CarlMax

2.4K posts

CarlMax banner
CarlMax

CarlMax

@CarlmaaAI

Information science

Arusha انضم Ekim 2012
208 يتبع72 المتابعون
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
After eliminating Iran regime now they are celebrating
Tanzania Abroad TV tweet media
English
19
5
91
3.2K
CarlMax
CarlMax@CarlmaaAI·
@winstone_nnko Kama mwenye b37 yupo basi mi nimesahulika tu huyo atoke
Filipino
0
0
0
167
CarlMax
CarlMax@CarlmaaAI·
@mshambuliaji Hii ni mwanzo Kuna mataifa mengi yatajitoa hasa america kusini na baadhi nchi za ulaya Kombe litahairishwa au usa kuondolewa tutangalia kanuni za uendeshaj wa mashidano
Indonesia
2
0
4
1.5K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Iran imetangaza kuwa haitashiriki mashindano ya Kombe la Dunia 2026 yatakayofanyika nchini Marekani ikiwa ni siku moja baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kukutana na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, na kueleza kuwa Iran bado inakaribishwa kushiriki mashindano hayo. Akizungumza na televisheni ya taifa ya Iran leo, Jumatano, Machi 11, 2026, Waziri wa Michezo wa Iran, Ahmad Donyamali amesema uamuzi huo umetokana na sababu za kisiasa na kiusalama na kubainisha kuwa hali ya sasa haiwaruhusu kushiriki mashindano hayo. "Kwa kuzingatia kuwa utawala huo fisadi umemuua kiongozi wetu, hatuwezi kushiriki Kombe la Dunia kwa hali yoyote. Watoto wetu hawako salama na kimsingi mazingira ya kushiriki hayapo. Kutokana na vitendo viovu walivyofanya dhidi ya Iran, wametulazimisha vita viwili ndani ya miezi nane au tisa na kuua na kuwaua mashujaa maelfu ya watu wetu," amesema. Iran ambayo ipo kundi G la michuano ya Kombe la Dunia 2026 ilipangwa kucheza mechi zake za hatua ya makundi dhidi ya Ubelgiji, Misri na New Zealand katika miji ya Los Angeles na Seattle nchini Marekani. #KitengeSports
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
14
15
470
29.4K
CarlMax
CarlMax@CarlmaaAI·
@lwslgs @MariaSTsehai TS hawana un4M, ila kitengo chao cha psu wanavaa sare ambazo huombwa kutoka nchi rafiki kwa matumiz maalum mfano ulinzi wa viongozi ilinkutofautisha na raia lakini pia gwanda za majeshi yetu ndani na kubeba siraha kubwa inabid uwe na gwanda sio suti amby SI kl m2 anawza kuwa nayo
Filipino
0
0
0
12
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Machawa wajuaji ila wapumbavu 😀 TISS SIYO JESHI! TISS maana yake ni Tanzania Intelligence and Security Services na ni IDARA - ni civilian ingawa ni sehenu ya ulinzi na usalama! Kazi yao ni kukusanya taarifa na kuzichakata na kumshauri Rais! Sasa mkisema “Jeshi la TISS” na ina sare zake mnionyeshe sheria iliyoanzisha TISS kuwa jeshi na kipengele kilichotaja kuwa TISS itakuwa ina sare zake kuzitofautisha na majeshi mengine! Shida mnaleta ushabiki hamna facts Matusi sitaki leteni facts #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Filipino
29
58
320
29.9K
CarlMax
CarlMax@CarlmaaAI·
@lwslgs @MariaSTsehai Psu ni kitengo ndani ya idara Ni kama polis ndani yake Kuna trafik nk Kimsingi idara ya usalama sio jeshi Na mabadiliko waliuokuwa wanahitaji ni Sheria iruhusu wawe wanakamata na kutunza stoo zao kama polis lakini ilishindikana
Indonesia
0
0
0
16
CarlMax
CarlMax@CarlmaaAI·
@AbroadTanzania Ofis ya wazir mkuu imelipuliwa vipi u ay9 hii we mkimbizi
Indonesia
0
0
0
54
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Jengo la Bunge la Iran muda huu linawaka kutokana na mashambulizi ya Marekani
Tanzania Abroad TV tweet media
Indonesia
14
17
142
3.6K
CarlMax
CarlMax@CarlmaaAI·
@AbroadTanzania Israel hundres years back Wakimbizi hao ambao wamekaa ardhi ambayo sio yao Walipewa na un 1948 jiulize kabla ya hapo walikuwa wapi? Ma ake pale walipo sio ile Israel ya kwenye maandiko
Filipino
0
0
2
366
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Iran went 40 years back Hawana Navy Tena yaan jeshi la maji
Indonesia
19
14
239
17.5K
CarlMax
CarlMax@CarlmaaAI·
Mange na wanaharakati wenzake baadhi wameonesha ni jinsi gani binafsi na wanafiki kupitia hii ya iran na israel plus usa Ni watupu mno na ni kweli wanalipa na mashirika ya usa Nakubali Watanzania hasa wanaharakati wa ndani tusiingie huu mtego
Indonesia
0
0
0
33
CarlMax
CarlMax@CarlmaaAI·
@AbroadTanzania Hahaha we mpumbavu unahis unasmartphone peke yako yaaan
Filipino
0
0
0
140
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Israel kwa sasa imetawala anga la Iran hakuna mfumo wowote au kombola lolote lenye madhara linaweza Rushwa tokea Iran Kwenda Mbali, Amesema Msemaji wa Jeshi la Israel
Indonesia
49
30
310
27.3K
CarlMax
CarlMax@CarlmaaAI·
@VungaEl74 Hashambilii nchi jrn boresha hapo anashambulia kambi za jesh za us ambzo kwa ss ndizo htr kwake, so jpg hizo ni kpg mikono ya us .mana ndizo zitatumuka kushambulia irnHesabu kali tu ukishafanya ndio maana shambulii la kwanza limegusa kambi kutoka nchi 6 kwa pa1 na kwa usahihi
Filipino
1
0
0
422
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Nilicho kiona leo kwenye hii vita IRAN amepanic anashambulia nchi jirani bila mipango yoyote . Na marekani huu ujanja wa kuweka military bases kila zone ni mbinu ya kutaka kutoguswa yeye huwa anakumbuka sana shambulio la October 11 . IRAN anapaswa kumgusa marekani moja kwa moja kwake na alijisifu ana hayo mabomu ya intercontinental lakini yeye ameishia kuattack majirani zake Kwa namna hiyo marekani atamchakaza sana IRAN bado wachanga sana kwa kila kitu kwa mmarekani.
Vunga tweet media
Indonesia
29
9
142
24.6K
CarlMax
CarlMax@CarlmaaAI·
@AbroadTanzania Et empty camp unabana na pua Kamb owe empty ilijengwa pambo? Kima kabisa
Filipino
0
0
0
42
CarlMax
CarlMax@CarlmaaAI·
@AbroadTanzania We ni mpumbavu tu hizo kambi zipo ardhi ya kujambioni kwako?
0
0
1
40
CarlMax
CarlMax@CarlmaaAI·
@mshambuliaji Khimei yupo salama eneo salama na ndani ya siku tatu atatoa salamu za pole kwa wazayuni na usa kufuatia kipigo kitachotolewa usiku wa leo
Indonesia
2
0
0
931
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Televisheni ya Israel, Channel 12, imearifu kwamba kuna dalili zinazopelekea kuwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, huenda ameuawa katika shambulio la anga lililofanywa hivi karibuni. Hata hivyo, taarifa hizi bado hazijathibitishwa rasmi na mamlaka za Iran au chanzo huru chochote. Hadi sasa, televisheni za serikali ya Iran hazijatoa taarifa yoyote ya kifo cha Khamenei, na hakuna uthibitisho rasmi kwamba mwili wake umepatikana. Hali hii imezua hofu na maswali makubwa ndani ya jamii za kimataifa kuhusu usalama wa viongozi wa Iran na uwezekano wa mzozo wa kijeshi au kisiasa zaidi katika eneo hilo. Mashirika ya habari na wataalamu wa kisiasa wanaendelea kufuatilia hali hiyo kwa karibu, huku wakiwataka wananchi na viongozi wa kimataifa kuwa makini na taarifa zisizothibitishwa. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
30
3
251
23.1K
Wilson Oruma 🇹🇿
Wilson Oruma 🇹🇿@Mzeewajambia·
Simba SC wakikubali Nassoro Mwinchui Kuwa Mwamuzi wa DABI nitaamini Simba wamekubali mazima Kuwa timu Ndogo 1. Mwinchui sio Mwamuzi bora kwa sasa Tanzania 2. Anaulimiwa Kuipendelea Yanga mechi nyingi 3. Hii DABI yake ya Kwanza (Stand to be corrected 4. Umri Umesogea sana
Wilson Oruma 🇹🇿 tweet media
Indonesia
167
20
492
33.3K
CarlMax
CarlMax@CarlmaaAI·
@thomasjkibwana Wakrusto sio wa showoff afu zingatia wanafynga masaa 20 mpaka 23 Sio hawa wavaa vijoea masaa 13 Na matangazo kibao
Indonesia
1
0
3
321
Thomas J. Kibwana
Thomas J. Kibwana@thomasjkibwana·
Injili ya Mathayo 6:16–18 “Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki, wenye nyuso za huzuni; maana huharibu nyuso zao ili waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambia, wamekwisha kupata thawabu yao. Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, na kunawa uso wako; ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila kwa Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakulipa.”
A FM RADIOTZ@AFMRadioTZ

Kwanini Wakristo Hawafuturishi Msimu Huu wa Kwaresma Kama Waislam Msimu wa Ramadhani..?! —————— Tufuatilie Kupitia 92.9 Dodoma, Singida, Manyara, Gairo - Morogoro na Mtera.

Indonesia
21
33
152
17.4K
CarlMax
CarlMax@CarlmaaAI·
@Sisimizi3 Hahaha km 1 kwa lisaa si bora jiwe linanenda kasi ya km 10 kwa saa Afu hiyo sio Pisto kama unavy9sema Jaribu kutuliza komwe
Indonesia
0
0
0
38
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
𝐍𝐀𝐖𝐀𝐉𝐔𝐙𝐀 : Unaambiwa hiyo silaha aliyoshika Rais SSH ni nzito na hakuna Rais ambaye amewahi kuibeba, Hayati aliikataa akaamua kuibeba ndogo yake kwa sababu inahitaji uwe na nguvu za mikono na pushapu nyingi. Ili uitumie hiyo inahitaji uwe na mafunzo ya Afisa Cardet kama miezi 12, ndiyo uweze kuitumia ila ajabu ya Rais SSH aliweza ndani ya siku 1 tu, Hayati hicho kipisto kidogo aliweza kujifunza siku 7. Hiyo silaha ikiachia risasi yake inaua tembo 2 kwa mara moja, na inasafiri KM1 kwa lisaa, kama hakuna kizuizi chochote mahali inapoelekezwa. Unashauriwa kama una afya mgogoro, usikae karibu ikiwa inapigwa pia ikiwa inapigwa haitakiwi kuelekezwa juu (Vertical) au mbele (Horizontal), inatakiwa ielekezwe juu pembeni ili ikisafiri iende kama upinde wa mvua.
Dr. Sisimizi tweet mediaDr. Sisimizi tweet media
Filipino
87
10
90
29.6K
CarlMax
CarlMax@CarlmaaAI·
@fumbokhanJr Simba mnasajili wangapi na kwa muda gani?
Indonesia
0
0
0
86
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Hii ni fact sana inayo angusha team zetu za Kariakoo, Kila Dirisha la Usajili wanaleta wachezaji sita mpka watano huwezi kuta Al Ahly wakifanya huu Upuuzi. Ndio maana hizi team imekuwa ngumu kutoboa Kwenye Mashindano makubwa.
Fumbo Khan tweet media
Indonesia
5
5
143
4.3K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
We make money through your ignorant mouth….. Tukana sana ukiamini unapata nafuu ya stress zako za maisha, nami natengeneza mabilioni kupitia matusi yako… Fainali uzeeni, chagua uzeeni uje ucheze gofu au uzeeni uje kuwa chumaulete magengeni😂 Thank you @Meta
Yericko Nyerere tweet media
52
1
11
11.9K
CarlMax
CarlMax@CarlmaaAI·
@Jambotv_ Kosa ni moja tu kuendesha bila leseni mengine kelelele
Indonesia
0
0
5
435
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewafikisha mahakamani dereva wa gari la abiria T. 234 BUM aina ya Toyota Hiace pamoja na mmiliki wake, kufuatia ajali ya barabarani iliyosababisha kifo cha askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani Wilaya ya Nyamagana, Coplo Tumsifu Kileo, aliyekuwa akitekeleza majukumu yake, pamoja na kumjeruhi mtembea kwa miguu, Lucia Rweikiza. Washtakiwa hao ni Mohamed Rashid Mumba (40), mmiliki wa gari hilo na Alphonce Fredrick Kashozi (25), dereva wa gali hilo (daladala), ambao wamefikishwa leo Februari 20, 2026 katika Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana na kusomewa mashtaka nane yanayowakabili. Akisoma shauri la jinai namba 3749 la mwaka 2026 mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana, Clement Tuji, Wakili wa Serikali, Stella Minja, alianza kwa kumsomea mshtakiwa wa kwanza, Mohamed Rashid Mumba, ambaye anakabiliwa na mashtaka matatu. Shtaka la kwanza ni kushindwa kutunza kumbukumbu za dereva wake, kinyume na kifungu cha 93 na 127(1) cha Sheria ya Usalama Barabarani, Sura ya 168, mapitio ya mwaka 2023. Shtaka la pili ni kumruhusu dereva kuendesha gari katika barabara ya umma likiwa na hitilafu, kinyume na kifungu cha 39(6)(a), (b) na (c) cha sheria hiyo, ambapo kioo cha dashibodi kilikuwa kimevunjika, mlango wa mbele wa abiria ulikuwa umeharibika na gari halikuwa na mikanda miwili ya usalama kwa dereva na abiria. Katika shtaka la tatu, mshtakiwa huyo anakabiliwa na kosa la kumruhusu dereva kuendesha gari bila kuwa na leseni, kinyume na kifungu cha 24(2) na 127(1) cha Sheria ya Usalama Barabarani. Kwa upande wa mshtakiwa wa pili, Alphonce Fredrick Kashozi (dereva), anakabiliwa na mashtaka matano. Shitaka la nne ni kusababisha kifo kwa kuendesha gari kwa hatari kwa mwendo kasi katika barabara ya umma, kinyume na kifungu cha 49 na 75(2)(a) cha Sheria ya Usalama Barabarani, Sura ya 168, marejeo ya mwaka 2023. Shtaka la tano ni kusababisha majeraha kwa kuendesha gari kwa hatari na kumgonga Lucia Rweikiza (31), mkazi wa Mahina, jijini Mwanza, kinyume na vifungu vya 49 na 75(2)(a) vya sheria hiyo. Kosa la sita ni kuendesha gari bila kuwa na leseni, kinyume na kifungu cha 24(1) na 127(1) cha Sheria ya Usalama Barabarani, wakati kosa la saba ni kuendesha gari lenye namba za usajili T.203 BUM aina ya Toyota Hiace likiwa na hitilafu, kinyume na kifungu cha 45(1) na 5 cha sheria hiyo. Kosa la nane ni kushindwa kutoa taarifa ya ajali katika kituo chochote cha polisi mara baada ya kusababisha ajali hiyo, kinyume na kifungu cha 68(2)(b) na 75(2)(d) cha Sheria ya Usalama Barabarani. Mahakama iliwataka washtakiwa kuwa na wadhamini wawili kila mmoja, kusaini bondi ya shilingi milioni tatu kila mmoja, pamoja na kuwasilisha barua za dhamana kutoka serikali za mitaa. Hata hivyo, walishindwa kutimiza masharti hayo. Wakili wa Serikali, Stella Minja, aliomba mahakama kutoruhusu dhamana kwa washtakiwa hao akieleza kuwa mdhamini wa mshtakiwa wa pili ni mkazi wa Wilaya ya Ilemela lakini nyaraka zake hazikuthibitishwa na Mahakama ya Wilaya ya Ilemela, huku kila mshtakiwa akiwa na mdhamini mmoja tu. Kutokana na mapungufu hayo, maombi ya dhamana yalishindikana. Minja pia aliomba mahakama ipange tarehe nyingine kwa ajili ya kusomewa hoja za awali, akieleza kuwa upelelezi wa shauri hilo umekamilika. Hakimu Mkazi Mwandamizi, Clement Tuji, ameahirisha shauri hilo hadi Februari 25, 2026, huku washtakiwa wakiendelea kushikiliwa rumande.
Jambo TV tweet media
Indonesia
21
11
258
25.8K
SportsArenaTz
SportsArenaTz@SportsarenatzTz·
🚨 EXCLUSIVE; Nimeiona Demand Notice Kutoka Simba SC Kwenda Kwa Hans Raphael Kuhusu Elie Mpanzu yenye Kumbukumbu no SSC/CROWN/2026/02/19/01 Malalamiko ya Simba SC Kwa Hans Raphael ni Kwamba ametoa taarifa yenye Lengo La Makusudi la Kuchochea, Kuupotosha Umma na Kuharibu Jina la Simba Sports na Elie Mpanzu Kwa Kusema 1. Elie Mpanzu anaipenda Yanga Kwa dhati Wakati ana Mkataba na Simba SC 2.Elie Mpanzu ameitaarifu SimbaSC Kusudio lake la Kutaka Kuondoka Dirisha Dogo la Usajili la January au Hawezi Kuongeza tena Mkataba 3.Simba SC wana wasi wasi Kuhusu Elie Mpanzu Kutaka Kujiunga na Yanga NOTE; Simba SCwamesisitiza Kauli za hapo Juu ni Muendelezo wa Kauli za Kichochezi dhidi ya Simba SC ambazo Hans Raphael amekuwa akizitoa na Kuchapishwa na Kituo cha Crown Media Simba SC wametoa siku mbili Kwa Hans Raphael atoe Ushahidi/Uthibitisho usio na Mashaka (tangible proof) au aombe radhi kwa namna ile ile na kutumia njia ile ile ambayo aliitumia Kutoa hizi taarifa zake
SportsArenaTz tweet mediaSportsArenaTz tweet media
Filipino
59
30
790
50.2K