
UTAMBULISHO WA MRADI | ULEVI SIO DILI
ICCAO rasmi, kupitia Project Manager na Partnership Officer, imefanya kikao cha utambulisho wa mradi katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mara, kwa lengo la kuwasilisha mradi wa Ulevi Sio Dili.
#UleviSioDili #ICCAOTanzania


Tanzania 🇹🇿 Filipino