#NiYeye

47.8K posts

#NiYeye banner
#NiYeye

#NiYeye

@InnocentJLS

I ❤️ Jesus | Nimeketishwa pamoja na Kristo kwenye ulimwengu wa Roho🙏🏻

Kiboroloni, Moshi, Tanzania 加入时间 Ekim 2019
7.4K 关注11.7K 粉丝
置顶推文
#NiYeye
#NiYeye@InnocentJLS·
Bwana u sehemu yangu... 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
#NiYeye tweet media
Indonesia
6
23
135
0
#NiYeye
#NiYeye@InnocentJLS·
@IAMartin_ @Cowwbama X ya sasa unaweza kuwa umemfolo mtu na tweet zake usizione hadi u search
Indonesia
1
0
2
1.7K
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Nipo hapa kila siku. Hizo ni post za wiki iliyomalizika. Namba za hizo post, huzifikii kivyovyote. Niliacha kujadili MIJADALA isiyokuwa na tija. UTU uzima unakuja na BUSARA na MAJUKUMU yanaongezeka. MALENGO yangu yamebaki kushughulika na MaCCM tu. Huwezi kuniona nawachukia wanaoendesha MAISHA yao kwa betting. Umeni’ follow halafu unauliza nipo wapi? You’re clout-chasing?
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
11
30
245
13.8K
RaHeeM
RaHeeM@Cowwbama·
Alikuaga MMM sijui yuko wapi nowdays?,
Indonesia
18
10
193
26.1K
Rakeem
Rakeem@Rakeem0101·
@Cowwbama Twitter imekua miyeyusho sana hata kama mtu umemfolo unashangaa huoni tweets zake hata kama yupo active
Filipino
0
0
2
972
#NiYeye
#NiYeye@InnocentJLS·
Hili la bei ya mafuta wahuni wanasema tutaongea vizuri kwenye AFCON😂
Filipino
0
0
1
47
THE LAZARUS
THE LAZARUS@mchiziMonie·
Tutaongea, tutaandika sana. Ila influence aliyo nayo humu @rollymsouth ni kubwa sana, tutapingana sana ila kuna muda tutaelewa kwamba tulimuangushia jumba bovu mwamba. Metrics hazidanganyi, 90%+ ya wanaocomment vibaya kwa page yake ni followers wake. GOAT🐐
THE LAZARUS tweet media
Filipino
50
5
44
8.6K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Kwanza, ni muhimu kuelewa kuwa akiba ya mafuta ya miezi mitatu (strategic/operational reserves) inalenga kuhakikisha upatikanaji wa bidhaa haukatiki (security of supply), siyo kudhibiti bei zisibadilike. Katika masoko ya mafuta, bei huamuliwa na mchanganyiko wa gharama za kimataifa (international benchmark prices kama Brent), gharama za usafirishaji (freight), bima (insurance premiums), pamoja na gharama za ndani kama ushuru na logistics. Hivyo hata kama mafuta yaliyopo yaliletwa kabla ya mabadiliko ya bei duniani, thamani yake ya kiuchumi hubadilika mara moja kulingana na bei ya sasa ya soko (market valuation), siyo bei ya zamani ya ununuzi. Pili, biashara ya mafuta inaendeshwa kwa kanuni ya ‘replacement cost pricing’ badala ya ‘historical cost’. Hii ina maana kuwa bei ya kuuza leo inaangalia gharama ya kununua mzigo unaofuata, siyo gharama ya mzigo uliopo. Kama utaendelea kuuza mafuta kwa bei ya zamani wakati gharama ya kuagiza mzigo mpya imepanda kwa kiasi kikubwa, basi mapato utakayopata hayatatosha kurejesha kiwango kilekile cha stock (volume). Hii husababisha kile kinachoitwa ‘inventory loss’ au ‘under-recovery’, ambacho kinaweza kupelekea upungufu wa mafuta sokoni. Ndiyo maana marekebisho ya bei hufanyika mapema kabla hata akiba ya zamani haijaisha. Tatu, katika muktadha wa Tanzania (na nchi nyingi zinazo-import mafuta), mfumo wa ununuzi wa pamoja (bulk procurement system) unalenga kupata bei shindani, lakini bado unaathiriwa moja kwa moja na mabadiliko ya soko la dunia na thamani ya fedha (exchange rate risk). Hivyo kinachoonekana kama faida ya muda mfupi kwa wauzaji au serikali, kiuhalisia ni ‘price smoothing mechanism’ inayolinda mzunguko mzima wa ugavi (supply chain sustainability). Kwa lugha rahisi: fedha inayopatikana leo kwa bei ya juu ndiyo itakayowezesha kununua mafuta ya kesho kwa bei hiyo hiyo ya juu, ili kuhakikisha kiasi cha mafuta (volume) kinabaki kilekile bila kusababisha uhaba sokoni.
The SPECIAL ONE ™️@bajabiri

Wewe ulikutana na Waziri, alikwambia "Kuna mafuta ya kutosha" Kwanini mafuta yapande kwa 1000/= wakati bado tunatumia mafuta yaliyopo kwenye reserve ya hadi Julai? Naombeni mnipe shule hapa,haya mafuta tunayotumia yameingia kwa meli kipindi hiki cha VITA au yalikuwepo kabla?

Indonesia
82
58
197
13.1K
#NiYeye 已转推
 𝐊𝐢𝐝𝐮𝐝𝐮 𝐌𝐭𝐮 𝐉𝐑™
@EsirEid @Zephania_Ndaki Akiba ya mafuta ni kwa ajili ya kuhakikisha hayakosekani, sio kudhibiti bei. Bei inapangwa kwa kuangalia gharama ya kuagiza mzigo unaofuata (replacement cost), sio ule uliopo tayari. Ndiyo maana bei inaweza kupanda hata kama stock bado ipo. Nimekuelewa.🤝
Filipino
5
6
50
2.5K
#NiYeye
#NiYeye@InnocentJLS·
Italy wamewahi kushinda Kombe la Dunia mara 4 Lakini cha kushangaza zaidi Tangu 2014 FIFA World Cup HAWAJAWAHI tena kushiriki Kombe la Dunia! ❌ 2018 – Out ❌ 2022 – Out ❌ 2026 – Out Hii ni mara ya kwanza kwa timu kubwa kama Italy kukosa World Cup mara 3 mfululizo!
Indonesia
0
0
2
54
Presenter Noah
Presenter Noah@PresenterNoah·
Bado siku 71 World Cup ianze, utaratibu ni kua na timu mbili hebu tuzijue zako😄
Presenter Noah tweet media
153
22
330
9.8K
#NiYeye 已转推
Billy
Billy@BillyTronix1·
Ewura wangekuwa wanatoa time frame!wametangaza bei leo ila bei zianze kutumika wiki 2 mbele or wiki moja mbele Maana vituo vyote bei wamebadili leo ! Hii inawezekanaje wakati hawa jamaa walikuwa na mzigo wa zamani?
Indonesia
24
22
233
8.3K
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Mwambie Jirani yako Ndejembi sasa kipindi kama hiki ndiyo Serikali iwe pamoja na wananchi iweke ruzuku kwenye mafuta ili wananchi wapate kwa bei ya kawaida au wapunguze kodi wananchi tuone serikali imejali kwasababu ya athari za vita. Mafuta yaje kwa duty free sokoni.
mhd@mhdhamad

🤔

Indonesia
22
3
23
2.8K
Innocent
Innocent@innocentvlrn·
@InnocentJLS Amini mzee,braza aliteleza ila watu walikuwa wanamtafutia engo,kuna situation inatokea wewe na Mungu wako tu ndo mnajua ukweli wa kile kilichomo ndani ya nafsi yako 🫡
Indonesia
1
1
2
269
Digital Nomad (Your Fav Dijito Bro)
Wewe unaona influencer wa betting ameweka stake ya 500k. Wewe kichwa kichwa unachukua salary yako ya Tamisemi yote unatumbukiza kwenye mkeka. Kiuhalisia 500k aliyoweka yeye hajatoa mfukoni kwake but wewe 500k umetoa mfukoni kwako then unakuja mtandaoni unasema akiliwa mmeliwa wote.
Indonesia
99
18
239
53K
#NiYeye 已转推