Reema Mbuya
139.4K posts

Reema Mbuya
@raynzzle
I love Jesus Christ #TeamJesusForever👸🏾👸🏾🙏🏽💫 🌺


Nakubaliana na namna ulivyopanua angle ya kujadili the problem as a whole, ila tunaposema “civilization” kuwa tatizo we need to agree kwamba tatizo ni wanaposwa kuhakikisha civilization inakuwa in place. We can’t obtain civilization ikiwa uchumi wa mtu mmoja mmoja ni duni. Masikini hana ustaarabu hilo lisiwe gumu kueleweka. Mfano:- -Kuna watu wanategemea kuokota scraps (makopo na vyuma chakavu) ili waishi, maana yake kutupa taka inaonwa kuwa uwezeshaji wa ndg zetu wanategemea hilo. -Kuna wanaotegemea kufua nguo zao kwenye maji yanayopita kwenye open drainage system pembezoni mwa barabara, kwa hivyo wahandisi wa hilo eneo na mamlaka wanaona ni vizuri kuacha open drainage ili kuwapa watu unafuu wa kupata maji japo ya kufulia au kumwagilia bustani. -Na mwisho kuna wanaotegemea kupiga debe na kuendesha daladala, bajaji, na boda, maana yake policy makers wanaona hizo ni fursa za kijamii watu kupata kipato hasa kwa nchi zetu (tunajiita masikini) maana tukivoresha miundombinu ya umma hilo kundi 2-3M watadolola. The list goes on and on, ukiangalia kwa hamasa utadhani tatizo ni KUSTAARABUKA per se, lakini ukiangalia kwa udadishi ndipo unagundua vizuri kuwa tatizo ni Complacency na unufaika wa kibinafsi wa kikundi kidogo cha wanaopswa kuhamasisha/kuchochea ustaarabu through “economic empowerment” kwa jamii wote. Kundi la waendesha bajaji, boda na daladala walipaswa wawe workforce viwandani, tech hub, mashambani na sekta zingine zenye kuchochea generational talent and skills. Kiini cha tatizo (IMO) ni “Complacency” ya tabaka la uongozi toka ngazi zote za jamii yetu.

🇳🇴☀️ Norway's training session as they try to become acclimatised to the sun in America.

Ayra Starr ft Latto official world cup song “Show Me”

Jennifer Lopez shares her twins, Emme and Max, got accepted to all five colleges they applied to and received scholarships to each. (via PEOPLE)


WE DOING VIDEOS NOW

I’m looking for some fire designers to design something for A*pop merch. Drop your work here🐾

Nigerians : " you need to speak for us ,we are getting killed " Tems :

Davido, nelly and major lazer No place like home.. 🏟️


Nobody ever dreams of doing what they’re told. Rip The Script. June 4th.

Tolanibaj kickstarts her DJ academy today🥳🔥


