Nascent 24
325 posts


Unajua kuna mambo ya kijinga yanayoendelea kwenye hii ligi na tumeyafumbia macho tuu,hivi kwanini hawa simba hadi sasa ndio wamecheza mechi chache kuliko timu yoyote ile msimu huu,sababu ni ipi?
@Tanfootball what is going on here?!!
Mnasubiri hadi yanga atetee na hili

Indonesia

@WiliamAndason Wabena sio kabila dogo kama unavyo dhani. Mimi ni mbena na nina takwimu za kutosha za kabila langu. Wabena wako mkoani Njombe katika Wilaya za Njombe na Wanging'ombe. Pia wako mkoani Morogoro maeneo ya Mlimba na Mkoani Ruvuma wilayani Madaba. Je! Wabena ni kabila dogo?
Filipino


Mbege inatengenezwa na Wanadamu, Ulanzi unatengenezwa na Mungu mwenyewe. Ulanzi ni pombe ya asili, mbege sio asili.
Broke & Zero Aura (BZA)🍁@Kariakoo_
Hamna pombe nzuri ya asili kama ulanzi mbege ni overrated 🚮
Indonesia

@DullahTheking2 Majani ni mmoja tu kaka,
Kali p imekaa vibaya
Ocg aquelina
Ferooz stareh
Daznundas nipe gwala
Juma kiroboto, sitaki dem, kisa dem
Noma sana majani baba Paula, alfan kipara, kinywele
Filipino























