Hasheem Bongo

1.7K posts

Hasheem Bongo banner
Hasheem Bongo

Hasheem Bongo

@HBongoMan

A Tanzanian 🇹🇿 rapper with a political mind

Tham gia Ekim 2021
5.5K Đang theo dõi2.4K Người theo dõi
Tweet ghim
Hasheem Bongo
Hasheem Bongo@HBongoMan·
Tahadhari! Kurasini, Ubungo Kibo, Nzega, Uyole, Tarime, Mtama, Muleba, Rchuga na wengine. Codes hizi zikae mguu sawa Samia anataka kubwagia zigo tarehe 23. Mpango walionao ni wote wakamatwe kabla ya kutajwa Tarehe 23 na wafunguliwe mashtaka ili wasikimbie baada ya kutajwa.
Hasheem Bongo tweet media
Indonesia
1
2
13
434
Hasheem Bongo đã retweet
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Stegolena Tax alikuwa Waziri wa Ulinzi na JKT. Tarehe 29.10.2025 bado alikuwa kiongozi wa wizara. Matamko na maagizo ya CDF Mkunda na Polisi anayajua kwa kuwa majeshi yanashirikiana ktk operations. Bado mnataka jamii iamini tume ni huru wakati watuhumiwa kama huyu ni mjumbe?
joseph_selasini tweet media
Indonesia
15
84
270
6.1K
Hasheem Bongo
Hasheem Bongo@HBongoMan·
Tuliumia sana tena sana. Tuna maumivu na hatujasahau. Someni ripoti yenu huku mkijua kuwa mkimaliza tu mmetukumbusha cha kufanya. #Tutakuwepo
Hasheem Bongo tweet media
Indonesia
2
16
91
710
Hasheem Bongo đã retweet
Harry
Harry@HarryGodfirst·
Hii camouflage ya kutumia mavazi ya KIRAI ndio ilipelekea raia wengi kuuwawa na kutekwa sana. Mnakuta watu 2 & 3 wamekuzunguka unakula shaba wanatembea. Nimemsikia JAJI CHANDE amesema amehoji wahanga kadhaa, Je amesubutu kuhoji hawa POLISI waliokuwa wakitesa raia mitaani ?
Harry tweet media
Indonesia
9
68
263
6.7K
Hasheem Bongo
Hasheem Bongo@HBongoMan·
Kwa vyovyote itakavyotolewa na kusema Tume ya Jaji Chande Othmani Juu ya Vurugu na Mauaji ya October 29, 2025 ni BATILI NA HARAMU tokea ilipoundwa. Kwa sababu zifuatazo: 1. Imeundwa na Samia Suluhu Hassani ambaye ndiye mtuhumiwa namba Moja kwani ndiye alitoa amri ya kuwapiga risasi waandamanaji na watu ambao hawakuwa waandamanaji. 2. Samia alisema wakati wa Kampeni haramu za Udanganyifu Mkuu kuwa wanaosema hakutakuwa na uchaguzi wakumbuke kuwa yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu na kuwa hakutakuwa na nywinywi wala nywinywinywi. 3. Waandamanaji hawakuwa na silaha za moto ajabu yake walipigwa risasi kinyume kabisa na taratibu za kimataifa na nchi yetu za kukabiliana na waandamanaji ambazo ni matumizi ya mabomu ya machozi, maji ya kuwashawasha, hewa ya pilipili na ikilazimika risasi za plastiki. 4. Kuwekwa kwa zuio la kutoka nje na kutembea lililotangazwa na IGP Camillius Wambura ilikuwa kinyume Cha Sheria kwani hana mamlaka hayo. 5. Kuzimwa Kwa mtandao wa intaneti kwa siku sita ilikuwa kinyume Cha Sheria. Kwa kuzimwa kwake mauaji mengi yalitokea na yalisababisha watu kutokupata taarifa za kiwakati juu ya maovu makubwa yaliyofanywa na vyombo hivyo vya dola. 6. Kuzimwa kwa mtandao na zuio la kutoka nje sehemu nyingi za nchi yetu ilimaanisha hata wafanyakazi na mawakala wa Tume ya Udanganyifu Mkuu ya Jacobs Mwambegele haikuwa na uwezo wa kupata matokeo ya uchaguzi huo haramu. Ajabu yake Mdanganyifu huyo Mkuu asiyeheshimu kazi na maadili ya ujaji akatangaza matokeo kama kwamba uchaguzi ulifanyika na kura kuhesabiwa na matokeo kutangazwa katika Kila kituo na hatimaye kutumwa kwa Tume hiyo haramu! 7. Stargomena Tax ambaye alikuwa Waziri wa Ulinzi katika serikali ya Samia wakati wa udanganyifu huo ni mjumbe katika Tume hiyo ya Chande! Ni kanuni ya kisheria na haki kuwa huyu ana mgogoro wa kimaslahi na ni sehemu ya waliopaswa kuchunguza imekuwaje akageuka kuwa mchunguzi. 8. Jaji Othmani Chande na Jaji Ibrahimu Juma wanajua, kama wajuavyo wanasheria na wasomi wote, kuwa huwezi ukawa hakimu au muamuzi katika kesi yako mwenyewe(Nemo judex in causa sua) sasa imekuwaje wawe katika Tume ambayo ina kasoro hii kubwa? Je, si inafahamika kuwa pale Tume inapokuwa na kasoro hiyo yote iliyoyafanya hata kama ni mazuri, kisheria Huwa batili? 9. Wakati Tume inaanza kazi Samia ametoa matamshi ya kuingilia kati au kutoa majibu kwa Time ikiwa ni pamoja na kusema "nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi" na kuwa "kwa nini wazazi hamkuwazuia watoto wenu kutoka nje?". Sasa hapo nini kinachunguzwa? 10. Tume ilizuia uwazi wa watu waliotoa maelezo yao kwa kuvikataza vyombo vya habari kuendelea kutoa maelezo ya waathirika wa mauaji hayo ya kinyama yaliyofanywa na vyombo vya dola. Kukosekana kwa uwazi ulikuwa mkakati wa kuleta giza na kuzuia ukweli wa mauaji hayo kufahamika na hivyo kile kitakachosemwa na Tume kuwa eti ndicho kilichosemwa na waathirika kichukuliwe kuwa ni cha ukweli. 11. Tume yenyewe imeanza kampeni ya kuuandaa umma kupokea ripoti yake na imekuwa na wasemaji wake. Hiyo inaashiria nia mbaya ya Tume hiyo. Ni kwa msingi na sababu hizo nasema kuwa Tume hiyo ni batili na chote kitakochotolewa nayo ni batili.
Indonesia
0
8
19
489
Hasheem Bongo đã retweet
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
TAFAKURI! Niliwaambia wachache niliowasiliana nao kuhusu hiki kuwa inakuwaje mtu ambaye si kiongozi wa Chadema alienda kikazi kama wakili kuonana na Lissu anakimbilia kuweka taarifa ya mteja wake mtandaoni? Kwa nini asilete hata handwritten instructions aikabidhi kwa chama au familia? Kuna siku mtaelewa kuwa mi si mkorofi ila nimekataa kuburuzwa na spinning zenye harufu ya TISS playbook Kujibu narrative hii tuulize kwanza - kama ni maridhiano Tundu Lissu angeomba siku nyingi - why aombe leo kutoka kwa maridhiano baada ya kusimama kidete muda wote na Samia na genge lake kubanwa na misaada kusitishwa? Hapa lengo ni 👉🏽Kudhoofisha image ya Lissu kwamba he is just another politician ready to cut a deal - kitu ambacho si kweli! 👉🏽 kukatisha watu tamaa kuwa CHADEMA ni kama vyama vingine wakati si kweli CHADEMA haijacompromise so far na ndo inawaumiza kichwa 👉🏽 wameshalazimika kumwachia Lissu ila wanataka ionekane kama Lissu na Chadema ndo wametepeta! Yote ni spinning na mi naelewa hizi technique labda wenzangu nyie si wazoefu! Wanatafuta “kubadili upepo” Je mtaingia kichwakichwa ama mtaweza KUFOCUS? #TutaelewanaTu
Godbless E.J. Lema@godbless_lema

Wakili Kisabo, Nina wasiwasi na baadhi ya maneno uliyoandika mtandaoni kuhusu kauli ya Lissu baada ya wewe kutoka mahabusu. Msimamo wa Mkti Lissu mara zote kuhusu uhuru wake umekuwa wazi, kwamba kesi inayomkabili ni ya uongo na anapaswa kuachiwa huru bila masharti yoyote. Hajawahi, wakati wowote, kuweka sharti la kuuza uhuru wake kwa njia ya mazungumzo, hata hivyo kama cha siasa tunaelewa kuwa mazungumzo ni sehemu ya utawala katika siasa. Lakini uhuru wa Lissu haupaswi kuwa ktk sharti ili. Kisabo, labda kwenda kwako mahabusu kulikuwa ni sehemu ya mpango, na hata kauli hiyo inaweza kuwa imepangwa. Ndiyo maana viongozi, familia, na mawakili wa chama hawakupewa taarifa wala kushirikishwa wala hukuwashirikisha. Ndiyo maana pia ulipotoka mahabusu moja kwa moja uligeuka kuwa msemaji wa chama. Nawasihi Watanzania tusubiri kauli ya Lissu mwenyewe.

Indonesia
31
121
506
34.3K
Hasheem Bongo
Hasheem Bongo@HBongoMan·
Nimeota jambo kubwa sana usiku wa leo! Makamu kamkana boss wake kwenye kesi huku akisema alimshauri asifanye hivyo akamtishia maisha. Huenda ICC wakamchukua mmoja. Mwisho wa ndoto.
Indonesia
2
5
30
1.1K
Hasheem Bongo đã retweet
SafariMlevi
SafariMlevi@safarimlevi·
Machalii wetu kibao waliuliwa Hii siku sitokaa nisahau R I P Awadhi & Antony 🙏🏻
SafariMlevi tweet media
Indonesia
43
234
1.4K
27.3K
Hasheem Bongo đã retweet
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
TUNDU LISSU AKUTANA NA CHAKWERA GEREZANI Nimetoka Ukonga kumtembelea Tundu Lissu. Tumepata nafasi ya kujadili kwa kina mwenendo wa kesi zote zinazoendelea na zile zilizo pending. Amenieleza pia kuwa jana, tarehe 15 Aprili 2026, alikutana na Mhe. Lazarus Chakwera na kuwasilisha kwake masuala muhimu yafuatayo: 1. Kesi ya Uhaini inayomkabili ni kwasababu ya msimamo wa No Reforms No Election, Kesi zote zinazomkabili yeye na chama zifutwe, na kwamba yuko tayari kwa mazungumzo akiwa mtu huru yeye pamoja na chama. 2. Matukio yote ya Oktoba 2025 yafanyiwe uchunguzi huru kupitia chombo cha kimataifa, mfano SADC. 3. Kuwepo kwa mazingira wezeshi ya mazungumzo ya kweli pamoja na utekelezaji wake. 4. Uwajibikaji wa kitaasisi kwa yaliyotokea Oktoba 2025, mfano, Ofisi ya Msajili, INEC na TCRA, alisisitiza umuhimu wa kurejea Ripoti ya Jaji Nyalali (1992). 5. Mabadiliko katika vyombo vya ulinzi na usalama, alisisitiza kurejea Ripoti ya Jaji Chande (2023). 6. Mabadiliko ya mfumo mzima wa uchaguzi, ikiwemo kufutwa kwa INEC na kuundwa kwa chombo kipya huru, akisisitiza kurejea ripoti za waangalizi wa uchaguzi (1995–2025), pamoja na Ripoti za Jaji Warioba na Jaji Nyalali. 7. Katiba Mpya Nimempatia pia uamuzi wa Mahakama ya Rufani uliotolewa jana kuhusu chama kuendelea kufanya kazi amesema “watu wajiandae, muhimu nijue mkutano utafanyika wapi a day after Ukonga” @Advocate_Kisabo, Wakili wa Mhe. Lissu.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
53
304
1.2K
36.3K
Hasheem Bongo đã retweet
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
"Chadema ikifungiwa, nchi nzima imefungiwa, leo Taifa zima lina furaha.”-;~ Mhe. @HecheJohn
Suomi
13
270
1.1K
12.1K
Hasheem Bongo đã retweet
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Tukutane ground.
Eesti
146
801
3.3K
42K
Hasheem Bongo đã retweet
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Tatizo Nchimbi anazunguka sana mpaka uwe na D 2 ndo unaweza kuelewa.😂
Indonesia
30
153
1.2K
32.3K
Hasheem Bongo đã retweet
Adika
Adika@Adikastakes·
Rosenoir should be sacked if he doesn’t lose tomorrow
English
302
3.2K
28.1K
295K