TAURUS TEIXEIRA

2.2K posts

TAURUS TEIXEIRA

TAURUS TEIXEIRA

@Taurus_fello

& 🕊

شامل ہوئے Aralık 2021
374 فالونگ456 فالوورز
Megha Arora
Megha Arora@SassyyQueenn·
Hey @grok can you explain this?
Megha Arora tweet media
English
679
700
41.7K
5.3M
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Shura ya Maimamu na Viongozi wa taasisi za Kiislamu Mkoani Arusha imetoa tamko la kulaani machafuko ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, na kutaka hatua madhubuti zichukuliwe ili kurejesha na kulinda amani ya nchi. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Arusha, mlezi wa Shura hiyo, Sheikh Juma Ikusi, amesema machafuko yaliyotokea yameacha majereha na kuchafua taswira ya taifa lililojengwa kwa misingi ya umoja na mshikamano tangu enzi za waasisi wa taifa. Katika tamko hilo, Sheikh Ikusi pia alionyesha kukerwa na baadhi ya matamko kutoka kwa viongozi wa dini ya Kikristo kupitia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), akidai kuwa baadhi ya kauli zao zilichochea Mazingira ya vurugu wakati wa uchaguzi. “Maaskofu wa TEC sasa wameingia katika mrengo wa kisiasa nchini? Inasikitisha sana pale ambapo maaskofu wanaomba watu kutoka nje ya nchi, ambao waliwahi kututawala na kutunyonya, waje kufanya uchunguzi,’” Sheikh Ikusi alisema Aidha, Sheikh Ikusi amesema kuwa katika dini ya Kiislamu, amani ndiyo msingi mkuu unaopewa kipaumbele zaidi kuliko haki, na hivyo amewasisitiza Watanzania kuendelea kudumisha amani ya nchi.
Indonesia
206
13
183
99.9K
TAURUS TEIXEIRA
TAURUS TEIXEIRA@Taurus_fello·
o pool loo pop pop p ol polo mom o lol opl lol l ok lol o ok oo o ooll ok lol oll poll mo
HT
0
0
0
22
TAURUS TEIXEIRA
TAURUS TEIXEIRA@Taurus_fello·
pop pop p lol o pop moon lol l o p lol lo ok lol lol lol i’m oo lol
HT
0
0
0
18
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Wanangu wa nguvu ni vipi huko?
The mandevu tweet media
Filipino
6
39
207
6.6K
MEDIA BLOG
MEDIA BLOG@mediaablogg·
I no know why tall people no dey too get anger issue👀😳
English
87
196
3K
924.4K
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚
Ajali hiyo ilitokea kwenye barabara ya A-52, katika kilomita ya 65 karibu na manispaa ya Palacios de Sanabria, mkoa wa Zamora Spain ambapo Jota alifariki papo hapo kutokana na majeraha mabaya. Diogo Jota, aliyezaliwa mwaka 1996, alikuwa mchezaji stadi na mfungaji mwenye kipaji. Jota alichangia kwa kiasi kikubwa mafanikio ya Liverpool FC katika michuano mbalimbali ya ndani na kimataifa. Moja ya mchango wake ni pamoja na kuisaidia Liverpool kushinda Ligi Kuu ya Uingereza (English Premier League) na Kombe la Mabingwa Bara Ulaya (UEFA Champions League). Pia, alikuwa mmoja wa wachezaji muhimu wa timu ya taifa ya Ureno, akihudumu kama mshambuliaji mwenye kasi na mbinu za hali ya juu. — SOMA ZAIDI:⤵️
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 tweet media𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 tweet media
Indonesia
7
1
26
5.4K
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚
Mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Ureno, Diogo Jota, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 29 kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyotokea nchini Hispania. — THREAD:⤵️
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 tweet media
Indonesia
21
22
666
27.6K
BOB SANCHOO™
BOB SANCHOO™@Bob_sanchoo·
@madeinmusoma Black Mamba anauwezo wa kuangusha Zizi la ngombe kwa Dakika 5 Nyoka namba moja kuogopeka Duniani Danger ‼️
Indonesia
2
1
18
2.4K
S t e w a r d
S t e w a r d@madeinmusoma·
Huyu ni nyoka gani???
S t e w a r d tweet media
Indonesia
155
34
610
88.2K
Kaji
Kaji@kaji_sijo·
Duniani kuna nyoka harafu kuna Cobra, huyu Ni issue nyingine kabisa. Kuna viumbe wa ajabu duniani, lakini Cobra ni hadithi tofauti kabisa anavutia na kutisha kwa wakati mmoja. Zaidi ni uwezo wake wa kurusha sumu akiwa mbali na hata kusimama na kuruka. Yeye siyo nyoka wa kawaida, ni simba wa ulimwengu wa nyoka, janga la kimya linalopita ardhini likisambaza hofu kwa kila anayelijua jina lake. Huyu ndiye nyoka anayeogopwa zaidi duniani, na si kwa bahati mbaya. Ukimwona yakupasa uchukue tahadhari, unaweza kuwa umeshajichimbia kaburi lako bila kujua. Endelea Na Uzi 🧵⤵️
Kaji tweet media
Indonesia
88
79
444
94.7K
Elon Musk
Elon Musk@elonmusk·
This is not ok
Elon Musk tweet media
English
100.3K
114.3K
1.3M
160.4M
chiccatheboss🇹🇿
chiccatheboss🇹🇿@sugarbabe_255·
Nimenunua boxer nikajua itanitosha loohh kamekuwa kama kachupi na sio boxer tena🤣anyway how is everyone doing 🥰
chiccatheboss🇹🇿 tweet media
Filipino
199
20
387
80.6K
chiccatheboss🇹🇿
chiccatheboss🇹🇿@sugarbabe_255·
😘😘so Sunday wapi kuna happen in here
English
83
17
424
84.3K