TOA MAONI: Inaarifiwa kwamba samaki wenye sumu wamekuwa wakivuliwa katika Ziwa Nakuru. Je, una wasiwasi kuhusu ulaji wa samaki baada ya hali hii kubainika mbele ya Seneti?
@magangabeaty atasoma maoni yako mwishoni mwa habari za Kina saa saba mchana.
Follow us on:
X: @radio47_Kenya: x.com/Radio47_Kenya
Facebook: igit.me/lMsI3
TikTok: igit.me/wHdwb
Instagram: igit.me/x07C7
Join WhatsApp channel: rb.gy/iwp64y
WhatsApp No: 0719 739487
Watch us live: radio47.fm#HapaNdipo
@RadioCitizenFM Jk alongside wife Faith Ainea , nakupata vyema nikihudumiaa Wateja wangu wapendwa , salamu Kwa Mama Agnes okelo Mzee Arnold kwena na Wakaaji wote wa Makwara na viunga vyake kama Mauko khubenga elukongo na ogalo #GoodEveningKenya
@RadioCitizenFM alongside wife Faith Ainea , nakupata vyema nikihudumiaa Wateja wangu wapendwa , salamu Kwa Mama Agnes okelo Mzee Arnold kwena na Wakaaji wote wa Makwara na viunga vyake kama Mauko khubenga elukongo na ogalo #GoodEveningKenya
@RadioCitizenFM Mimi Jk nmefurahi sana swali langu kujibiwa maana tumeelimika wengi,hii ni baada ya kupokea Simu kadhaa ktoka Kwa wanaosiaga Kwa poshomil eneo Hili la makwara,wakisema wameskiza mafunzo kutoka Kwa daktari alipojibu swali na wamefurahi #GoodEveningKenya
@RadioCitizenFM Jk nmefurahi sana swali langu kujibiwa maana tumeelimika wengi,hii ni baada ya kupokea Simu kadhaa ktoka Kwa wanaosiaga Kwa poshomil eneo Hili la makwara,wakisema wameskiza mafunzo kutoka Kwa daktari alipojibu swali na wamefurahi #GoodEveningKenya
@RadioCitizenFM Jee,hizi energy drinks zaweza sababisha magonjwa ya kifua?,,maana Kuna wengine wakisha kunywa,wanasema moyo wao unagonga ama wanapumua Kwa haraka #GoodEveningKenya
@RadioCitizenFM Ni kweli kuwa kazi kama kusiaga Kwa poshomil (kufungua fungua injini) Kila wakati yaweza sababisha kujaa Kwa kifua?.
2. Ni hatua gani huyu anaefanya Kwa poshomil anafaa atilie mkazo kujihadhari na matatizo haya? #GoodEveningKenya
@RadioCitizenFM nakupata vyema nikihudumiaa Wateja wangu ambao tunaaminiana na tunasaidiana ili kajiji ketu kakue bwana JK,alafu wanauliza utatembea huku wakuchunie mikombera na simsim #GoodEveningKenya
@RadioCitizenFM Mteja ukimfanyia ukora huezi muona siku ingine.hii ni Siri niliogundua ndio maana Wakaaji wengi tokea Mauko, khubenga elukongo shikhondi na hata ogallo wananiamini,shahidi ni anet agola na Emaneul rapando,wanaweza kuja wadhibitishe haya.ata Siri zao sitobowi #GoodEveningKenya
@RadioCitizenFM Baada ya pilka pilka za mzima, nakupata sswafi with wife FAITH AINEA @ 94.5. Salamu Kwa Mama Agnes okelo Mzee Arnold kwena Wateja wangu wote hapa exodus shop makwara,ujumbe Kwa wateja; "Kuridhika kwenu, ndio furaha yanguuu" #GoodEveningKenya
@RadioCitizenFM Baada ya pilka pilka za mzima, nakupata sswafi with wife FAITH AINEA @ 94.5. Salamu Kwa Mama Agnes okelo Mzee Arnold kwena Wateja wangu wote hapa exodus shop makwara,ujumbe Kwa wateja; "Kuridhika kwenu, ndio furaha yangu" #GoodEveningKenya
TOA MAONI: @JunetMohamed anasema hataki kuona chama kingine Nyanza kando na ODM na UDA.
@luswetiCBS atasoma ujumbe wako mwisho wa Habari za Kina saa saba mchana.
#HapaNdipo
@RadioCitizenFM Iwapo ulimpa mtu pesa,mkaelewana bila kuandikishana mahali popote,Kuna vile koti yaweza kusaidia mlalamishi kupata pesa zozote? #GoodEveningKenya
@RadioCitizenFM@RadioCitizenFM Hujambo studioni Jk, alongside wife Faith Ainea,anet agola & Adelite agola enjoying Muzik ya bakulutu,,naomba wimbo "Kibadilishwa Kwa Mji mkuu Dodoma 🇹🇿" Kifikie Wateja wangu wote hapa exodus shop makwara #Makombora