Tweet ghim
Gasto Mg
21.1K posts

Gasto Mg
@GasNet07
“I am that child who was shot and died in the civil war in Sierra Leone.” Raised in 🇬🇧, Residence Tanzania 🇹🇿
London, United Kingdom Tham gia Ekim 2013
2.1K Đang theo dõi2.2K Người theo dõi

@nyawale @joharimshana Hajielewi...sisi nyumbani kwakina Maria kwenyewe hatupajui ata hivyo hiyo picha inaonesha kwakina Maria pazuri kuliko kwetu
Filipino

@joharimshana Nyumbani kwa kina Maria hakuna impact kwa jamii (social cost). December 30, 2025 nilipasua tairi mbili Kifanya(Njombe) hili lina social cost kwa kwa watumiaji wa barabara ambao ni watz.
Nielewesje nyumba kuwa chafu inacost nini kwa jamii?
Indonesia

Team Maria, mimi ni Jeshi la mtu mmoja tu so nina muda mzuri na nyie ila ujumbe wangu mmoja tu AFUATILIE MASWALA YA NYUMBANI KWAO NA KUSAFISHA NYUMBA YAO.
Mwambieni awahadithie jinsi gani kifo cha baba yake kinamuuma kwasababu anajua yule Mzee Sarungi alitengwa ndani ya nyumba yake bila watoto wake kumjali! Hao walikuwa wanaenda kumuona baba yao kama yuko hospitali wakati yuko kwenye nyumba yake, walikuwa wameajiri watu wamuhudimie baba yao na bado mdogo wake alikuwa ana wafokea manesi na madaktari mpaka wengine wakaacha na bado hawakuwalipa., alafu anasema hakuishi maisha ya kifahari? Kuna masikini anamuajiri mtu ili ahidumie wazazi wake?
Yaan endeleeni kutukana muone kama mnamsaidia bali mnatakiwa msaidie hata mlioko Dar nendeni mkamuone yule mama ili na mfanye usafi na nyumba na kuwakarabatia vizurii!!! Pyeeee unasema viongozi wa ccm makatili mnawajua watoto wa kike wa SARUNGI walivyo makatili nyie………. Mkitukana tena naendeleaaaaa mpaka mkafanye usafii




Indonesia
Gasto Mg đã retweet

Usipotafakari juu ya kifo unaweza kuwatendea wenzio vyovyote utakavyo. Ukawateka, ukawaua, ukawazika kama mizoga, bila kujali maumivu yao wala hisia zao.
Kama vile utaishi milele. Lakini ukitafakari juu ya kifo, na ukajua kwamba siku moja utalala mauti, utawapenda wenzio, utawalinda, utawaheshimu, na ukiwa kiongozi utaongoza kwa HAKI. Tuache kiburi cha uzima, kifo kipo. Na hilo ndilo neno la leo. Tumsifu Yesu Kristo 🙏🏽

Indonesia

@mrcash2222 Mie sio mwanaume 😂, hivi tone ya kiume hauwezi ijua? Mimi ni Mwanamke Dada Joharii 😂
Indonesia

AIBU DADA MARIA, jaman picha 1 ni nimeikuta online na ikionyesha carpet ya nyumbani kwa Maria kwa Shangazi, na 2 nimepiga mimi ndani sasa niambie nimeongopa kuwa hapo sio kwa kina Maria Sarungi, ujumbe ni mdogo tu dada Maria mwambie dada Vero aende pale Amel carpet kuna carpet za kisasa tunaweza kumbadilishia.
Nyumba chafu sana dada sana, tuiweke sawa tuweke furnitures za kisasa dah! Au tumuombe Mama Samia tukamtembelee mama.? Yaan nilienda kwa Shangazi siku nyingii na ndio maana naumia, nilivyomuona Dada Maria yuko busy na harakati nikajua nyumbani kutakuwa sawa ila lah!!


Filipino
Gasto Mg đã retweet

@godbless_lema @KDKRafiq01 Kuna biashara ya SK na vinyl kule wanaendaga kuvesha
Eesti

@Sisimizi3 @kilepi_tweve Kwahiyo unataka kusema alikuwa mmoja wa mashetani sasa anataka kujitenga na mashetani, mtumeeee!
Filipino

@NifferSancho_ @kilepi_tweve Mmeona waume zenu wakivaa hivyo basi unafikiri kila mwanaume anavaa bukta...sisi wengine sio wasukuma. Kaka zangu wasukuma mnisamehee😂😂
Indonesia

@emabilly2001 Mimi mtu wa mbeya, sijawahi kulisha ng'ombe ata kwenye beseni. Hivyo ondoa neno Mbeya kwenye statement yako kaka
Indonesia
Gasto Mg đã retweet

Kule Tabora kumetokea Story ya kueneza vipeperushi na mipira yenye alama zinazoshabiana na Ushoga
Kuna Muinjilisti katokea Amerika Kaskazini huko na kampeni yake akawatafuta wachungaji mkoani humo wakagawa mipira na vipeperushi kwenye shule lakini baadaye baada ya uchunguzi kufanyika ikaonekana kuna namna vipeperushi na mipira hiyo inaunga mkono harakati zisizo.
Jama wamefukuzwa Tabora na mipira na vipeperushi vimekamatwa.

Indonesia

#BreakingNews
Jeshi la Polisi Musoma mjini linapiga mabomu ya machozi njee ya Kanisa la Kuu la Katoliki wakati ibada inaendelea.
Ikumbukwe leo baada ya Idd Amin Mama kuzuia BAWACHA tusifanye maadhimisho yetu, tuliamua kwenda Kanisa la Katoliki kushiriki misa takatifu.
Indonesia

@ReganTesla_ Kamali ipo kisheria, kama hauipendi si upige nyeto ili upate usingizi mzito ulale usizione post zao mkuu.

Akisema anatombwa na wewe uko Tayari maana nikiangalia kipara chako sio cha kupawaga na muamala wa 2.7M.
Jitafakari Munio
P'site Shio@Psiteshio1
Wataalamu WA miamala mpitishe VAR hapa kwenye 2700000 huyu demu anatoa wapi pesa nyingi hivi.?
Filipino

@SafeMedicines24 @mshambuliaji Mbona mnachamba mtoto wa watu Mshambuliaji
Indonesia

@mshambuliaji Ya octoba 29 hukuyaona? Pimbi ww... Ya iran unayajua hadi ya sirini, haya yaliyokuwa wazi kweupe hukuyaona.... Shetaniii mkubwa.....
Filipino

Ripoti za hivi punde zinazotolewa na Iran International zinaarifu kwamba Mojtaba Khamenei, mwana wa marehemu Ayatollah Ali Khamenei, atatangazwa kama Kiongozi Mkuu (Supreme Leader) wa Iran.
Uchaguzi huo ulifanywa na Bunge la Wataalamu (Assembly of Experts) — chombo kinachowajibika kuchagua mrithi wa kiongozi.
Ripoti hiyo inasema uteuzi huo ulifanywa chini ya shinikizo kutoka kwa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi (IRGC), kikosi chenye nguvu kisiasa na kijeshi nchini Iran.
Hii ina maana kwamba, pamoja na utaratibu wa kikatiba wa Iran kutosha uchague mrithi, imeelezwa kwamba upande wenye ushawishi mkubwa wa kijeshi (IRGC) umehusika kikamilifu katika mchakato huu ili kuhakikisha Mojtaba anapata nafasi hiyo.
#KitengeUpdates

Indonesia

@privaldinho Unafahamu idadi ya watoto wakitanzania waliouwawa tarehe 31 Oktoba, hakuna aliyekuwa salama ata wewe anaweza kutokea mpumbavu akauchukua uhai wako
Indonesia

Israel wameshambulia shule ya Minab huko Iran na kuuwa wanafunzi zaidi ya 60. Tetese zinasema shambulio hilo limefanywa kwa msaada wa Marekani (taarifa mbalimbali mtandaoni). Nimewaza ingekuwa Iran ameishambulia USA na kuua wanafunzi ingekuwaje🙌🏼🙌🏼. Kuna namna mauaji yakifanyika nchi za kiarabu na mashariki ya kati inachukuliwa poa na dunia.
Indonesia

@YerickoNyerereT Bro uliamua kuachana na matumizi ya akili ukaamua kufuata makalio
Indonesia

















