Sabitlenmiş Tweet

Guys let me be honest with U, nilichojifunza humu kuna watu wanajua kukatisha sana tamaa aloo dah.
Wakati flani Nilikutana na Mwanangu sana @MathiasMashaur7 katika pita pita zangu za humu, siku hiyo nilimjibu kimasikhara tu kama nilivyomjibu @Sativa255 ila jamaa haku catch wala nini ndio kwanza akanitambulisha kwa familia na kunipa moyo kuwa naweza. Nilipata kujiamini kupita maelezo kupitia mwanangu Mashauri. Nilikaa nikajiuliza kumbe naweza eeeh!
Basi nikatupia mikeka kadhaa mmoja ukakubali nikasherekea na familia ndogo niliyokuwa nayo, baada ya hapo tukapitia kipindi kigumu cha 1 cut kila mara.
Aise asikwambie mtu people zilikuja inbox kunikatisha tamaa sio poa. Wengine in public wakiniita tapeli na sijawahi chukua senti ya mtu.
Nilijipa majibu ya haraka haraka kuwa inawezekana nimewaingiza hasara watu wengi sana waliokuwa wakifatilia odds ninazoweka. Nilivaa viatu vyao na kugundua kwa mtu asiye na mtaji wa uhakika ina maumivu sana. Nilipunguza sana kuweka odds humu kwa kweli ili nisiendelee kuwapa hasara.
Leo watu wale wale nawajua kwa handle zao naona wananilaumu kwa kushinda bila kuwapa odds
Ni kweli nilianza kushare odds na watu wachache inbox na mara chache nikatupia humu, namshukuru Mungu awamu hii nilitokea kushinda kupita maelezo mpaka nilijishangaa. Ila nilikuwa mnyonge sana vile sikuweza kushinda na watu wengi kama ambavyo ningetamani.
This time narudi kiimani zaidi. Nitashinda na familia na wakati huu utakuwa ni ushindi mzito zaidi. Tusiache kujaribu




Indonesia

