Hasheem Bongo
1.7K posts





Wakili Kisabo, Nina wasiwasi na baadhi ya maneno uliyoandika mtandaoni kuhusu kauli ya Lissu baada ya wewe kutoka mahabusu. Msimamo wa Mkti Lissu mara zote kuhusu uhuru wake umekuwa wazi, kwamba kesi inayomkabili ni ya uongo na anapaswa kuachiwa huru bila masharti yoyote. Hajawahi, wakati wowote, kuweka sharti la kuuza uhuru wake kwa njia ya mazungumzo, hata hivyo kama cha siasa tunaelewa kuwa mazungumzo ni sehemu ya utawala katika siasa. Lakini uhuru wa Lissu haupaswi kuwa ktk sharti ili. Kisabo, labda kwenda kwako mahabusu kulikuwa ni sehemu ya mpango, na hata kauli hiyo inaweza kuwa imepangwa. Ndiyo maana viongozi, familia, na mawakili wa chama hawakupewa taarifa wala kushirikishwa wala hukuwashirikisha. Ndiyo maana pia ulipotoka mahabusu moja kwa moja uligeuka kuwa msemaji wa chama. Nawasihi Watanzania tusubiri kauli ya Lissu mwenyewe.



Samia ndio mtuhumiwa namba moja wa mauaji ya #Mo29 hawezi jiundia tume ya kujichunguza, ni ubatili mtupu. @HecheJohn @HildaNewton21 @Sativa255 @lifeofmshaba @EduTalkTz @AbroadTanzania @rose_mayemba @godbless_lema @MariaSTsehai @nulphin









