Done Somen

2.5K posts

Done Somen

Done Somen

@DoneSome18

the Wildlife trade monitoring Actv, Active member JLK Tanzania..

Serengeti, Tanzania Beigetreten Ocak 2017
1.3K Folgt13.7K Follower
Angehefteter Tweet
Done Somen
Done Somen@DoneSome18·
Guys let me be honest with U, nilichojifunza humu kuna watu wanajua kukatisha sana tamaa aloo dah. Wakati flani Nilikutana na Mwanangu sana @MathiasMashaur7 katika pita pita zangu za humu, siku hiyo nilimjibu kimasikhara tu kama nilivyomjibu @Sativa255 ila jamaa haku catch wala nini ndio kwanza akanitambulisha kwa familia na kunipa moyo kuwa naweza. Nilipata kujiamini kupita maelezo kupitia mwanangu Mashauri. Nilikaa nikajiuliza kumbe naweza eeeh! Basi nikatupia mikeka kadhaa mmoja ukakubali nikasherekea na familia ndogo niliyokuwa nayo, baada ya hapo tukapitia kipindi kigumu cha 1 cut kila mara. Aise asikwambie mtu people zilikuja inbox kunikatisha tamaa sio poa. Wengine in public wakiniita tapeli na sijawahi chukua senti ya mtu. Nilijipa majibu ya haraka haraka kuwa inawezekana nimewaingiza hasara watu wengi sana waliokuwa wakifatilia odds ninazoweka. Nilivaa viatu vyao na kugundua kwa mtu asiye na mtaji wa uhakika ina maumivu sana. Nilipunguza sana kuweka odds humu kwa kweli ili nisiendelee kuwapa hasara. Leo watu wale wale nawajua kwa handle zao naona wananilaumu kwa kushinda bila kuwapa odds Ni kweli nilianza kushare odds na watu wachache inbox na mara chache nikatupia humu, namshukuru Mungu awamu hii nilitokea kushinda kupita maelezo mpaka nilijishangaa. Ila nilikuwa mnyonge sana vile sikuweza kushinda na watu wengi kama ambavyo ningetamani. This time narudi kiimani zaidi. Nitashinda na familia na wakati huu utakuwa ni ushindi mzito zaidi. Tusiache kujaribu
Done Somen tweet mediaDone Somen tweet mediaDone Somen tweet mediaDone Somen tweet media
Indonesia
111
97
622
149.3K
Done Somen
Done Somen@DoneSome18·
658C67
QST
8
9
71
3.5K
Done Somen
Done Somen@DoneSome18·
6P7UF3
QST
8
15
94
5.8K
Done Somen
Done Somen@DoneSome18·
6SFN2K
Suomi
8
11
85
6.3K
Done Somen
Done Somen@DoneSome18·
58AJRL
Indonesia
5
12
82
6K
Done Somen
Done Somen@DoneSome18·
Final Edit 5NK99N
Français
1
5
42
5.7K
Done Somen
Done Somen@DoneSome18·
Ninawatakia Eid Njema kabisa Familia 5KRBHD
Indonesia
26
19
135
11.2K
Done Somen
Done Somen@DoneSome18·
Little Edit 524HGV
Filipino
1
6
39
5K
Done Somen
Done Somen@DoneSome18·
6AB1AJ
Indonesia
9
8
80
7.1K
Done Somen
Done Somen@DoneSome18·
5JY1Y6
QST
11
14
109
7.7K
Done Somen
Done Somen@DoneSome18·
5B3HWE Wakuu huu mzigo naona umenyooka sana ila kama una moyo mwepesi mtoe wolves lakini mie namuona anashinda pia waweza kuitoa hiyo droo ya wa argentina. Zitakazobaki nadhani sio chini ya odds 600
Filipino
23
17
236
18.2K
Done Somen
Done Somen@DoneSome18·
6JMZXX Just Do it, Kama unaweza kutake risks lakini
Filipino
14
15
139
10.6K
Done Somen
Done Somen@DoneSome18·
5HEYMM
Indonesia
16
21
125
9.3K
Done Somen
Done Somen@DoneSome18·
6KBKKM
Indonesia
16
16
159
12.3K
Done Somen
Done Somen@DoneSome18·
Long shot 59N9PA
English
19
20
145
12.1K
Done Somen
Done Somen@DoneSome18·
6MQ0UV 5UE245 5581YF
Indonesia
17
28
168
13.6K
Done Somen
Done Somen@DoneSome18·
Hivi kuna uhusiano gani kati ya Kubeti na kutukana tukana Hovyo?! Yani msimbo tu kuchanika ndio mpaka uje inbox kutukana hovyo hivi!? Mtu huwezi kubeti na kujadiliana na watu kistaarabu tu mpaka utukane tukane jamani, daaaah
Indonesia
73
21
282
15.3K
Done Somen
Done Somen@DoneSome18·
5B69NZ
QST
20
17
141
11.2K
Done Somen
Done Somen@DoneSome18·
@YusuphBonito1 Punter ndio kitu gani?? Kwa hiyo mkushatukana tukana hovyo ndio odds zinaongezeka au?
Indonesia
0
1
1
166
HON. YUZUU
HON. YUZUU@YusuphBonito1·
@DoneSome18 We si ulituaminishs kuws ni punter odds 83 za sativa sio kitu? Tuendelee tuko pamoja mpaka wakukamate wakugonge
Indonesia
1
0
0
98
Done Somen
Done Somen@DoneSome18·
6KVLEN
Nederlands
26
29
200
14.6K