Learning Everyday

216 posts

Learning Everyday

Learning Everyday

@AmazingContents

Trying to learn something new!😓

加入时间 Şubat 2023
24 关注3 粉丝
Kinjeketile II
Kinjeketile II@Kinjeketilewaii·
@AmazingContents @LucasOdero8 Anawekwa kwenye Orodha ya Wachanaji na Watu wa mitindo huru bora wa miaka yote sababu ya namna anavyotambaa ni mfano wa watambaaji wa sasa, Ukiulizia muda wa hiyo Shot ni zaidi ya miaka 20
Indonesia
1
0
1
18
Learning Everyday
Learning Everyday@AmazingContents·
@Ninja_Damour Ila wakazi hapo si kama anasimulia tu ila kaiweka kuwa ni rap na huyo fala anayeimba matusi ni nani?😂😂
Filipino
0
0
0
3
XNIPER | Trader📈
XNIPER | Trader📈@cr_xniper·
Kuna mtu aliniulza biashara ya forex umeanza lini rasmi Nilvyomjibu akabishia kuwa sio kwel nlichomjibu. Binafsi Nilianza rasmi biashara ya Forex mwaka 2022 na ndio ukwel ambao jamaa alibishia sjui kwann. Vipi wewe ulianza lini?
Indonesia
20
0
58
2.6K
Ibwe Salim Thekiete
Ibwe Salim Thekiete@SalimuIbwe·
Kwanini Stendi za Mabasi tunalipia huduma za Vyoo? 1. Ukienda Airport na Stesheni za SGR huduma za Vyoo ni Bure. 2. Ukienda Bar na Hotelini huduma za Vyoo ni Bure. Sisi ni wateja wao, hawapaswi kutuzuia huduma mbili kwa wakati mmoja.. Huduma ya choo ni sehemu ya sio biashara
Indonesia
54
60
631
33.6K
Learning Everyday
Learning Everyday@AmazingContents·
@Jesti33 Lab 5 NIT🙌, nimeenda mara kadhaa na zote nimefeli sijafanya hata interview amini uchawi upo!
Eesti
1
0
2
237
Ngin111x
Ngin111x@Jesti33·
Unaamka mapema kuwahi interview inafika mda wa kuingia wanataka suruali ya kitambaa😣💔
Ngin111x tweet media
Indonesia
12
4
54
5.4K
Learning Everyday
Learning Everyday@AmazingContents·
@assengajrr Ukiajiriwa na ukawa mwizi unaweza ila mshahara tu ni ngumu, labda kama una vyanzo vingine vya mapato
Indonesia
0
0
1
1.6K
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
Ooh uwezi ajiriwa na ukawa Tajiri, mnawajua wafanyakazi wa TPA na TRA kweli?.
Indonesia
43
15
491
42.3K
Learning Everyday
Learning Everyday@AmazingContents·
@Adventure_36 Wana vichaa, mafuta yamepanda buku haifiki, halaf mtu anataka apandishe toka 1300 mpaka 3000? Yani 1700 nzima?
Indonesia
0
0
0
55
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Mwenyekiti wa chama cha Wamiliki wa Daladala mkoani Dar es Salaam anasema hizi ndo nauli walizopendekeza wao kutokana na kupanda mwa mafuta. Nauli ya 600 iwe 850 Nauli ya 700 iwe 1300 Nauli 800 iwe 1700 Nauli ya 900 iwe 2100 Nauli ya 1100 iwe 2500 Nauli ya 1300 iwe 3000 Lakin
Indonesia
140
74
877
68.4K