
Mapema leo nimekutana na kushauriana na wazee wa mitaa wa Wadi za Junju, Shimo la Tewa na Mtepeni. Masuala makuu ambayo serikali ya kaunti ijayo inafaa kuyafanya kipaumbele ni Elimu, Miundomsingi, Afya, Ajira kwa Vijana na kadhalika.
#GEEKAY003




Indonesia
























































