WHITE HOUSE

12K posts

WHITE HOUSE

WHITE HOUSE

@HOMESTUDIO8

Nguvu ya Mungu

Beigetreten Mart 2020
2.7K Folgt5.7K Follower
WHITE HOUSE
WHITE HOUSE@HOMESTUDIO8·
kwani huyu anawachukuliaje G-NZ ? hivi bado mnaule ujinga wakutumika na mfumo halafu makadhani watu hawajui au wanawaelewa kuwa niwapigania haki kizazi Cha sasa sio Cha kina kawawa hivi kwasasa watu wanajua mbichi na mbivu wee endelea na ma @ccm_tanzania yako na viongozi wako
Madenge@rollymsouth

Mimi sio muoga na naona kila kitu ila busara zangu zimenituma nisiongee chochote,sitaki kuzua mjadala mwingine katika kipindi hiki kigumu(watu hawajapona bado)..Mungu atatuvusha salama na ipo siku tutaongea vizuri kabisa

Indonesia
0
0
0
51
WHITE HOUSE
WHITE HOUSE@HOMESTUDIO8·
Imagine huyu ndio alitaka awe makamo mwenye kiti wa @ChademaTZ2 hivi kiazi kama hiki kingeuza chama kwa kiwango gani ila tulimpiga pini huyu dalali wa abduli mpaka akashindwa kuongea na kuhadi mwenzake @YerickoNyerereT sasahivi wamebaki na tarabu na ngojera za kuisifu ccm mdawote
WHITE HOUSE tweet media
Indonesia
0
0
0
185
WHITE HOUSE retweetet
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Leo #MariaSpaces tunajadili: Kimeumana CCM - vikwazo, nguvu ya umma #FreeTunduLissu Tunaona milio imeanza kutoka mafedhuli wauaji wakiongelea masuala ya vikwazo zitakazo waathiri binafsi Nguvu ya umma inaelekea kushinda huku CCM wakihaha #FreeTunduLissu lini? Leo saa 2 uck
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
5
74
326
8.5K
WHITE HOUSE
WHITE HOUSE@HOMESTUDIO8·
Mnaongeaga kama mmekatwa vichwa yakiwafika mnaanza kuandika mamisululu ya mistari maneno mengi mnatumalizia miti bila sababu nyie siwajeuri endeleeni nahizo ngonjera zenu zakijani mbona mwisho umeshakaribia na upo karibu yenu sana mana wale kina how are you, ndio wameanza kukohoa
millardayo@millardayo

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema imesikitishwa na taarifa za upotoshaji kuhusu matamshi yasiyo sahihi yanayosambazwa kupitia Mitandao ya Kijamii kufuatia Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo iliyowasilishwa Bungeni Jijini Dodoma Mei 26, 2026. Miongoni mwa mijadala iliyoibuka mitandaoni ni kuhusu msimamo wa Serikali juu ya kutokuingiliwa katika mambo ya ndani ya Nchi. Katika taarifa iliyotolewa leo Mei 28, 2026 na Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Wizara hiyo imesema taarifa zinazosambazwa mitandaoni zimepotosha maudhui halisi ya hotuba hiyo kwa makusudi kwa lengo la kuleta mkanganyiko kwa Umma na kuathiri taswira ya Nchi pamoja na misingi ya Diplomasia, Uhuru na Mshikamano wa Kitaifa. Kutokana na hali hiyo, Wizara imesema itaendelea kutoa ufafanuzi rasmi kupitia Vyombo vya Habari na majukwaa mbalimbali ya mawasiliano ili kuhakikisha Wananchi wanapata taarifa sahihi na zenye muktadha stahiki wa Serikali kuhusu masuala yaliyojadiliwa katika hotuba hiyo. “Wizara inatoa wito kwa watumiaji wa Mitandao ya Kijamii, wadau wa Habari na Wananchi kwa ujumla kutumia Uhuru wa kujieleza kwa kuzingatia Weledi, Maadili, Sheria za Nchi pamoja na wajibu wa kulinda amani, mshikamano na heshima ya Taifa letu,” imeeleza taarifa hiyo. Bajeti hiyo iliwasilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo. #MillardAyoUPDATES

Indonesia
0
0
0
28
WHITE HOUSE retweetet
Brenda Rupia Jonas
Brenda Rupia Jonas@BrendaRupia·
TAARIFA KWA UMMA
Brenda Rupia Jonas tweet media
Indonesia
13
115
436
6.4K
WHITE HOUSE retweetet
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Kesi ya uongo ya mgogoro fake wa mali, ni kesi ya Msajili wa vyama.. Marehemu mama Komu alituelezea namna ambavyo Sisty Nyahoza, Msajili msaidizi akiwa na mtu anaitwa Salehe Bohora, walivyomfuata nyumbani kwake na kuomba aweke jina kwenye kesi.. Marehemu Mama Komu alituambia hata malipo ya mawakili yalilipwa na Salehe Bohora na bwana Sisty, kwa mujibu wa mama Komu huyu bwana Salehe alitumwa na Rais. Mtakumbuka pia kuna mtu alijiita Mwenyekiti wa Chadema Mwanga.. huyu nae alikua analipiwa mpaka mahali pakukaa na ofisi ya msajili, kupitia ofisi hiyo hiyo ya msajili walidai kutotambua uongozi halali wa Chama, katibu mkuu, manaibu katibu wakuu na wajumbe wa kamati kuu ya Chama. Hii kesi ilifunguliwa siku hiyo hiyo ambayo Mwenyekiti wetu alikamatwa na kupewa kesi ya uhaini. Kesi hii ilipangwa kwa Jaji mwingine awali lakini katika mazingira tata ikapelekwa kwa jaji Mwanga. Jaji Mwanga tangu awali alionekna wazi kutofuata sheria, kuendesha Kesi kibabe na kudharau kila hoja iliyotaka upande wetu… alikua na maelekezo ya wazi na alionesha upendeleo uliovuka mipaka.. Kupitia kesi hii shughuli za Chama zilizuiliwa kinyume cha sheria kwa siku 309, Mpaka mahakama ya rufani ilipofuta zuio fake.. Kupitia Hilo zuio watu wetu walipigwa mara nyingi na polisi kila walipojaribu kufanya shughuli za chama. Tutakumbuka siku ya wanawake duniani namna wanawake wa Bawacha walivyopigwa mpaka kanisani kwasababu ya zuio hili haramu.. Mali za Chama zimeharibika, Mimi pamoja na Katibu mkuu tulifunguliwa kesi ya contempt of the court. Kutokana na Amri hizi hizi. Jaji Mwanga alipuuza hukumu ya mahakama ya rufani ambayo ilikua inamlazimisha kutokifungia Chama chetu.. Nani atalipia maumivu, usumbufu, matatizo ya makusudi, nani atalipia hasara zisizolipika za kuzuia chama mda wote huu kufanya kazi zake.. Tunafurahia leo, lakini Fikiria damage zote hizi hazikutakiwa kuwepo, zilifanywa kwa makusudi kwa manufaa ya Samia na Ccm. Bado msajili anatufuata fuata na kutuandikia barua baaada ha maumivu yote haya aliyotusababishia.. Kama ilivyo kesi ya uongo ya kumtesa Mwenyekiti wetu ndivyo zilivyo zote hizi ni kwa manufaa ya Samia wala sio Nchi.. Tuacheni tufanye wajibu wetu wa kisiasa. Hatutapiga magoti wala kununuliwa.
John Heche tweet media
Indonesia
82
364
1.4K
56.1K
WHITE HOUSE retweetet
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Chezea Sanctions!? Ila haitoshi maana mmezidi - mnafikiri uonevu kwa wapinzani wenu wa kisiasa mtarekebisha kwa kufuta kesi hii moja alafu mtaonekana wana demokrasia huku mkiendelea kumshikilia Lissu, kutubagaza wanaharakati na kuteka wananchi? Someni masharti vizuri - we are not free until all of us free! Na Haki lazima ipatikane! Napongeza wanasheria wa Chadema wakiongozwa na @rugemeleza kwa kufinya kila kona hadi wametema ndoana! Never compromise! Never back down 🔥💪🏽 Hii nchi si ya Mama Abdul na genge lake! Hadi #TutaelewanaTu #FreeTunduLissu #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
16
157
589
18K
WHITE HOUSE
WHITE HOUSE@HOMESTUDIO8·
wale wenye D2 wataelewatu anachofanya mahita ila wale wasio na D mbili tunawaelewesha kwa lazima kwamba ukiangaia kwa jicho la tatu huyu IGP mdtaafu yupo kwenye misheni na misheni yenyewe niya kusuka upya idara ya aliyoiyumikia na kumawatu wanatolewa kafara subirikidogo utaona
Indonesia
0
0
0
175
WHITE HOUSE retweetet
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Kama viongozi wenu wote wamepigwa pin, ina maana chama chenu kimewekwa katika orodha ya makundi ya kigaidi! Hakuna tafsiri nyingine, Dunia inawatambua maccm kama kikundi cha Magaidi
Indonesia
14
123
826
25.3K
WHITE HOUSE
WHITE HOUSE@HOMESTUDIO8·
🤣🤣🤣🤣 nimecheka sana wabongo wachochezi sana kwahio mmeamua kumchochea mother house achukuliwe na wenye Dunia yao
Filipino
1
5
16
1.9K
WHITE HOUSE
WHITE HOUSE@HOMESTUDIO8·
Sikiliza kwa makini halafu usiangalie ukatili wake mana huyu ni miongoni mwa binadamu katili sana kuwahi kutokea kwa nyakati zake ila hilo jibu lake la kuhusu mfumo au usalama wa taifa amejibu sahihi mana nikweli kuna ukoma tena ukoma mbaya sana mtu anapoteaje usijue haiwezekani.
Indonesia
7
32
161
15.9K
WHITE HOUSE
WHITE HOUSE@HOMESTUDIO8·
sijui kama nilieeleweka ila kwahali ilivyokuwa kipindi kile ilikuwa ngumu sana kama binadamu kusema nini ilikuwa hasa walipokuwa bungeni naomba tena wtz masameheni madamu aliweza kujua makosa yake na hakuungana na wale wa ubwabwa asamehewe ninahakika huyu hawezi rudia makosa
Indonesia
1
0
5
830
WHITE HOUSE
WHITE HOUSE@HOMESTUDIO8·
Miongoni mwa watu ambao nilitamani warudi haraka kwenye siasa nihuyu @halimamdee huyu hana mahali anaweza ishi kisiasa zaidi ya @ChademaTZ2 huu niliwahi kusema miaka miwili nyuma na hata kabla ya mauwaji ya 29 October nilisema pia kuwa halima anaependa chadema kuliko mbowe
WHITE HOUSE tweet media
Indonesia
30
25
212
17.4K
WHITE HOUSE retweetet
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
Unajua kwanini milio imekuwa mingi kuhusu huo muswada pendekezwa huko USA?. Watu washajaa kwenye mfumo maana muswada umependekezwa na democratic na Republic chama tawala na upinzani!! Hapo ndo ile wanasema ugali moto, mboga moto, maji ya kunawa moto na maji ya kunywa moto! 😂😂
Jebra Kambole tweet media
Indonesia
115
256
1.7K
51.8K
WHITE HOUSE retweetet
Vitus Nkuna
Vitus Nkuna@VitusNkuna·
Kanda yaMagharibi
Vitus Nkuna tweet media
Indonesia
2
25
87
975
WHITE HOUSE retweetet
Adv. Dickson Matata
Adv. Dickson Matata@AdvMatata·
Tutukatane tarehe 30/5/2026 Kasulu Mjini na tarehe 31/5/2026 Urambo Mjini.
Adv. Dickson Matata tweet media
Filipino
4
154
610
5.7K
WHITE HOUSE retweetet
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
No-one left behind! Huu ndo msingi ninaishi nayo! Sitakubali mtu abaki anaonewa alafu wengine tuahidiwe ahueni! Si kwamba nilishindwa kucompromise miaka yote hii na hawa wauaji! Nimeamua sitaki! Na hii ndo spirit ya Tundu Lissu ndo maana ninamheshimu sana! Si kama baadhi ya wanasiasa wenzake wanaoangalia matumbo yao na ahueni yao! Ye anaelewa kuwa noone is safe until everyone is safe Tumpambanie sana Lissu wapendwa! #FreeTunduLissu
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
26
189
902
13.6K
WHITE HOUSE retweetet
Vitus Nkuna
Vitus Nkuna@VitusNkuna·
Leo Wabunge wa CCM nao Viongozi wa CCM wanapigania haki ya kusikilizwa. Ingawaje wao hawakuwapa Watanzania haki ya kusikilizwa.
Indonesia
6
36
334
4.9K
WHITE HOUSE retweetet