置顶推文

Kama upo kwenye nafasi ya kumvuta Mtanzania mmoja au zaidi, awe ndugu, jamaa, rafiki au mtu baki kumtoa kwenye umaskini.
Please do it, huo ndio mchango wako wa Taifa lako.
Umaskini mbaya, unaogopesha, unatisha.
Credit: @MarekaMalili
Indonesia
tycoon
8.7K posts

@ability_ink
|GIS &Remote sensing expert| Spatial Analyst| Spatial epidemiology| Man U fan || lets talk about geospatial || #tuongee_kuhusu_geospatial @techleo




Siku hizi Claude inafikiwa na limit mapema kisenge yaani umemaliza tu kuandika prompt yako safi unakaa zako unaongeza na prompt kama 3 hivi au 4 mara paap limit imefikiwa duuu!! Mna mbinu gani ya kusave hii kitu wakuuu
