Modesta Z
156.1K posts

تغريدة مثبتة
Modesta Z أُعيد تغريده

Ukisikia Wananchi wanasema MAMA HANA DENI ndo kama hivi.
Sio machawa wa Bongo, Idd Amin Mama ananuka madeni kila kona, mfumo wa bei, maisha magumu, shule hazina walimu, Hospitalini hakuna Dawa, hakuna miundombinu matatizo lukuki halafu unakuta machawa wanasema “Idd Amin Mama hana deni” nyambafuuuu

Filipino

Usiku wa pili bila taarifa ya kupatikana kwa mtanzania mwenzetu.
Hali hii inaumiza wazazi,ndugu na marafiki.
Utekaji utaisha lini?
#FreeNinjaDamour
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
Modesta Z أُعيد تغريده

#freeNinjaAliveNow
#freeNinjaAliveNow
#freeNinjaAliveNow
#freeNinjaAliveNow
#freeNinjaAliveNow
#freeNinjaAliveNow
#freeNinjaAliveNow
#freeNinjaAliveNow
#freeNinjaAliveNow
#freeNinjaAliveNow
#freeNinjaAliveNow
#freeNinjaAliveNow
#freeNinjaAliveNow
#freeNinjaAliveNow
#freeNinjaAliveNow
#freeNinjaAliveNow

QME
Modesta Z أُعيد تغريده

Wapendwa leo tumeenda kumtembelea mama yake na ndugu yetu #Ninja hali yake kama mnavyojua haiwezi kuwa nzuri sana,hivyo basi kulingana na maelezo yake toka wamchukue hadi sasa hawajui alipelekwa wapi, kwaiyo tunaomba kwa yeyote atakaewiwa kwenda kumtafuta ndugu yetu kesho..
Indonesia

Kama ni mtu wa kwenda minadani nahic ushawah kutana na Hawa lusha nguo si ndio eeh😌😌
Sasa kuna wale wanao lushaga mabeg, vitengee na baadhi ya nguo utakuta beg la elf 30 anadai anakuuzia kwa elf kumi hiv hizii bidhaa ushawah nunua? Na je Yale mabeg yanakuwaga imara kwel?
Mimi mwenzenu mgumu sanaa kuamin vituu na Huwa sosogei kbasa

Filipino
Modesta Z أُعيد تغريده

@ModestaZ7 Ulitaka niandike mawazo Yako halafu mimi na Ben Tunajuana Vyema sana ninaweza kumpigia simu 24 hours wewe usingile mambo Ya watu
Indonesia

kutoa ass hole
lesbian
hizi nimezikataa kwa gharama yoyote duniani na mbingu imeingilia kati🙌🏾
kama Mungu ni wa wote huo utajiri atanipa sio lazima nifanye huo ujinga
SPOON@TonnyUnfiltered
Ni dhambi gani huwezi kufanya na hufikiri kufanya ata ulipwe kiasi kingi cha pesa?
Indonesia
Modesta Z أُعيد تغريده

Unajua kwanini nchi kama Kenya hamna watu kama Mange Kimambi??
Sababu watu (kila mtu) wana uhuru wa kuongea na kukosoa Serikali yao hadharani, mta lalamikia wanaHarakati ila ukweli unabakia kwamba ni MMEWATENGENEZA WENYEWE..
#FreeNinja
Indonesia
Modesta Z أُعيد تغريده

My sis just told me coz she has a shop near Ninja place ni kapiga kelele sana tu hawa watu me siwajui na hapo Google park kunajaa watu 24/7 ila nobody even bother aise watu hatuna utu. #FreeNinja
Indonesia
Modesta Z أُعيد تغريده

Talk to me nicely... Might offer you an admission to WMU in the US...

Lusaka Radio🎧97.7@Joe_Kafuba_MD
Of all the international students I've met from the Southern region of Africa I've never met one from Tanzania... They don't learn that side?
English

Open ya dm ma'am 😫
Muuza viatu🌹@Agnesskanje
Best dick comes from a skin nigga who smoke a lotta weed.
Indonesia

Video hii hapa.. 😂😂😂😂
Kule mwishoni ndio utakufa kucheka.. just be patient 😂😂
Dada Conso 🐺@DadaConso
Kuna video huko TikTok, mtoto wa Zumaridi amerudi kutoka India.. Kaja na rafiki yake, sio mhindi.. ni mswahili mwenzetu mmoja wamemkandika make ups 😂😂 Si wakaanza ku-dance kihindi? Kanisani waumini wamelipuka Kwa shangwe na vigelegeleeee.. I was like:
Indonesia
Modesta Z أُعيد تغريده

SOUTH AFRICA KILA MARA WATANZANIA WANAUWAWA.
Jana amefariki huyu Jamaa anaitwa JOE ZAMU ni mzaliwa wa Arusha.
Huyu jamaa amefariki kwa kuchomwa moto mjinj Cape Town akiwa ndani na mwanamke wake wa kiSouth Africa jamii ya Kaladi.
Kaladi ni wale machotara wa ki South Africa ambao wengi wao wamechanganya damu baina ya mtu mweusi na Mzungu, Muhindi au Mwarabu kisha akazaliwa mtoto.
Joe pamoja na mwanamke wake wamefariki hapo hapo kiasi cha kushindwa kutambulika yupi ni Yupi, na wamechomwa moto na raia wa South Africa 🇿🇦
Mpaka sasa Jamii ya Watanzania wanaoishi South Africa wanawatafuta ndugu zake na Joe ili wawape utaratibu juu ya ufanyaji DNA ili kuweza kutambua mwili wa Joe Zamu ni upi.
Hii si Mara ya Kwanza, Karibu kila Mwezi kuna Raia wa Tanzania anauawa South Africa, Na jamii ya Watanzania waishio South Africa hushirikiana Kwa Kila kitu.
Joe ana tambulika kuwa nyumbani kwao ni Arusha kwa maelezo ya marehemu kipindi cha uhai wake.
kwa yoyote yule mwenye details za Joe Zamu kuhusu familia yake anaombwa kuwasilisha taarifa kupitia namba hiyo chini.
+255763005575
Mohamed Taibalh Hamza Msangi

Filipino




