Dada Conso 🐺

564K posts

Dada Conso 🐺 banner
Dada Conso 🐺

Dada Conso 🐺

@DadaConso

QHSE Specialist| Consultant| Fundi| Hodophile| I'm Not here to impress you| I can fulfill your deepest desires| Universe's last born🤌🏽| Smooth Lover

Tanzania Katılım Eylül 2011
2K Takip Edilen37.4K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Dada Conso 🐺
Dada Conso 🐺@DadaConso·
Mojawapo ya kigezo Cha kuwa mwanaharakati (activists) mzuri ni kuwa na the RIGHT/TRUE/ACCURATE data, details, information.. Hata kwenye kutoa maelezo kuwa why unapambania unachopambania inakuwa rahisi kujielezea bila ku-jam mid-sentence.. Mimi ukiniuliza why napambania vijana wafanye kazi kwenye mazira mazuri na salama huwezi nisikia na-jam.. I'll tell you why. Tena Kwa lugha nyepesi kabisa.. #ElimikaWikiendi #SafetyFirst
Dada Conso 🐺 tweet media
Filipino
0
11
24
2.5K
Dada Conso 🐺
Dada Conso 🐺@DadaConso·
@Davleon_msemwa @BarakaMaviatu Wanakosea vipi uwezo wakati Wana vyama vyao vya siasa ambavyo viko responsible kutafuta watu wenye sifa..? Mojawapo ya kazi za vyama vya siasa ni kuleta competent candidates.. ama nakosea..
Indonesia
1
0
1
22
Dada Conso 🐺
Dada Conso 🐺@DadaConso·
Wakati wanaanzisha wabunge wa viti maalum, lengo mojawapo lilikuwa kuwainua wanawake kwenye mrengo wa SIASA.. Lakini, as we speak hiyo era imeshapita.. Sasa hivi wanawake wanaweza kujisemea wenyewe na wanafanya kampeni vizuri tu. Bila kukutana na vikwazo kama zamani.. Sasa Kwa nini bado mpaka Leo Kuna wabunge wa vitu maalum 🤔🤔
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒@BarakaMaviatu

Kila mtu anafaa kukomaa viti maalumu vifutwe. Hawa ni 30% ya wabunge wote. Na wanaigharimu nchi Tsh.200B+ Tuanze na hili moja peke yake.

Indonesia
2
3
7
551
Dada Conso 🐺
Dada Conso 🐺@DadaConso·
Yes, movement ianzie kwenye vyama vyao.. ili waingie kama wabunge wengine.. which is very beneficial hata Kwa vyama vyenyewe.. wanakua nguvu kubwa. Hakuna mtu anachukulia serious wabunge wa viti maalum... Tuwe tu wakweli.. wanaonekana kama wameenda pale Kwa hisani..
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒@BarakaMaviatu

@DadaConso Ili kuwainua wanawake vyama vilazimishwe kua na wagombea wanawake 30% kwenye kila nafasi, na hadi kwenye teuzi iwe hivyo.

Indonesia
0
0
0
53
Dada Conso 🐺
Dada Conso 🐺@DadaConso·
Never Be Like You - Flume, Kai 🔥🔥🤌🏿
English
0
0
0
29
Dada Conso 🐺
Dada Conso 🐺@DadaConso·
@ClaraFundi 😂😂😂 good for you, Mimi tunawasiliana but.. one of them Kila nikiona sms/simu yake.. I'm on my toes 😂😂
English
1
0
0
11
CLARA🖤
CLARA🖤@ClaraFundi·
@DadaConso Me and my dadaz can go months bila kuwasiliana 😹
English
1
0
1
57
Dada Conso 🐺 retweetledi
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Jamaa yetu ana mzigo wa Nyama ya Mbuzi anauuza kwa bei ya hasara Aina ya nyama: Caucasus goat Total weight ni 1807kg = 1.8 ton @ Weight range from 6 to 7kgs Mzigo upo at Frozen Una timeline ya week mpaka sasa. ☎️0785352581 NB: Mzigo una vibali vyote vya Halal
Filipino
3
27
61
6.1K
Dada Conso 🐺
Dada Conso 🐺@DadaConso·
I'm afraid I spoke too soon.. 😩😩
GIF
English
0
0
0
69
Dada Conso 🐺
Dada Conso 🐺@DadaConso·
@RashCronix Paragraphs za kwanza I was happy.. And then the bomb came, bado I'm confused.. I really am 😩
English
0
0
0
3
Dada Conso 🐺
Dada Conso 🐺@DadaConso·
Wakaka ambao Kila siku wanazungumzia wanawake.. wanawake this, wanawake that.. Kuna mawili.. 1. Wanateswa sana na mapenzi (which I love, wateseke zaidi) 2. Hawakuwahi kupendwa utotoni, au hawajawahi kupendwa in general.. Either way, Kuna kitu kinawatesa.. 😂😂
Indonesia
15
15
73
11.8K