Vunga

20.2K posts

Vunga banner
Vunga

Vunga

@VungaEl74

⏳️ Dedective Vunga🔍 🔎The higher you go the cooler it becomes

New York, USA Katılım Temmuz 2024
1.9K Takip Edilen4.3K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Ukikuta rafiki yako wa karibu mapenzi yana mtesa msaidie sio kumcheka Tupa taulo mapema. Jamaa alikuwa anasoma aridhi Daislamu walipendana sana jamaa aliamua kuwa anakaa na demu wake chumba kabisa Wakapanga chumba na sebule na maisha yakaendelea mpaka jamaa akahitimu na demu pia akaihitimu chuo Maisha yakaendelea kumbuka jamaa ndio alikuwa anamhudumia demu kila kitu kipindi wapo chuo kuanzia chakula mavazi kusuka yani ni hiduma zote kama mzazi Baada ya kuhitimu jamaa alikuwa akipata kazi za hapa na pale mambo yakawa yanaenda vizuri akanunua mpaka usafiri wake wa kurahisisha safari zake za kazini Sasa demu akawa mtu wa nyumbani tu kumbe jamaa akitoka na demu anatoka maana demu anajua kurudi kwa jamaa mpaka usiku Kama ilivyo kwa mademu wakipata mtu mwingine nje dharau zikawa nyingi jamaa alikuwa amemzoesha demu kutopika wanaagiza chakula tu safari hii kwa kua hawapo tena chuo akawa anamwambia demu apike Demu akawa hataki mambo ya kupika mpaka ajisikie yeye bila hiyo hawezi kupika
Indonesia
9
11
37
2.4K
Vunga retweetledi
~BINGWA⚡
~BINGWA⚡@BingwaIK·
Uzuri ni kuwa maisha huwa vanatukutanisha tena na tuliowakatia tamaa ili watufunze nidhamu
Indonesia
1
2
2
10
Vunga retweetledi
TheBoss.💰
TheBoss.💰@BOSSferdd·
ikihamaga utasikia sio huko sasa ni wapi tena ila mpaka huwe na inchi.☹️
Filipino
2
8
10
59
Vunga retweetledi
Kondoo wa Sufi
Kondoo wa Sufi@Kondoo_wa_Sufi·
Watu hudhani mtoto kukojoa kitandani anafanya maksudi, sio kweli ndugu zangu Yaani vile wanaume mnachakata mbususu ndotoni hadi mna pizi kojo zito, ndivyo huwatokea na watoto Msiwapige bure, huwezi elewa ndoto aliyokua akiota
Indonesia
3
12
16
105
Vunga retweetledi
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Gen Z wa kenya akiingia kazini kudai mabadiliko
Indonesia
5
7
24
402
Vunga retweetledi
Mr cleansheet
Mr cleansheet@cleansheet_1·
ELIMU! ELIMU! ELIMU! waziri mkuu wa zaman wa Tanzania Mh EDWARD NGOYAI LOWASA msistizo wake mkubwa ulikua kwenye elimu hadi akaiita mara 3 Imagine huyu DINGI wanamuita STAR BOY wakati huo kazaliwa 2000 na kufikia sasa miaka 27 Si mzaz kabisa uyo Jangwan wanamuona KINDA
Mr cleansheet tweet media
Indonesia
7
6
15
343
Vunga retweetledi
𝐀𝐥𝐓𝐚𝐛 𝐒𝐩𝐚𝐫𝐤
Familia walivyo tulia ni kama vile hawaoni nimebakiza. 3 followers kufikia 800 followers Simfanye kujazia hapo wakuu 🙏😁
Indonesia
5
16
25
161
Vunga retweetledi
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Hivi hizi nguo zenye nembo ya P ni brand ya Pep guardiola ?
PàChâ#1738 💫 tweet media
Indonesia
5
9
19
199
Vunga retweetledi
MJUKUU (Fan)
MJUKUU (Fan)@WideEdson·
Katika kila familia lazima awepo ndugu mmoja hata kama hana kipato kikubwa, lakini moyo wake wa kusaidia na kujitoa kwa wengine hauwezi kulinganishwa. Kwa upande wangu huyo ni mama mdogo wangu… Aiseeh 😭❤️
Indonesia
9
19
29
140
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Repost and follow my account
English
0
0
0
20