Mwananzengo

73.5K posts

Mwananzengo banner
Mwananzengo

Mwananzengo

@SpotiMasta

Mwanazengo Investiment

Kilimanjaro, Tanzania Sumali Kasım 2022
744 Sinusundan27K Mga Tagasunod
Mwananzengo
Mwananzengo@SpotiMasta·
Kazi kazi
JAMVIMEDIAGROUP@JAMVIMEDIA

*DK. SAMIA MZIKI MNENE* Na Mwandishi Wetu Siku chache baada ya kufikisha siku 100 ikulu, katika kipindi cha pili cha awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, Tanzania inaendelea kushuhudia kasi mpya ya maendeleo katika sekta mbalimbali za kijamii na kiuchumi. Fuatilia mfululizo huu wa makala za kazi inaendelea na Dk. Samia Suluhu Hassan katika kuleta Tabasamu la Taifa. MIUNDOMBINU Serikali imeongeza kasi ya ujenzi wa barabara, madaraja makubwa na reli ya kisasa, hatua inayorahisisha usafirishaji na kukuza biashara za ndani na nje ya nchi. Maboresho ya bandari na viwanja vya ndege yameongeza ushindani wa taifa katika uchumi wa kikanda. UMEME Miradi mikubwa ya uzalishaji umeme imekamilishwa na mingine kuimarishwa, hali iliyoongeza upatikanaji wa nishati ya uhakika kwa viwanda, biashara na makazi ya wananchi. Umeme umefika katika maeneo mengi zaidi vijijini, ukichochea shughuli za uzalishaji. MAJI Ujenzi na upanuzi wa miradi ya maji safi na salama umeboresha huduma kwa wananchi wa mijini na vijijini. Wananchi wengi sasa wanapata maji karibu na makazi yao, kupunguza adha ya kutembea umbali mrefu kuyatafuta. AFYA Kuanzishwa kwa Bima ya Afya kwa Wote kumeleta matumaini mapya kwa wananchi, huku hospitali zikiboreshwa kwa vifaa tiba na wataalamu zaidi. Upatikanaji wa dawa na huduma za msingi umeimarika katika maeneo mengi. ELIMU Sera ya elimu bila malipo imeendelea kuimarishwa kuanzia msingi hadi sekondari. Mabadiliko ya mitaala yamelenga kuwajengea wanafunzi ujuzi wa kisasa, ubunifu na stadi za maisha zinazoendana na mahitaji ya soko la ajira. KILIMO Sekta ya kilimo imepewa kipaumbele kupitia ruzuku za pembejeo, mikopo nafuu na juhudi za kufungua masoko ya uhakika kwa mazao ya wakulima, hatua inayoongeza tija na kipato chao. MADINI Mageuzi katika sekta ya madini yameongeza uwazi na mapato ya taifa, huku wachimbaji wadogo wakipewa msaada wa kitaalamu na masoko bora. Uongezaji thamani ndani ya nchi umeanza kuimarika. UTALII Kupitia kampeni za kimataifa na maboresho ya miundombinu, sekta ya utalii imeendelea kukua, kuongeza mapato ya fedha za kigeni na ajira kwa vijana. AJIRA Fursa za ajira zimeongezeka kupitia miradi ya maendeleo, ukuaji wa sekta binafsi na uwekezaji mpya unaoendelea kuvutiwa nchini. SAPOTI KWA WAJASIRIAMALI Serikali imeendelea kuweka mazingira rafiki ya biashara kwa kurahisisha usajili na upatikanaji wa mikopo kwa vijana na wanawake, hatua inayochochea ukuaji wa biashara ndogo na za kati. UHUSIANO WA KIMATAIFA Diplomasia ya uchumi imeimarisha mahusiano ya Tanzania na mataifa mbalimbali, kufungua milango ya uwekezaji, mikataba ya maendeleo na ushirikiano wa kibiashara. MAONI YA WANANCHI Wananchi wengi wanaeleza kuiona kasi ya maendeleo katika maeneo yao, wakisema maboresho ya miundombinu, afya, elimu na ajira yanaonekana kwa vitendo na kuongeza matumaini ya maisha bora zaidi. Kaa tayari kupata uchambuzi wa sekta kwa sekta, mkoa kwa mkoa na taasisi kwa taasisi katika mfululizo wa makala maalum za Kazi inaendelea na Dk. Samia Suluhu Hassan katika kuleta Tabasamu kwa Taifa. Makala hizo zitaletwa kwenu kupitia magazeti ya JAMVI MEDIA GROUP na vyombo vingine katika njia za mtandao, magazeti, redio na Tv.

0
0
0
490
Mwananzengo nag-retweet
JAMVIMEDIAGROUP
JAMVIMEDIAGROUP@JAMVIMEDIA·

JAMVIMEDIAGROUP tweet media
Indonesia
0
3
3
1K
Mwananzengo nag-retweet
JAMVIMEDIAGROUP
JAMVIMEDIAGROUP@JAMVIMEDIA·
uteuzi huu unaonesha chama kimewachagua viongozi waliokwisha pimwa, kuaminiwa na kukubalika,hatua inayofuata ni uthibitisho wa kikatiba. Tz Bara waliopitishwa ni Paul Christian Makonda, Livingstone Joseph Lusinde na Asia Halamga, Zanzibar ikiwakilishwa na Khamis Omar na Tauhida.
JAMVIMEDIAGROUP tweet media
Indonesia
0
2
3
706
Mwananzengo
Mwananzengo@SpotiMasta·
Kutoka Magazetini
Mwananzengo tweet mediaMwananzengo tweet media
Magyar
0
0
0
428
Mwananzengo nag-retweet
JAMVIMEDIAGROUP
JAMVIMEDIAGROUP@JAMVIMEDIA·
DK. SAMIA MWENDO MDUNDO Anachanja Mbuga Kanda ya Ziwa, Bukombe Yatingisha kwa 'MASHINE' Biteko Na Mwandishi Wetu – Geita Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuchanja mbuga katika mikutano yake ya kampeni inayoendelea nchini kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu. Katika mwendelezo wa ziara zake Kanda ya Ziwa, Dkt. Samia amepokelewa kwa shangwe na maelfu ya wananchi waliomiminika kumshuhudia na kusikiliza sera za maendeleo anazoendelea kuzisemea kwa nguvu. Akizungumza jana katika mikutano mikubwa wa kampeni iliofanyika Ushirombo, Runzewe - Bukombe, na ule wa awali uliofanyika Mbogwe mkoani Geita, Dkt. Samia aliwapigia wananchi saluti kwa umoja wao na kuwashukuru kwa kumwamini yeye pamoja na serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kutekeleza miradi ya maendeleo inayoleta matokeo halisi kwa wananchi. Katika mkutano hiyo iliofurika wananchi, Rais Samia alimsifia Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, akimwelezea kama “MASHINE” iliyothibitisha uwezo wake kwa vitendo. “Nataka niwaambie, mmeniletea MASHINE. Mmeniletea kijana ambaye nilimuamini kumfanya awe Naibu Waziri Mkuu, kijana ambaye anatusaidia sana kazi zetu. Na kwa sababu ya hiyo, nanyi mkamuheshimu — hakuna mwingine aliyejitokeza,” alisema Dkt. Samia huku akishangiliwa kwa nguvu na wananchi wa Bukombe. Kanda ya Ziwa yaendelea kung’aa kwa miradi mikubwa Ziara ya Dkt. Samia Kanda ya Ziwa imekuwa sio tu ya kisiasa, bali ni onyesho la matokeo ya kazi kubwa iliyotekelezwa na serikali yake katika kipindi cha miaka minne iliyopita. Kanda hii imekuwa kinara wa miradi mikubwa ya kimkakati katika sekta za miundombinu, maji, nishati, kilimo na madini. Miongoni mwa miradi hiyo ni Daraja la Busisi lenye urefu wa zaidi ya kilomita 3.2 linalounganisha mikoa ya Mwanza na Geita, mradi ambao ukikamilika utarahisisha usafiri na usafirishaji wa bidhaa kutoka maeneo ya uzalishaji hadi masoko, hususan sekta ya uvuvi, kilimo na madini. Vilevile, serikali imetekeleza kwa kasi miradi ya maji vijijini na mijini kupitia mamlaka mbalimbali za maji na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), ambapo maelfu ya wananchi wa maeneo ya Geita, Chato, Misungwi, Sengerema na Bukombe sasa wanapata huduma ya maji safi na salama karibu na makazi yao — hatua iliyopunguza adha kubwa kwa wanawake na watoto. Katika sekta ya kilimo, Rais Samia ameongeza bajeti ya pembejeo kwa wakulima wa pamba, mpunga, na mahindi, huku ruzuku ya mbolea na mbegu bora ikiimarisha uzalishaji na kipato cha wakulima. Serikali imewezesha pia upanuzi wa skimu za umwagiliaji katika maeneo ya Magu, Nyang’hwale, na Shinyanga, hatua inayosaidia kilimo cha uhakika hata katika vipindi vya ukame. Sekta ya madini nayo imepiga hatua kubwa. Kanda ya Ziwa sasa imekuwa injini ya uchumi wa madini nchini, huku shughuli za uchimbaji zikisukumwa na sera rafiki kwa wachimbaji wadogo, na ujenzi wa vituo vya ukusanyaji na uchenjuaji madini ukiendelea kwa kasi katika Geita, Chunya na Kahama. Bukombe, wilaya inayong’ara leo kwenye kampeni, imepata pia neema ya miradi mipya ya kimkakati ikiwemo ujenzi wa Uwanja wa mpira wa Ushirombo, unaotarajiwa kufungua fursa za kiuchumi, utalii na biashara kwa mkoa mzima wa Geita kwa timu mbalimbali kuutumia utakapokamilika. Hamasa ya ushindi yazidi kupanda Wachambuzi wa siasa wanasema kampeni za Dkt. Samia Kanda ya Ziwa zimekuwa zenye mwamko mkubwa kuliko kipindi chochote, zikionekana kama sherehe za kutathmini matunda ya uongozi wake. Maelfu ya wananchi wamejitokeza katika kila eneo, wakiwa na mabango na ujumbe wa kumpongeza kwa utekelezaji wa miradi inayogusa maisha yao moja kwa moja. Kwa wengi, Kanda ya Ziwa imekuwa kielelezo cha “maendeleo yanayoonekana” chini ya uongozi wa Dkt. Samia — maendeleo yanayojengwa juu ya dira ya umoja, utulivu na kazi. #Samia2025 #MwendoMdundo #Bukombe #MASHINE #KandaYaZiwa #CCM #KaziInaendelea #TanzaniaMpya
JAMVIMEDIAGROUP tweet media
Indonesia
0
3
3
831
Mwananzengo
Mwananzengo@SpotiMasta·
Kazi iendelee

Euskara
0
0
0
298
Mwananzengo
Mwananzengo@SpotiMasta·
Muhuni huyu
Türkçe
0
0
0
388
Mwananzengo
Mwananzengo@SpotiMasta·
Kazi inaendelea
Indonesia
0
0
0
381
Mwananzengo
Mwananzengo@SpotiMasta·
Inasemekana Yanga Africa wameingilia kati dili la kutaka kumnunua na kumrudisha Feisal Salum, Yanga wametoa ofa kubwa kuzidi ofa ambayo klabu ya Simba ilitoa kwa kutaka kumsajili Fei kipindincha dirisha kubwa.
Mwananzengo tweet media
Indonesia
0
0
9
985
Mwananzengo
Mwananzengo@SpotiMasta·
Wekundu wa msimbazi leo majira ya saa 10 jioni watashuka dimbani katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa robo fainali ugeninini dhidi ya Al Masry katika uwanja wa New Suez Canal Stadium #spotimastaupdates
Mwananzengo tweet media
Indonesia
0
0
4
766
Mwananzengo
Mwananzengo@SpotiMasta·
Manchester united imepoteza mchezo ugenini dhidi ya Nottingham Forest, katika mwendezo wa matokeo mabaya kwa upande wao hivi sasa imefikisha jumla ya mechi 30 katika ligi ikikusanya point 37 pekee zinazowafanya kusimama katika nafasi ya 13 kwenye msimamo wa ligi.
Mwananzengo tweet media
Filipino
0
0
1
430
Mwananzengo
Mwananzengo@SpotiMasta·
Shirikisho la mpira wa miguu Afrika CAF limeruhusu uwanja wa Benjamini Mkapa kuanza kutumiaka baada ya kujidhisha viwango vya ubora, hivyo Simba watatumia uwanja huo katika mchezo wa pili wa koombe la shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry April 9. #spotimastaupdates
Mwananzengo tweet media
Indonesia
0
0
1
429
Mwananzengo
Mwananzengo@SpotiMasta·
Vinara wa ligi Kuu watashuka dimbani hii leo katika mchezo wa CRDB Federation Cup hatua ya 16 bora kucheza dhidi timu ya Songea United inayoshiriki ligi ya Championship. #spotimastaupdates
Mwananzengo tweet media
Indonesia
0
0
1
389
Mwananzengo
Mwananzengo@SpotiMasta·
Kumeanza kuchangamka, mambo ya kifamilia haya😅
Mwananzengo tweet media
Indonesia
0
0
2
413