
@akilnyingi @AdoniasMusa Sawa Mkuu mtu wa kutumia akili, sijasema mwaliku wa biology nimesema life science kama huelewi maana yake tumia akili zako Vizuri. Ukipata muda tembea tembea upunguze ujuaji
Anyway Asante mkuu.
Indonesia
Emmanuel pius
14 posts







Mjadala wa GPA? GPA ni kwaajili yako. Sio kwaajili tu ya ajira ya BoT au big entities. Good score will open plenty of doors for you. Kama bado uko shule, tafadhali usicheze, faulu vizuri. Usisubiri upitwe na fursa kwakukosa sifa za kitaaluma. Mengine - bahati na kudra, ni ziada!






