Masharikan 🌎 retweetet
Masharikan 🌎
68.3K posts

Masharikan 🌎
@Adambrv
Masharikan | Agenda Ngumu tu | Thought provoking global-to-local look | DM for credit or media removal
East Africa Beigetreten Haziran 2012
2K Folgt23.4K Follower

@Investingcom Why tf do you keep on asking for permission?
Just b0mb them already for fs
English

@mathiasmwita2 @420Cousin @Aydidkingkunta Emirates mbali hapa kwa wenzetu Ethiopian
Wana University ya Aviation
Fleet na routes za kushindana duniani
Wanajenga the biggest airport in Africa kuwa hub yao
Suala ni je, wao wanafanyaje?
Indonesia

@Adambrv @420Cousin @Aydidkingkunta TPA ingetakiwa kuwa na Directors wa Nje ila sio kuweka company i run ports , tungechange top Managemnt hata kama ni kuweka ngozi nyeupe mfano Fly Emirates walichofanya
Indonesia

Aisee hii nchi
All this was for nothing. Useless klmmy!
Hivi ni dhambi gani kubwa sana inatutafuna hivi?
Hatujawahi kupora wala kuiba cha mtu zaidi ya kujitoa kwa ajili ya majitu mengine yasiyostahili kabisa utu wetu
Ni nini kibaya sana tumefanya hapo mwanzoni?
Masharikan 🌎@Adambrv
Julius Nyerere Hydroelectric Power Projet | 2115 MW The biggest in East Africa. Among the biggest in Africa. Main body completed by Egyptian firm Arab Contractors Now Tanzania starts to fill water in the gigantic power station. At a time its electric SGR doing trial run
Indonesia

@mathiasmwita2 @420Cousin @Aydidkingkunta Hilo halina ubishi. Hata tujitetee vipi. We were supposed to be a 200+ Bil USD economy close to the top 3
SA
Egypt, and
Nigeria
Ok, include Morocco too to make it top 5
English

@Adambrv @420Cousin @Aydidkingkunta Aiseh inaumwa ukiangalia potential yetu na output ni kidogo sana
Filipino

@mathiasmwita2 @420Cousin @Aydidkingkunta Na huo ni mfano mdogo tu
Tumezembea muda mrefu sana. Nimejifunza sasa inabidi tukimbie tukijenga huku tunarekebisha upuuzi wa majitu ambayo bado yapo hata mahakamani hayajakanyaga
Na bado tushindane na dunia ya kasi kubwa
Tutafika lakini
Indonesia

@Adambrv @420Cousin @Aydidkingkunta Yes Tz inapotential ya kuwa 200bil GDP plus by now tumekuwa wazembe sector nyingi.
1. LNG ilitakiwa iwe U/C by now
2. SGR Dar to Mwanza ingetakiwa kuwa inakaribia kuisha
3. Bagamoyo port iwe angalau na Berth hata 3 za 400meter each
4. Liganga iron prooject iwe U/C
Indonesia
Masharikan 🌎 retweetet

KALAHARI CONFERENCE FINAL STANDINGS 📊🔥
Top 4 teams advance to the BAL Playoffs 🇷🇼🇦🇴🇱🇾🇹🇿
Next stop: Kigali.
🎟️ Get your tickets now: bal.nba.com

English

@420Cousin @Aydidkingkunta @mathiasmwita2 That I know for a fact. Tatizo letu, experience taught us, we talk a lot
I hope we get this right once and for all. Kwa sababu when we launch into the +100 Bil USD GDP club, huko hakuna longolongo. The competition is as cutthroat as war itself
I really hope so
English

Kukimbia bila miundombinu ni kujichosha, Chief. Misingi imara ndiyo inaleta ukuaji wa uchumi endelevu. Nchi wala haijapoteza kitu kama hoja ni kufikia USD 120B, bila umeme wa uhakika tutabaki kwenye dhahania tu. Ndiyo maana tumeanza kwa kujenga uzalishaji kisha tunaimarisha usambazaji na kufungua masoko ya uhakika.
Hapo ndipo thamani halisi ya fedha unazozitaja itaonekana na hizo fedha zitakuja naturally tu, Chief.
Indonesia
Masharikan 🌎 retweetet

#BreakingNews
Tanzania 🇹🇿
Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 10, Tanzania imedondoka toka orodha ya nchi 10 zenye uchumi mkubwa zaidi Afrika!
Kwa mara ya kwanza huu upuuzi umetokea klmy!
....
Tanzania 🇹🇿
Dropped from Top 10 biggest economies/GDPs in Africa in 10 years!
WTF!



HT

@thereallizberth Nimesikia. Na kuna vitu vinaonekana. Ila I still don't believe we are the worst of them all
Ukituweka kwenye mzani wa kidunia tuko sawa basi tu
Filipino

@420Cousin @Aydidkingkunta @mathiasmwita2 Then kuna haja ya kukimbia si kutembea
Tumepiga maktaimu kwenye USD Bil 90+ muda mrefu sana. Tulishatakiwa ku-clock USD Bil 100 miaka hii mitano
We need to be at least USD Bil 120 sasa
Indonesia

@Aydidkingkunta @mathiasmwita2 @Adambrv siyo swala la akili wao south wana nini cha maana kwenye huo umeme uliowaweka kwenye mgao maisha? planning ilikuwa ni kuanza na uzalishaji then transmission. Huwezi kujenga transmission kubwa bila kuwa na uhakika wa generation ya kutosha kwanza. Tutafika relax
Filipino
Masharikan 🌎 retweetet

@mathiasmwita2 Basi ndio non negotiable sasa. Tujenge! Tubane hayo matumizi wanayokufuru tujenge
Mbona Ethiopia wamejenga GERD kwa funds za Waethiopia? Sisi tunashindwa nini ku-mobilise?
Manake hamna option nyingine
Indonesia

@mathiasmwita2 Sote tunajua hata ukitetea vipi hii mipango utaonekana huna akili
Hata ukijaribi vipi kupaka sukari. Ni upuuzi sana kuendesha uchumi mkubwa kama wetu kwa staili hii
Indonesia

@420Cousin @mathiasmwita2 Mzee kwani mtu anasonga ugali watu wanalumanga (kula mkavu) halafu ndio wanaanza kuulizana kuna hela ya mboga?
Aina gani ya mipango ya nchi hii my brother tbh?
Unajua kuna vitu si rahisi kutetea
Indonesia

@mathiasmwita2 @Adambrv Watu wanaona hizo ni overnight project kazi ya bwawa imekamilika now ni kujenga transimission line ya kV 440.
Filipino

@Aydidkingkunta @420Cousin @mathiasmwita2 Kwa kweli kwenye waliopewa nafasi kuna mapimbi hayana akili kabisa. Unajua kuna kupwaya lakini zipo za kuanzia
Halafu kuna ile HAKUNA hata za kuendea maliwatoni
Filipino

@420Cousin @mathiasmwita2 @Adambrv Ndo mana wasauzi wanatumabiaga hatuna akili wao wana project ya 725kv walianza transimissionn kujenga ikafuatwa na sehemu ya kufua mzigo ila sie akili za mbuzi sijui tuliwaza nn
Indonesia








