Thekillboy
4.6K posts

Thekillboy
@ArsenalBoy8
From northern part of Tz. entrepreneur
Moshi Kingdom Of KLM,+255 شامل ہوئے Kasım 2018
2.4K فالونگ1.7K فالوورز

@JayRogath 😅😅 nimepita mahali naona baba anapewa ushauri aachane na vikali
हिन्दी

@ze_mandevu Kaka ukiita siku nyingine sema nitakupa bei kiwandani😁
Indonesia

Kuna duka niliingia leo Kariakoo kuosha macho tu nikakuta hii sendo bei ya jumla 90k nikaipima ila siku nunua basi muuzaji alitema shiti kichizi, nilikaa kimnya kungoja amalize then nikaondoka bila kusema lolote ila angekuwa mteja mngine zingeruka hata ngumi. Binafsi nilipata hasira ningekuwa na pesa ningeinunua sababu nilikuwa tayari nishamaliza mahitaji yangu nilienda kwenye hilo jengo kufwata mzigo wangu kwenye harakati za kungoja nikajikuta nimeingia kwenye hilo duka, kiufupi Wauzaji wengi wa Kariakoo wana dharau kichizi sema fresh tutafika tu🙌

Indonesia

@floratabu29 @fintanjr_ @tenende_martial Ila nasikia watu wa hivyo wanakosea kwenye kuongea siyo kuandika. Mimi nimezoea kusikia mtu anachanganya r na l kwenye maongezi ila siyo kwenye uandishi. Jitaidi kwenye kuandika uwe formal siyo informal
Filipino

@ArsenalBoy8 @fintanjr_ @tenende_martial Kwetu hatuna matumizi ya R Wala M hata nikiandika Lais au ntoto nielewe tu tatizo sio Mimi tatizo ni mazingira niliyokulia kaka
Filipino

@SuluhuSamia Mh president kwanini mtu wa bara haruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar lakini wa Zanzibar anaruhusiwa kumiliki bara? Naongea na president siyo wewe tupime elimu mbalimbali
Indonesia

Ninawatakia Watanzania wote heri ya Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Muungano wetu ni lulu na urithi wa kipekee tulioupokea kutoka kwa waasisi wetu. Hivyo, nasi tuna wajibu wa kuutunza, kuulinda, na kuuimarisha ili tuurithishe kwa vizazi vijavyo ukiwa salama na imara kama tulivyoupokea.
Ninatoa wito kwa Watanzania kuendelea kushirikiana, kufanya kazi kwa bidii, na kuimarisha uzalendo wetu, ili tujenge Tanzania moja, imara zaidi, yenye umoja na maendeleo jumuishi kwa kizazi cha sasa na kijacho.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ubariki Muungano wetu.

Indonesia

@TayanahTibs Hakuna mwenye shida na COCO sema watu wanajaribu kupeleka hasira zao na makali kupitia familia yake. Ukianzisha vita usiwapangie watu silaha za kutumia.
Indonesia

@EsirEid Tafadhali tueleze kimetokea nini apa katikati mpaka ukamuunga mkono msimbe. Tu meki sitori shoti
Indonesia

@EsirEid We na Mbowe utofauti ni kabila tu. Wote mmelamba asali😄😄
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Wakuu niseme tu kwamba ….
NONO BANKS kuanzia sasa tutamlinda kwa wivu mkubwa mno…
Majeshi yangu yote nawaagiza kama Amri Jeshi mkuu…
silaha zote dhidi yake ziteketezwe… memez zote zifutwe!
Na kama kakublock weka kwenye comment screenshot Anakutoa kabatini muda huu…

Indonesia

@TayanahTibs Kaa kimya Denge huna unachoweza kueleza uku kwa sasa watu wakakuelewa . Kwenye vita usiwachagulie watu silaha, watu wanapiga kivyovyote ilimradi uumie. Cha msingi mchizi uku ahame arudi baada ya miaka 10-15 au abadilishe jina aje kivingine. Kwa hii report ya juzi ndo kabisa
Indonesia

@Uherry14 @robkidayo_ @GadafiMushy @IAMartin_ Huyu mtu kweli, Kwanza anapanga hoja zake kisomi Sana na anajitaidi kusoma Sana. Yupo vizuri
Slovenščina

@robkidayo_ @GadafiMushy @IAMartin_ Sasa why kani block kisa kampeni za Mbowe kumwambia atoe sababu 5 za kumsupport mbowe
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Mimi nitafukua Makaburi… na MSAADA NITATOA…
Umekua miongoni mwa watu walionipiga Spana kwa kuwasaidia watu Mitandaoni ila leo mm nakutumia Hela mtandaoni na wewe unaomba Msaada mtandaoni kama walivyoomba wale uliokua unawaponda!
Sina Beef na wewe… tunaweka kumbukumbu sawa!
Kama jinsi nlivyowasaidia wale na Leo tunakusaidia wewe… ila ingekua bora kama ungeweka Bill nzima hapa- ili tujue tunachanga kiasi gani!
Mtu anaweza toa laki 5 kumbe bill ni laki 2 au mtu akatoa elfu 50 akajua amemaliza kumbe bill ni milion 5.
UGUA POLE Bro… MWENYEZI MUNGU AKUPONYE na Akujaalie uwe na AFYA NJEMA🙏🏽
Binafsi nipo tayari kwa mchango mwingine- ukiweka taarifa zako sawa!

Filipino

@fintanjr_ @tenende_martial Ndoa ni kitu chema,Mungu awabariki zaidi kifo ndio kiwatenganishe......
NB:- Tangulieni Lamada agizeni chochote mtakacho mi nitawakuta hapo bill juu yangu
Indonesia

@ayubu_madenge Akili hizi zingetakiwa kuja miaka 40 uko nyuma sema sababu matajiri Wana roho za kishetani wanazuia miradi kama hii wakishirikiana na viongozi wabaya
Indonesia
Thekillboy ری ٹویٹ کیا

@Tweener003 Mabichi wanahara sana hayajengi mwili ila makavu yanakaa tumboni nakutengeneza protein nyingi mnyama anakuwa mnene
Indonesia

@Maestrowafact @sinahisa Hahaha chura bana. Ulikuwa haujui hili mwanzo kuna mchizi kakusanua apo juu
Indonesia

@sinahisa Nafasi ya Waziri kikatiba inakoma mara tu Bunge linapovunjwa kwa sababu uwaziri unatokana na ubunge this is plain logic. Lakini nchi haiwezi kuwa na vaccum. Ndiyo maana anabaki kama caretaker kushughulikia mambo ya dharura tu siyo kufanya maamuzi makubwa ya kisera au kisheria.
Indonesia

Hizi ndizo athari za kukariri majina ya watu bila kujua sheria inasemaje.Waziri anatoka ndani ya Bunge na Bunge lilishavunjwa tangu zamani. Siku ya uchaguzi alikuwa raia kama wewe mkurupukaji
CHADEMA NI IMANI❤️(Nyegere Wa Afrika/Honey badger)@IkindaKani11826
Mjumbe wa Tume ya Chande 🤝🤝
Indonesia

















