Mbilinyi J

13.5K posts

Mbilinyi J banner
Mbilinyi J

Mbilinyi J

@thisisjo_

Attended Songea Boys Secondary School

Tanzania شامل ہوئے Haziran 2011
1.4K فالونگ749 فالوورز
پن کیا گیا ٹویٹ
Mbilinyi J
Mbilinyi J@thisisjo_·
Tarehe 08/11/2018 Nilipata Nafasi Ya Kumbeba Mtoto ANGEL pale kituo Cha watoto Yatima TUMAINI kinachopatikana Ilunda,Makambako-Njombe
Mbilinyi J tweet media
Filipino
1
7
40
0
Mbilinyi J ری ٹویٹ کیا
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
Flashback Friday! Me & Profesa Jay tukiwa backstage kwenye show yake ya Atlanta, USA mwaka 2010. Katikati ya Show wakati wa Wimbo wa “Hakuna Noma”, alinipandisha mimi na Bamboo (wa K-South) tukapiga verses. Kiukweli nimesha perform show kibao na majukwaa kibao… ila Hii itabaki kuwa the best highlight of my career so far. Prof Jize ni undisputed heavyweight MC, and unanimous G.O.A.T was TZ Hip Hop. Ame inspire vizazi na vizazi, he’s been a mentor to many (including myself) na ameacha alama isiyofutika. Leo anaenda kupewa heshima yake kwenye Bongoflava Honors, naomba wote mtokee kwa wingi ku-celebrate career ya one of the best to ever do it!!! SHOW YA LEO SIO YA KUKOSA.. Shoutout to Sugu & Deiwaka Ent for this platform.
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader tweet mediaWebiro Wakazi Wassira #TheLeader tweet media
Filipino
8
46
527
18.1K
Mbilinyi J
Mbilinyi J@thisisjo_·
@xoxo_arts @MarekaMalili kwenye Trip 10 Tuseme Alikua Anatumia Lita 1 kwenye Umbali Fulani, Sasa Lita Iongezeke Buku, Ila ye Kila Trip Anaongeza Buku Sio Haki🤣
Filipino
0
0
0
108
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Boda na Bajaji walipandisha bei wamerudi default setting 🙌🏼🤣
Indonesia
45
56
1K
47.4K
Mbilinyi J ری ٹویٹ کیا
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
Nikikaaga kusoma comment za watu, wanasema “Wakazi hajui ku-freestyle” huwa nacheka sana 😁🤣 Complex Rhyme Patterns, Multisyllabic Rhyme Schemes, Wordplays, Puns, Cadence Switch Ups, etc all in an OFF THE DOME FREESTYLE.. Wanaojua WANAJUA! 😎 Soon Darasa Huru lingine naleta, acha tumalizane na masuala ya Tume Ya Chande!! BEBERU 🐐 #Workethic #WhenIBeOnTheMic #ThrowbackFreestyle
Filipino
18
20
164
5.3K
Mbilinyi J
Mbilinyi J@thisisjo_·
@gabyconscious Na Mwanao Jacob, Siku Moja Iringa Pale yukp Anatrade na Veve pembeni, Ameona bora akakoboe Chaki Tu
1
0
0
26
Mbilinyi J
Mbilinyi J@thisisjo_·
@gabyconscious Kuwa Sawa Yupo sawa Tu, Lakini Age Imembadilisha Pia Sio Kwamba Ndo Kachoka Sana 🤣🤣 Ujuzi Umo Ila Mwendo wa Maendeleo Unakuwa Ni Kobe Na Sababu si zipo Market Imechange
Filipino
1
0
1
37
Mbilinyi J
Mbilinyi J@thisisjo_·
@Wakazi Yeah Ndo Kilichotokea, Na Anakiri At That Time Alizungukwa na Agemate ambao Ili waendelee Kuwa Nae Hakukua Na Wa Kumpinga Wala Kumrekebisha Na Ego Ya Profit streak Ikaleta Madhara
Indonesia
0
0
0
38
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
Sio Waongo!! Sema hawa disclose kikamilifu tu… Ukiangia kwenye ku-trade, unakuwa unakopeshwa ka mtaji kakuanzia, ambako ukikazungusha mwishowe kanakuwa kako. Sasa ukichanganya yako na uliyopewa hela inakuwaga kubwa sana. Wanaopotezaga zote kwa ghafla ni wale wanafanya kitu kinaitwa “Options Trading” tena za day by day…. yaani unaweza lala maskini ukaamka tajiri au ukalala tajiri ukaamka maskini.
Qubvan🦁@Vanysimba

@MarekaMalili @IAmHaule 😂😂Japo wengi wanakuaga waongo tu wanatu-motivate tu

Filipino
2
2
60
5.6K
Mbilinyi J
Mbilinyi J@thisisjo_·
@gabyconscious Mwenyezi Mungu Amsaidie Tu, Yupo sawa Sema Kurudi Kule Juu ni Ngoma Ngumu Kidogo na Ye Amekiri wazi, He is Good Guy Bado
Indonesia
1
0
0
54
Mbilinyi J
Mbilinyi J@thisisjo_·
@Wakazi So Una 750K Usd Halafu Unatoa Nusu Unawalipa Watu Then Kuna Kiasi Ulitoa Kufinance Lifestyle yako Na wana, Bado Umesimama Kutrade, Unarudi kutrade ni Low Season ndo Alipopoteana Hapo
Filipino
1
0
0
40
Mbilinyi J
Mbilinyi J@thisisjo_·
@Wakazi Jamaa Wanayembishia Anakiri Tu Hakupoteza Kwenye Trade ni Mistake Tu Alifanya 1. Hakuwa anatunza Kumbukumbu vizuri 2. Kutumia Capital Kwenye Kuwatoa Kwenye Majanga wana Na Msimu Huo Wote Alikua Hafanyi Kazi 3. Kuwalipa Return ya 50% Investors Kwenye Mwezi Ambao Hakufanya Kazi
Indonesia
1
0
0
401
Mbilinyi J
Mbilinyi J@thisisjo_·
@gabyconscious Me nmefika State House Ukifika Unamwambia Boda Nipeleke kwa Magnetics, Ukifika Appartment Zote analipia Yeye Anakaa na wahuni wake Tu, Sema Jamaa Alikuwa anawakubali sana Wanae,
Indonesia
1
1
0
133
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒@BarakaMaviatu·
Jembe alichoma 1.7B akiwa na miaka 21. Na watu wazima walikua wanampa kibunda. Watu wa pesa mtandaoni hua wanaaminika haraka kuliko biashara nyingine kwa nini?
Indonesia
32
54
448
37.9K