Fred Muju

30 posts

Fred Muju banner
Fred Muju

Fred Muju

@FredMuju

Software Engineer | Web & Mobile Apps | Cyber Security Analyst

Dar es salaam, Tanzania Beigetreten Ağustos 2013
224 Folgt22 Follower
Fred Muju retweetet
Day Waka
Day Waka@getdaywaka·
🚀 Unatafuta kazi au unahitaji mtu wa kufanya kazi haraka? Daywaka ni app inayokuunganisha na aina zote za kazi — kuanzia kazi za kitaalamu hadi kazi ndogo za kila siku.✅ Weka kazi na upate mtu mara moja ✅ Pata kazi za muda mfupi, muda mrefu, freelance au za siku moja✅ Rahisi,
Day Waka tweet media
0
1
0
11
Fred Muju retweetet
Day Waka
Day Waka@getdaywaka·
🚀 Kujiunga na Daywaka ni rahisi sana! Kwa kutumia Google au Apple, unaweza kufungua akaunti yako haraka na kukamilisha wasifu wako — tayari kupata kazi au kuajiri mfanyakazi. 📲 Pakua Daywaka leo na uanze safari yako ya ajira. hashtag#Daywaka hashtag#JobsForEveryone hashtag#
Indonesia
0
1
0
7
Fred Muju retweetet
Day Waka
Day Waka@getdaywaka·
🚀 Getting started with Daywaka is simple! In just a few taps, you can sign up with Google or Apple and complete your profile — ready to access endless job opportunities or post your first job. 📲 Download Daywaka today and join the future of flexible work
English
0
1
0
9
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Wananchi wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga wamejitokeza kwa wingi kumpokea aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, January Makamba.
Indonesia
17
6
136
16.5K
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Mkurugenzi mtendaji wa Bank ya CRDB, Akielezea matengenezo yaliyofanyika kwenye Bank yao Video kwa Comments 👇
Latto 𝕏 tweet media
HT
5
6
207
11.2K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Hii video imeniliza sana 😭😭😭😭
Español
38
258
976
71.1K
millardayo
millardayo@millardayo·
FT: TANZANIA 0 - 1 NIGER (SOSAH 58’)
millardayo tweet media
Indonesia
108
15
467
38.3K
Fred Muju
Fred Muju@FredMuju·
@millardayo 🚀 Unatafuta kazi au unahitaji mtu wa kufanya kazi haraka? Daywaka ni app inayokuunganisha na aina zote za kazi — kuanzia kazi za kitaalamu hadi kazi ndogo za kila siku. ✅ Weka kazi na upate mtu mara moja ✅ Pata kazi za muda mfupi, muda mrefu linktr.ee/getdaywaka
0
0
0
4
millardayo
millardayo@millardayo·
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amesema Chama hicho hakitokubali kuona Mwenyekiti wao Tundu Lissu anahukumiwa kwa kesi za kutengenezwa. Heche ameyasema hayo leo Septemba 8 baada ya kuahirishwa kwa kesi ya uhaini inayomkabili Lissu ambaye tayari leo amewasilisha mapingamizi mawili katika kesi hiyo inayotarajiwa kuendelea tena kesho Septemba 9, 2025. "Kwa upande wa Chama ni kwamba hakuna ubishani kwa wale tuliokuwa Mahakamani kwamba nyaraka aliyopewa Tundu Lissu na ile iliyokuwa kwenye rekodi ya Mahakama ni nyaraka mbili tofauti na amesema yeye mwenyewe, nani aliyempelekea Tundu Lissu hizo nyaraka ambazo zipo katika mfumo wa Mahakama na alipeleka kwa sababu zipi?" amehoji John Heche. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
48
88
1.3K
58.8K
Fred Muju
Fred Muju@FredMuju·
@TheChanzo 🚀 Unatafuta kazi au unahitaji mtu wa kufanya kazi haraka? Daywaka ni app inayokuunganisha na aina zote za kazi — kuanzia kazi za kitaalamu hadi kazi ndogo za kila siku. ✅ Weka kazi na upate mtu mara moja ✅ Pata kazi za muda mfupi, muda mrefu, freelance au za siku moja
0
0
0
32
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Polisi: Taarifa ya 'Abdul na Kundi Lake Wamteka Mwandishi' ni Upotoshaji Jeshi la Polisi limekanusha taarifa iliyokuwa ikisambaa katika mitandao ya kijamii inayosomeka: Abdul na kundi Lake Wamteka Mwandishi wa Habari, Wamnyonga na Kumtupa Mto Jangwani. Katika taarifa yao iliyotolewa leo Septemba 09, 2025, Polisi wameeleza kuwa habari hizo zilizohusishwa na mwili uliokotwa eneo la Jangwani mnamo Agosti 27, 2025, sio za kweli. Polisi walifafanua zaidi ya juu kilichojiri baada ya mwili huo kuokotwa. Polisi wanaeleza baada ya mwili huo uliokuwa ukielea kwenye maji kutolewa, maafisa wataalamu wa uchunguzi wa matukio makubwa waliendelea na uchunguzi. "Wakati uchunguzi ukiendelea ndugu wa mtu huyo walipatikana na wakaweza kuutambua mwili huo kuwa ni wa Salehe Shukrani, mfanyabiashara ndogo ndogo ya kuuza mikate, mkazi wa Magomeni Mikumi," taarifa ya Polisi ilieleza. "Pia walieleza kuwa, ndugu yao huyo alikuwa na tatizo la kuanguka kutokana na kifafa kilichokuwa kinamsumbua," taarifa hiyo iliongeza. Jeshi la Polisi limetoa wito kwa jamii kuipuuza taarifa hiyo.
The Chanzo tweet media
Indonesia
63
25
147
68.2K
Fred Muju
Fred Muju@FredMuju·
Never get into competition with other people, always compete with your future.
English
0
0
0
15
Nicky Raph
Nicky Raph@nickyraph·
Nimefikiwa😂😂😂
Nicky Raph tweet media
Polski
4
0
2
415
Fred Muju
Fred Muju@FredMuju·
Every success story had a failure story.
English
0
0
2
24
Fred Muju
Fred Muju@FredMuju·
don’t stop until you’re proud of yourself.
English
0
0
0
29
Daily Loud
Daily Loud@DailyLoud·
DJ Khaled didn’t want to Mess up the Jordans 👀
English
8K
7K
136.1K
36.8M
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Wanawake wengi wasio na pesa hawaamini kuwa hawana pesa, wao wanaamini wapo katika uhusiano na mwanaume asiye sahihi.
Filipino
52
140
1.2K
54.9K
Fred Muju
Fred Muju@FredMuju·
Find your purpose before pursuing money; it's the compass guiding you towards fulfillment and achievement. Discovering your purpose ignites a powerful drive within you, propelling you towards success.
English
0
0
2
52