kharry_de_prince

22.5K posts

kharry_de_prince banner
kharry_de_prince

kharry_de_prince

@kharryson95

💥//Community development Expert//💥 🎓//Teacher//🎓 🦁Manchester united & Simba fan🦁

Tanzania شامل ہوئے Ocak 2014
1.3K فالونگ1.1K فالوورز
پن کیا گیا ٹویٹ
kharry_de_prince
kharry_de_prince@kharryson95·
Naomba ijulikane hivi nimekuwa nikifuatilia mambo ya siasa kwa zaidi ya mika 17 sasa sikuwahi kumiliki kadi ya chama yoyote nimeshawishika kupata kadi ya @ChademaTZ2 kama mwanachama hai naombeni mnisaidie jinsi ya kupata kadi...
kharry_de_prince tweet media
Indonesia
17
77
527
12.5K
kharry_de_prince ری ٹویٹ کیا
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Hii ndo nimejua leo.🤦🏾‍♀️
Español
28
121
587
20.1K
kharry_de_prince
kharry_de_prince@kharryson95·
Enyi watanzania kwa unyenyekevu mkubwa tunakuja kwenu tukiwa na ombi moja muhimu... Michango yenu ndiyo itakayo iondoa ccm madarakani chama lazima itokane na wananchi...
kharry_de_prince tweet media
Indonesia
0
5
13
99
kharry_de_prince ری ٹویٹ کیا
Joseph Chacha
Joseph Chacha@JosephC85099765·
@kharryson95 @LAZARUSCHAKWERA @TunduALissu Public rally with 29 October massacre victims is unavoidable. @LAZARUSCHAKWERA must meet all victims in their local areas to express their views, public rally, meetings, congregations etc can be arranged in every district in Tanganyika. No victim will manage meeting in Kempsink.
English
0
1
1
11
kharry_de_prince ری ٹویٹ کیا
#NiYeye
#NiYeye@InnocentJLS·
132k views daah🙌🏻
#NiYeye tweet media
Português
7
18
235
11.4K
kharry_de_prince ری ٹویٹ کیا
RCM
RCM@robkidayo_·
Tuendelee na Tone Tone 💪
RCM tweet media
English
2
33
117
1.2K
kharry_de_prince ری ٹویٹ کیا
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Hotuba iliyompa Mhe. @TunduALissu Ushindi kwenye uchaguzi wa Chadema January 21, 2025
Indonesia
14
169
656
10.1K
kharry_de_prince ری ٹویٹ کیا
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
TUME YA CHANDE INAONEWA Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza 1. Lipo kundi limeipinga tume ya Jaji Chande tangu kuundwa kwake. Sababu yao kuu ni muundo wake na jinsi ilivyopatikana. Hawa wana haki hata ya kukataa matokeo ya tume pale itakapotolewa hadharani. 2. Lipo kundi la pili linalokosoa uamuzi wa kuunda tume hii badala ya kuunda tume ya Kijaji au labda tume ya uchunguzi kutoka nje. Kundi hili lina haki zote mbili, yaani kuikataa au kuikubali ripoti ya tume ya Chande pale itakapotolewa hadharani. 3. Limeibuka kundi la tatu linaloipongeza tume ya Chande hata kabla ya ripoti kutolewa. Hili halizungumzii muundo, hadidu za rejea wala mazingira ya tume. Linaongea kana kwamba limeishaona maudhui ya ripoti na sasa linauandaa umma ukubaliane na ripoti hiyo ambayo haijawekwa hadharani. Kwa maoni yangu, kundi la tatu kwa nia njema, linaichafua tume ya Chande. Siamini kama limetumwa na tume lakini pia siamini kama limejituma. Siamini pia kwamba kundi hili limeonyeshwa ripoti hiyo kabla haijatolewa hadharani! Nijuavyo, Tume ya Chande ina uwezo wa kutosha kujichafua na kujiharibia. TUSIISAIDIE. Wajaluo wakiishalewa huwa wanapenda kusema, “Ukimhifadhi mama mkwe kwenye chumba chenye giza, usiwe na tabia ya kumulika mulika humo chumbani kwa tochi”. Mnaomulika mulika ilikofichwa tume ya Chande, acheni. Mtapofuka. ----------------- End -----------------------
Hilda Newton tweet media
Filipino
12
88
355
11.9K
kharry_de_prince ری ٹویٹ کیا
Kagimbo Lutahya
Kagimbo Lutahya@KagsLutty·
@LAZARUSCHAKWERA kindly meet TEC as well. Meet Dr Charles Kitima who is actually the Secretary General of TEC. You will be told that the Police demanded forced for the people who were receiving gun shot treatment to be handed to them so they could be killed. #29OctNotForgotten
English
0
14
45
1.4K
kharry_de_prince ری ٹویٹ کیا
D A L A L I
D A L A L I@_zolendronic·
Ila siku Lissu akitoka Ukonga hiyo rally ya kwanza sijui itafanyikia wapi patoshe kua-accomodate nyomi.. Kwanza siku hiyo Lissu hataongea chochote, akikamata mic tunaimba 'Rais, Rais, Rais, Rais, Rais' mpaka muda unaisha... Afu tunamsindikiza mpaka nyumbani kwake Tegeta
Indonesia
13
103
625
7.1K
Kante
Kante@MkulimaKante·
X ndio platform ambayo mdau anaweza akakuomba Follow Back ukafollow back kwa upendo tu ila ile kitendo tu cha yeye kuona umemfollowback anapress unfollow button muda huo huo😁😁 Watu hawaaminiki😁🫵
Kante tweet media
Indonesia
20
20
52
901
kharry_de_prince
kharry_de_prince@kharryson95·
@KagsLutty Tuliokua wakati wa mwalimu hatukuyaona haya ... Hata wakati wa mkapa na mwinyi hayakuwepo.. Mkwere alipoingia tukaanza kuona mauza uza ukweli nchii hii ukiacha waliotangulia aliyetuharibia na kutufikisha hapa ni mkwere... Ukweli usemwe.
Filipino
0
0
0
3
Kagimbo Lutahya
Kagimbo Lutahya@KagsLutty·
Taasisi zetu zimekuwa za hovyo kinoma! Zimeharibika!
Kagimbo Lutahya tweet media
Slovenščina
1
0
0
22
kharry_de_prince
kharry_de_prince@kharryson95·
@Elsukay0 Lissu hajawahi kataa mazungumzo sema anachoweka ni masharti ya kuyafanya mazungumzo huwezi kuwaita CHAUMA kwenye mazungumzo ukategemea kusema haya wao hata chooni mnafnya la maana wapate kitu kidogo na kuahidiwa mavyeo...
Indonesia
0
0
4
230
EL SUKAYO🇹🇿
EL SUKAYO🇹🇿@Elsukay0·
Lissu kumbe kakubali mazungumzo? Upi ni mtazamo wako kazingua ama yupo sahihi?
EL SUKAYO🇹🇿 tweet media
Filipino
45
11
72
4.7K
kharry_de_prince
kharry_de_prince@kharryson95·
Jamani follows back sio content... watoto waliojiunga humu juzi mnakera yaani kila ukiscroll ndiyo mambo unakutana nayo.. tumekaa hapa for a dicade haya mambo hayakuwepo na watu waligain followers kama uko na content nzuri watu watakufollow tu wala usipate presha..
Indonesia
0
0
0
2
kharry_de_prince ری ٹویٹ کیا
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Peter Magyar kiongozi wa Upinzani aliyeshinda uchaguzi wa Hungary na kuwa Waziri Mkuu mpya wa taifa hilo amekataa KULINDWA. Amesema “Sina ninacho ogopa na ninataka nifanye kazi bila kuja kuogopa baadaye. Hungary lazima iwe nchi ambayo mtu mwaminifu anaishi bila kuwa na hofu”.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
23
53
776
9.5K
Boniface Mwabukusi
Boniface Mwabukusi@Mwabuk2Boniface·
NILIPATA NAFASI YA KUONANA NA KUZUNGUMZA NA Dr Lazarus McCarthy Chakwera . Nilipata nafasi ya Kuonana na Kuzungumza na Mheshimiwa Dr.Lazarus McCarthy Chakwera Muwakilishi wa Katibu Mkuu Commonwealth na kuzungumzia Kiini cha tukio baya kabisa la Mauwaji ya halaiki la Oktoba 29 /2025 na matukio mengine ambata ya kabla na baada ikowemo watu Kutekwa na kupotezwa. Hoja zetu zililenga namna bora ya kupata ufumbuzi kamili kwa msingi wa UKWELI(TRUTH), HAKI (JUSTICE) na Uwajibikaji (ACCOUNTABILITY). BAK MWABUKUSI.
Boniface Mwabukusi tweet media
Indonesia
53
221
942
19.1K