Halima James Mdee
20.5K posts

Halima James Mdee
@halimamdee
....................

Kilimo ni mtaji bwana, unaweza kulima kwa simu ukawa unaenda tuu kutengeneza contents

@halimamdee Anakuchungulia sehemu gani mh

Humo kati kati mnalima bangi fuck y all

@halimamdee Msaliti


@halimamdee Tusubiri YANGA vs SBS. sijui fainali ni timu zipi.

@halimamdee Halima kukijenga chawa Kwa nguvu kubwa hakukupi mamlaka ya kusaliti. Hatujawah kuwa na mjadala wenye kupuuza harakati zako katika ujenzi wa Chadema ila usaliti ndio kinachoondoa heshima yako .

@halimamdee Dada Halima kujenga taasisi sio tatizo ishu ni ur EXIT' imefanya hata hakuna finger prints mlizoacha ambazo zinakumbukwa au kiwa acknowledge

@halimamdee Nakumbuka kile kikao cha mtu kwa mtu ukwamani ndugu ulikijenga chama. Acha hawa watoto wakudharau

