mpenda.
Msigwa Mpenda.@MsigwaMpenda·
LOUD AND CLEAR .....
English
0
34
105
3.2K