Arthur Samuel
8.3K posts

Arthur Samuel
@ArthurSamTz
MTANZANIA | BABA | YANGA FAN
Ludewa, Tanzania Beigetreten Mayıs 2010
1.6K Folgt12K Follower

Arthur Samuel retweetet

Kikosi cha @YoungAfricansSC kitawasili uwanja wa Mkapa saa 11:00 Jioni, kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Leo wa Kariakoo Derby
HAKUNA KIPENGELE .. 👊🏼🔰🏟️
Indonesia

Hata mimi Vice. Hiyo mechi nyingine wacheze nao wao. Tusiwe wanyonge kwenye hili
Arafat Ally Haji@Arafat__AH
Nitakua wa mwisho kuamini kua kwa msimu wa 2024/25 @YoungAfricansSC itacheza mchezo mwengine wa Derby zaid ya uliokua umepangwa tar 8/03/2025
Filipino

@GIVENALITY Msiwe na haraka Gusa Achia itawafikia tu msiwe na haraka…. Heri ya Mwaka Mpya
Indonesia


@GIVENALITY @YoungAfricansSC Leo hutalala… mimi nakusubiria round ya pili mai wetu
Indonesia

Tunatambua upambanaji wenu ndani ya uwanja dakika zote 90.Mmetoka kucheza match ngumu tatu za kukamiwa kweli ndani ya siku 10 viwanja tofauti.Wachezaji na Bench msivunjike moyo. Haya matokeo ni kati ya mchezo bado sisi tunawahesabu nyinyi Mabingwa. @YoungAfricansSC #YangaBingwa

Indonesia

@msangijeff @YoungAfricansSC Brother Jeff… tuwapongeze wachezaji kwa uchache wao wamejitahidi sana. Ingekuwa wale wengine ile kadi nyekundu zingeingia za kutosha pale… #YangaBingwa
Indonesia

@Drudysseus @YoungAfricansSC 😂😂😂😂 brother hii Yanga Africa ni kubwa sana leo hata watoto wa mama mdogo wanasherekea uko walipo
Filipino

@ArthurSamTz @YoungAfricansSC Weka comment fupi tu ndugu yangu, hawata soma yote hii. 😀
Indonesia

😂😂 hapo wamekutana Pili na Tatu
GloriaSamTz_@PossibleG_
Hawa azam wapigwe mkono kabisa ndo wakome
Polski
Arthur Samuel retweetet










