
Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA) imetoa wito kwa vyombo vya habari kutompa ushirikiano Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark Production, Rita Paulsen (Madam Rita), hadi atakapoomba radhi kufuatia kauli aliyotoa dhidi ya chombo cha habari ambayo wameeleza si ya kiungwana.
JUMIKITA imesema kitendo kilichofanywa na Madam Rita kinadhihirisha ukosefu wa adabu pamoja na kutoheshimu vyombo vya habari.

Indonesia
