DopZJ™
7.6K posts

DopZJ™
@Ericollide
Simply Amazing. IG:@Ericollide LEO 24/7 All Day. #WWE fan #SmackDown #WWERaw 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nakuru Beigetreten Haziran 2011
1.9K Folgt1.7K Follower

@Tutu_lips_ Mimi nilipewa ya dem flani ni kama alikuwa anagawa sana,wanaume walijaa DM yangu ilibidi niachane nayo baada ya mwezi mmoja .
Filipino

@flyaiko78 Kupika kwa nyumba.Hapo nko sure na kushiba na kubakisha ya baadae.
Filipino

@Haky49501827 Ndio maana napenda kulipia before najua kila kitu iko meza yangu sidaiwi.
Indonesia

@mumiasfinest Chakula nayo huwa situpi hata ya juzi lakini na hizo sheria zako acha nikae kwangu.
Nakuru, Kenya 🇰🇪 Filipino

Mimi kwangu usioshe vyombo na running water.
Usiwache lights zikiwa on kwa room hauko
Usifinye my herbal Colgate katikati
Usiflush mkojo
Usipike more than what we can eat sasa mayai nane unagongea nani
Usitupe chakula ya jana
Usiwache electronics hata kwa standby
Usitumie TP mingi kupangusa behind.
Simple rules tu unaeza jipata ukifukuzwa saa saba ya usiku if you dont go by them.😂😂😂
Mchele umepika kilo mbiliii jamaniiii,tumekula siku tatu haiishii

Indonesia

@Mstephano_ Nishawahi jipata Gilgil nikiwa nimevaa gumboots na nilikuwa nimeendea chakula ya kuku bana.
Filipino

@exceleunnah254 Nilishikwa wakiona nilikaa station weekend mzima hakuna mtu alikuja kuniona bana.
Polski

@omukambisi @ignyharaz2 Nyayo house kumbe ugaidi ilianza kitambo🤣🤣
Nakuru, Kenya 🇰🇪 Filipino

@ignyharaz2 Kuna jamaa aliniona bare pale Kamusinga juu nlimwangalia kwa uso na alikuwa amevutia banki kwa abolution. Kevo, Nyayo house dorm 36 2006 hiyo bare tukipatana utalipia
Filipino

Kuna jamaa anaitwa Mike Sitatia alinivaa highschool juu ya kurudia uji nikiwa mono akanivunja mkono.
Then he said i wanted to fight him.
Musingu wakanipeleka mukumu hospital wakaachia mzazi bill.
Mzee sold his pregnant goat ndo nitibiwe.
He's still on my bucket list.
Siku tutawahi meet na yeye kitachimbika kuliko mbavu destroyer
Indonesia

@Evanso_Spyce Unatoka tu,mi nilitoka na suitcase yangu moja ndogo na nguo zenye hazingeweza kuijaza.
Indonesia

@Iam_Greezy Ooh so that's the reason 😳😳lkn niliskia pay pay haiko juu by the way the heavier the currency the lesser the pay
English

















