Zee la Vyeti (PhD)

214.7K posts

Zee la Vyeti (PhD) banner
Zee la Vyeti (PhD)

Zee la Vyeti (PhD)

@babalao__

𝗭𝗲𝗲 𝗕𝗮𝗯𝗮𝗹𝗮𝗼, 𝗣𝗵𝗗 , Zebedayo ✪Influencer ✪ Content Creator ✪

Tanzania Katılım Nisan 2020
6.7K Takip Edilen682.8K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Zee la Vyeti (PhD)
Zee la Vyeti (PhD)@babalao__·
JE UNAJUA KWA NINI HUFANIKIWI? Una mizigo mingi isiyo ya lazima wala faida ambayo umeibeba:- 1.Umejipa jukumu la kuwa "mpelelezi" wa maisha ya wengine na umesahau maisha yako. 2.Umebeba vinyongo na visasi moyoni vinavyokufanya uwafikirie waliokuumiza zaidi kuliko kufikiria furaha na maendeleo yako. 3. Una marafiki wengi ambao ni kama kupe, wapo kukutumia tu na hawachangii lolote katika maendeleo zaidi ya kujifanya ndio watu wako karibu lakini kumbe wapo kwa maslahi yao! 4.Umeweka mbele zaidi "watu watanichukuliaje" kuliko kuangalia maisha yako.Watu ndio wanakuchagulia aina ya maisha unayoishi na unajilazimisha kuishi kama wao hata kama huna uwezo huo. 5.Unaongea zaidi ya kasuku lakini vitendo hakuna.Unatamani mafanikio tu moyoni lakini huna mipango ya kuyafikia. 6.Maisha yako yote umeyaweka kwenye mitandao ya kijamii.Huna siri hata moja!Hivyo unalazimika kuishi aina ya maisha ambayo yataendelea kufanana na yale uliyoyaweka kwenye mitandao ya jamii kwa sababu ukibadilika tu watasema "umefulia" 7.Kila aliefanikiwa ni rafiki yako au utasema ni mtu wako wa karibu na unaishia kuwasifia tu na kupiga nao picha lakini hujifunzi kutokana na mafanikio yao na wala hutumii fursa hiyo ya kujuana nao. 8.Upo sahihi kila siku(you are always right). Huambiliki, hushauriki na kila wazo atakalotoa mwenzako basi si zuri ila la kwako ndio sahihi na utataka litekelezwe hilo hilo. Mwisho wa siku kila mtu anakukimbia hakuna wa kukuambia "hapa umekosea" kwa sababu ya ujuaji wako. 9.Hujifunzi maarifa mapya.Mara ya mwisho kusoma kitabu ilikuwa ni "Ngoswe, penzi kitovu cha uzembe" Tena ni kwa sababu ilikuwa ni kwa ajili ya kujibia mtihani. Hujifunzi "life skills" wala ujuzi mwingine. 10.Unazurura mno mitandaoni bila faida. Kwako wewe intaneti ni kwa ajili ya kuchati tu na kufuatilia habari za mjini ambazo tangu umeanza kuzifuatilia hujawahi kuingiza hata shilingi moja, zaidi unateketeza tu hela yako ya vocha. ISHUSHE hiyo mizigo kama kweli inahitaji kusonga mbele!
Zee la Vyeti (PhD) tweet media
Indonesia
82
122
437
208.2K
Zee la Vyeti (PhD)
Zee la Vyeti (PhD)@babalao__·
Huyu mwamba akiendelea kukaza hivi hivi msimu ujao utamuona timu za kariakoo.
Zee la Vyeti (PhD) tweet media
2
2
118
2.5K
Billy
Billy@BillyTronix1·
Siku hizi ukiomba namba wanakupa afu wanakwambia nibip nipate yako 😆😆😆😆
Filipino
30
34
424
20.5K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
WhatsApp wamefanya mabadiliko saiv unaweza ukawa na WhatsApp Moja tu na ukawa na account mbili tofauti. Haina haja ya kuwa na WhatsApp Business na WhatsApp ya kawaida ile we unachagua moja tu unakuwa na account mbili tofauti. Credit: Apolo
Filipino
26
29
354
12.1K
Zee la Vyeti (PhD) retweetledi
Sillas 🇹🇿
Sillas 🇹🇿@PauloNaSilla·
#TaifaKwanza #KataaVurugu Moja ya sifa ya utawala wa Sheria katika nchi ni pamoja na kuamini uhuru wa mhimili wa Mahakama. Huwezi kufanya propaganda kwamba Mtuhumiwa fulani atolewe Mahabusu wakati unafahamu fika kwamba kuna shauri dhidi yake linaendelea
Indonesia
1
3
2
136
Zee la Vyeti (PhD) retweetledi
Sillas 🇹🇿
Sillas 🇹🇿@PauloNaSilla·
#TaifaKwanza #KataaVurugu Ishara mojawapo ya Watu waliofilisika kisiasa ni pamoja na kuamini miujiza au kutabiri vifo vya viongozi badala ya kujenga hoja mbadala za kisiasa. Wanaharakati uchwara wanaoishi nje ya nchi pamoja na Wanasiasa
Indonesia
1
3
2
190
Zee la Vyeti (PhD) retweetledi
Sillas 🇹🇿
Sillas 🇹🇿@PauloNaSilla·
#TaifaKwanza #KataaVurugu Jeshi la Magereza nchini limeeleza wazi kwamba hakuna Mfungwa au Mahabusu ambaye ni mgonjwa akashindwa kupatiwa huduma ya matibabu. Wanaharakati uchwara na Wanasiasa wao wanaowashikia akili wasipotoshe Watanzania.
Indonesia
1
3
2
117
Zee la Vyeti (PhD) retweetledi
Sillas 🇹🇿
Sillas 🇹🇿@PauloNaSilla·
#TaifaKwanza #KataaVurugu Uhuru wa kisiasa unaodaiwa na Wanaharakati uchwara ni pamoja wao kukubali kwamba uhuru huo ni pamoja na Mtu yeyote kuwa huru kujumuika na taasisi au watu kwa utashi wake. Kuwatukana au kuwadhalilisha watu wanaohama vyama kwa hoja ya
Indonesia
1
4
3
143
Zee la Vyeti (PhD) retweetledi
Sillas 🇹🇿
Sillas 🇹🇿@PauloNaSilla·
#TaifaKwanza #KataaVurugu Wanaharakati uchwara walishangilia taarifa ya AU ya waangalizi wa uchaguzi wa Oktoba 29, baada ya Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete kuteuliwa kuwa mwakilishi wa AU wa pembe ya Afrika na Bahati ya Shamu
Indonesia
1
3
2
181
Zee la Vyeti (PhD) retweetledi
Mafioso
Mafioso@capitanpapilon·
Twitter accounts for sale with followers 19k Facebook page for sale with followers 6k 30k 41k 50k 92k 113k Instagram accounts for sale with followers 9k 10k 17k 43k 108k TikTok accounts for sale with followers 30k 50k 200k YouTube channel for sale with sub 12k DM me if interested
Mafioso tweet media
English
2
23
25
804
Zee la Vyeti (PhD) retweetledi
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Kabla ya Salat jumuah…. Nimekua na kikao na Rafiki Yangu, Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius John Ndejembi- Ofisin Kwake… a Very Smart Person,Big Brain🤝. Kuhusu swala la Mafuta - Amesema Wamejipanga vizuri,Raia tusiwe na wasiwasi kabisaa🙌🏽
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 tweet media
Indonesia
91
63
456
18.6K
Zee la Vyeti (PhD) retweetledi
Spotify Africa
Spotify Africa@SpotifyAfrica·
Current song on repeat?
English
1.3K
273
3.3K
363.8K
Zee la Vyeti (PhD) retweetledi
The Bible
The Bible@The__Bible7·
The end is near.
English
2K
2.8K
17.7K
1.3M
Zee la Vyeti (PhD) retweetledi
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Huu Mkutano wa Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi Kenani Kihongosi Manispaa ya Bukoba Wananchi wameitika kumsikiliza, kuwasilisha changamoto zao na kupokea Salamu za Upendo na maendeleo kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Dkt. Samia. Wakati CCM ipo kazini CHADEMA wanashangilia Vifo!
MR BEN tweet mediaMR BEN tweet mediaMR BEN tweet mediaMR BEN tweet media
Indonesia
38
11
53
6.1K
Zee la Vyeti (PhD)
Zee la Vyeti (PhD)@babalao__·
Niwatake Watanzania kutokuwa na taharuki juu ya upatikanaji wa mafuta. Mafuta yapo ya kutosha - Mhe. Ndejembi
Indonesia
1
0
2
840
Zee la Vyeti (PhD) retweetledi