Tanzania ECD Network

571 posts

Tanzania ECD Network banner
Tanzania ECD Network

Tanzania ECD Network

@ECDNETWORK

A National Umbrella Network advancing Early Childhood Development in Tanzania through advocacy, knowledge, and collaboration.

Dodoma, Tanzania 加入时间 Kasım 2012
3.7K 关注974 粉丝
Tanzania ECD Network
Tanzania ECD Network@ECDNETWORK·
🎯 Kwa Nini Tuwekeze kwa Watoto Chini ya Miaka 8? 🧠 90% ya ubongo hukua kabla ya miaka 8 👨‍👩‍👧‍👦 Tabia & ujifunzaji hujengwa mapema 📚 Malezi bora = ufaulu & mchango kwa jamii 🌍 Uwekezaji wa mapema hupunguza gharama za baadaye Tuwekeze mapema, tujenge taifa imara! 💪 #MtotoKwanza
Tanzania ECD Network tweet media
Indonesia
0
0
4
67
Tanzania ECD Network
Tanzania ECD Network@ECDNETWORK·
Malezi chanya huanzia nyumbani Mzazi mwenye uelewa hujenga mazingira salama kwa mtoto kukua kimwili, kihisia, kiroho na kijamii. Katika #TanzaniaMaleziSummit2025Mwanza, tumejifunza kuwa: Mzazi mwenye ujuzi humlea mtoto mwenye tija na manufaa kwa jamii na taifa kwa ujumla. #Mtoto
Tanzania ECD Network tweet media
Indonesia
0
1
3
80
Tanzania ECD Network
Tanzania ECD Network@ECDNETWORK·
Tanzania Malezi Summit 2025 Mhe. Dkt Doto Biteko, Naibu Waziri Mkuu, amezindua Mwongozo wa Malezi kwa Muktadha wa Dini ya Kiislamu na Kikristo hatua ya kihistoria kwa ustawi wa mtoto! Mtoto aliyelelewa kwa misingi ya imani hujengwa kuwa raia bora! #MtotoKwanza @Dr_DGwajima
Tanzania ECD Network tweet mediaTanzania ECD Network tweet mediaTanzania ECD Network tweet mediaTanzania ECD Network tweet media
Indonesia
0
2
4
65
Tanzania ECD Network
Tanzania ECD Network@ECDNETWORK·
UZINDUZI RASMI Mhe. Dkt Doto Biteko, Naibu Waziri Mkuu, amezindua Mwongozo wa Taifa wa Vikundi vya Wazazi vya Malezi na Matunzo ya Mtoto jijini Mwanza wakati wa #TanzaniaMaleziSummit2025. Mwongozo huu ni hatua kubwa ya kuimarisha malezi na matunzo ya watoto. #MtotoKwanza
Tanzania ECD Network tweet mediaTanzania ECD Network tweet mediaTanzania ECD Network tweet media
Indonesia
0
1
2
74
Tanzania ECD Network
Tanzania ECD Network@ECDNETWORK·
Kupitia #MtotoKwanza, @ecdnetwork na wataalamu wa lishe, ustawi wa jamii, CSOs na Wizara walifanya tathmini ya utekelezaji wa Programu ya Taifa ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto. Lengo: Kuimarisha ushirikiano wa wadau katika afua jumuishi kwa maendeleo ya mtoto.
Tanzania ECD Network tweet mediaTanzania ECD Network tweet mediaTanzania ECD Network tweet mediaTanzania ECD Network tweet media
Indonesia
0
2
5
42
Tanzania ECD Network
Tanzania ECD Network@ECDNETWORK·
Naibu Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko azindua kampeni ya kuhamasisha uanzishwaji wa vituo vya malezi ya awali ngazi ya jamii. Watoto milioni 9 (miaka 0–8) wapo nchini, lakini kuna vituo 206 pekee! Tuwekeze katika afya, elimu na ustawi wa mtoto kwa mustakabali bora wa taifa. @af_ecn
Indonesia
0
2
4
57
Tanzania ECD Network
Tanzania ECD Network@ECDNETWORK·
The Lancet (2016) – Series on Early Childhood Development: Inasema kuwa uwekezaji katika miaka ya awali hupunguza gharama za afya, elimu ya marekebisho, na mifumo ya haki ya jinai — na huongeza tija kazini, kipato, na mchango wa mtu katika uchumi wa taifa. #MaendeleoYaMtoto
Indonesia
0
2
7
51
Tanzania ECD Network 已转推
cdo_mzumbe
cdo_mzumbe@cdo_mzumbe·
Mchakato wa maandalizi ya mtoto utakao mwezesha mtoto kukua,kukubalika na kushiriki katika shughuli za kijamii na kiuchumii kutategemea aina ya malezi atakayo pewa mtoto. Kuelekea Kongamano kubwa la Malezi, @cdo_mzumbe inaungana na @ECDNETWORK kuwaalika wadau kushiriki #TMS2025.
cdo_mzumbe tweet media
Filipino
0
1
5
1.6K
Tanzania ECD Network
Tanzania ECD Network@ECDNETWORK·
Our Executive Director @KibwanaMwajuma joined a panel with Uganda and Kenya to share childcare experiences, focusing on policy priorities, key lessons, and insights from the Childcare Dialogue Campaign. This highlights ongoing efforts to advocate for better childcare policies.
Tanzania ECD Network tweet mediaTanzania ECD Network tweet media
English
0
0
2
25
Tanzania ECD Network
Tanzania ECD Network@ECDNETWORK·
@ECDNETWORK joins the EAC ECD forum from 6–8 May 2025 to strengthen regional collaboration on Early Childhood Development. The forum, led by @af_ecn and the @jumuiya, marks the first Technical Working Group meeting to align efforts and develop a regional ECD policy. #ECDAgenda
Tanzania ECD Network tweet mediaTanzania ECD Network tweet mediaTanzania ECD Network tweet media
English
1
0
2
48
Tanzania ECD Network
Tanzania ECD Network@ECDNETWORK·
We’re proud to join the African Childcare Forum in Kigali 🇷🇼 — an inspiring space for learning, sharing, and uniting to advance quality childcare across Africa. As we prepare for the Tanzania Malezi Summit 2025, we return with fresh insights to strengthen childcare systems in 🇹🇿
Tanzania ECD Network tweet mediaTanzania ECD Network tweet mediaTanzania ECD Network tweet mediaTanzania ECD Network tweet media
English
0
1
4
68