Dr. Boaz
71K posts

Dr. Boaz
@PhysicsJ7
#THINK_BEFORE_DOING.
Dar es Salaam, Tanzania شامل ہوئے Mayıs 2016
1.8K فالونگ3.8K فالوورز

Ila pombe mnazionea sana sijui ziliwakoseaga nini
SUKUNUNU 🇹🇿@sukununu01
Kwanza mwanaume unakuwaje na mwanamke anaeee kunywa pombe

@faraja_zungu Kuna watu wameniunfollow Kisa hizi mada za Madawa ya kilimo.
Indonesia

@PhysicsJ7 Tumekuwa na kizazi cha ajabu sana, tumeweka fedha mbele kuliko utu na afya za watu.
Indonesia

@PhysicsJ7 @TBoundBuses Kwahiyo alipokosea n alisema dola afu nane😅
Filipino

Hivi @MsigwaGerson hauna option nyingine kwenye maisha yako, Ujiuzulu ili uachane na huu Upuuzi utakao kuja kuigharimu familia yako?🫢🫢
Msemaji Mkuu wa Serikali@TZMsemajiMkuu
📌
Indonesia

Mimi ni mhasibu, tunasoma taxation kwa kiwango fulani, lakini naomba kusaidiwa na watu walio specialize kwenye Kodi na Uchumi.
Kwa nini kuna kodi kubwa namna hii kwenye Motor vehicle importation kuzidi hata original price ya chombo?
Gari inauzwa 12M halafu important duties/levies ni 18M!! How and why?
Samatime Car Dealers Co Ltd@samatimemagari
Hii Gari inauzwa $4600 Kama Tsh 12M Inakua imefika Bandari salama.. . Ikifikia Bandari salama sasa hio Kodi Yake Kama Imepita Straight of Hormuz.. . Chuma ikifika tu Mama anataka 18.3M utafikiri imetengenezwa Unguja.. . Angalia hapo chini Kikotoo cha Tiaraheii utashangaa..
Filipino

@udomtheofficial Chuo badala ya kuzalisha wataalamu wenye maono chanya juu ya Taifa,ila UDOSO mmejaza Vijana kusifia kila kitu .🤔🤔
Indonesia

@dee_dnd @maxannania Muulize @TBoundBuses Irizar za Katarama zilikaa Tunduma siku ngapi na zile zingine 2 kwa nini ziliishia South hukohuko?🤣🤣
Filipino

@maxannania Vipi nikiagiza ikafikia kenya then nikaifata kuileta tz kwa kudrive sitokuwa nimekwepa kwa kiasi fulani matozo ya bongo au ntayakuta mpakani?
Indonesia

@PhysicsJ7 @TBoundBuses Kuna wahuni wamemzunguka,, ila yeye hajui
Indonesia















