❖ تذِڪٰـِۢرة❖

7.4K posts

❖ تذِڪٰـِۢرة❖ banner
❖ تذِڪٰـِۢرة❖

❖ تذِڪٰـِۢرة❖

@Muislamublog

-صَلُّوا عَلَى رَسُولِ اللّٰهِ ﷺ - كُلُّ مَا يَهُمُ المُسْلِم📚 - Mswalie Mtume wa Allaah, amani iwe juu yake - Yote ambayo ni muhimu kwa Muislamu

East Africa شامل ہوئے Kasım 2015
53 فالونگ4.2K فالوورز
پن کیا گیا ٹویٹ
❖ تذِڪٰـِۢرة❖
❖ تذِڪٰـِۢرة❖@Muislamublog·
Msijifundishe lugha ya Mushrikiyn – bila ya kuwa kuna umuhimu ndani yake – wala Msiingie makanisani wakati wa sherehe zao kwa sababu Hasira za Allaah huteremka juu yao.” [Al-Bayhaqiy].
Indonesia
0
3
5
446
❖ تذِڪٰـِۢرة❖
❖ تذِڪٰـِۢرة❖@Muislamublog·
Amesema aliy ibn Abii twaalib Radhwiyallahu anhu : Hawatoacha watu kitu katika dini yao kwa kutaka kutengeneza dunia yao ila Allah atafungua juu yao lenye madhara juu yao,na lenye shari juu yao kutokana nalo. الزُّهد والرَّقائق لابن المبارك - (1646)
0
0
0
147
❖ تذِڪٰـِۢرة❖ ری ٹویٹ کیا
ISLĀM & SUNNAH
ISLĀM & SUNNAH@AbuMuaawiyyah·
How to move your finger during Tashahud— prayer. Explained by Shaykh Al-Albani رحمه الله… Demonstrated by Sh. Muhammed Bazmool حفظه الله .
7
107
325
29K
❖ تذِڪٰـِۢرة❖ ری ٹویٹ کیا
بذرة خير
بذرة خير@badratkhaier·
بذرة خير tweet media
ZXX
0
77
212
9.2K
❖ تذِڪٰـِۢرة❖ ری ٹویٹ کیا
.
.@AhleHadeeth_·
When did Taqleed of Four Madhhaib begin ? 🧵 Did these Madhhaib exist in the initial three generations of Islam? to which the Prophet ﷺ said,
. tweet media
Català
5
14
87
12.7K
❖ تذِڪٰـِۢرة❖ ری ٹویٹ کیا
Mahaasin TV
Mahaasin TV@mahaasinul·
TUKITHIRISHE KUMSWALIA MTUME ﷺ KATIKA SIKU HII ADHIYM YA IJUMAA                  🕋 اللهم صلّ على محمد وعلى آل محمد 🕋 Mahaasin Tv
1
4
17
551
❖ تذِڪٰـِۢرة❖
❖ تذِڪٰـِۢرة❖@Muislamublog·
“Wala msiliane mali zenu kwa batili na kuzipeleka kwa mahakimu ili mpate kula sehemu ya mali ya watu kwa dhambi na hali mnajua” (2: 188).
❖ تذِڪٰـِۢرة❖ tweet media
Indonesia
0
6
16
520
❖ تذِڪٰـِۢرة❖ ری ٹویٹ کیا
Aurora 🌸
Aurora 🌸@_aurora_574·
Tawḥīd al-Ḥākimiyyah explained.
Română
60
275
1K
443.7K
❖ تذِڪٰـِۢرة❖
❖ تذِڪٰـِۢرة❖@Muislamublog·
عن معاذ قال: أوصاني رسول الله ﷺ فقال: Kutoka kwa muadh Amesema :aliniusia Rasulullah swalallahu alayhi wasalam akasema : (لا تشركْ باللهِ شيئًا، وإِن قُطِّعْتَ، وحُرِّقْتَ). Usimshirikishe Allah na chochote, hata kama utakatwa au utaunguzwa. 📚 رواه أحمد في مسنده.
0
0
2
197
❖ تذِڪٰـِۢرة❖ ری ٹویٹ کیا
Sheikh Jamaludin Osman
Sheikh Jamaludin Osman@JamaludinSheikh·
Tusibaguane katika kupokea salamu.
Indonesia
7
93
294
16.2K
❖ تذِڪٰـِۢرة❖
❖ تذِڪٰـِۢرة❖@Muislamublog·
Amesema ibn mas'uud Radhwiyallahu anhu: " كان الرجل منا إذا تعلم عشر آيات لم يجاوزهن حتى يعرف معانيهن، والعمل بهن " Alikua mtu miongoni mwetu atakapojifunza Aya kumi haongezi mpaka afahamu maana yake na azifanyie kazi. [ رواه ابن جرير في تفسيره (81) ]
0
1
3
355