Angehefteter Tweet
MWANAHISABATI
84.3K posts

MWANAHISABATI
@ArthurGeil
i love ❤️ Tanzania 🇹🇿 || Writer || Content Creator || Life lessons daily. Think better. Live better || Nisapoti→https://t.co/Ou3OMfdh6u
Be Your Own Boss→ Beigetreten Ocak 2022
420 Folgt6.4K Follower

@The_mesha24 Pesa Zinapoanza Kuingia, Fanya Hivi:
1. Usiboreshe mtindo wako wa maisha yako haraka.
2. Jenga mfuko wa dharura wa miezi 3 kwanza.
3. Wekeza 50% ya mapato yako.
4. Ajiri msaada kwa kazi zinazokupotezea muda.
5. Nunua MAARIFA, si vitu tu.
6. Tafuta MENTOR.
7. Be humble.
Indonesia

Umefika mwisho Asante kwa kusoma Ikikupendeza:
1. Nisapoti hapa: nisapoti.com/mwanahisabati//
2. Nifollow @ArthurGeil
3. Repost
4. Washa Notification ili usije kukosa nyuzi nyingine zinazofata
Natanguliza shukrani
Indonesia

Nakutambulisha kwenye ebook yangu:
“BE YOUR OWN BOSS”
(Mwongozo wa Kujenga Uhuru wa Muda na Pesa)
Kama umechoka kubadilisha muda wako kwa pesa na unataka kujenga mfumo unaokulipa hata ukiwa offline…
Be Your Own Boss:
duka.habaritechnology.com/book.php?slug=…
Indonesia

@francismtey Na kupitia huo upweke watu wanatengeneza kipato.
Kwa niliyo jifunza ukiwa unajitafuta huwezi kuukwepa upweke maana kila kitu kinataka ulock ik for sure.
Filipino

@iamFallacy Usiache tu kubet chukua hiyo hela ulikua ukistake uiwekeze
Indonesia









