ATHARI ZA NYETO . 👇
1. Uume kua mdogo
2. Kuathirika kisaikolojia
3. Misuli ya uume kua legevu
4. Kushindwa kumudu tendo la ndoa kwa mda mrefu
5. Huleta vichocheo ya kua shoga.
6. Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa.
KUACHA NYETO INAWEZEKANA PIA NYETO HAIKUBALIKI. ✊
Nimepanda kwenye hii noah tumefika kwenye tope gari likaanza kurudi nyuma nikasikia wa mama wanamwambia dereva tushushe tutatembea kwa miguu tuko na watoto, wengine wakasema dereva watoto wetu bado wadogo sana tushushe upite mwenyewe sasa mbona sikusikia wale wa my man my man.😺
Pale kijijini ukikodiwa ulete mziki kwenye sherehe usipopiga
-Nibebe , Wema wa mungu umenizunguka, na ile Tamalaki na Ngoma za kamilioni Wewe kulipwa hadi aje Balozi wa nyumba kumi mkae kikao asee.