Ismail Ismail

584 posts

Ismail Ismail banner
Ismail Ismail

Ismail Ismail

@IsmailIsmailbi

https://t.co/OVWrLoU6Ca

London Beigetreten Ağustos 2013
125 Folgt215 Follower
Ismail Ismail
Ismail Ismail@IsmailIsmailbi·
@AllyHapi Vijana wengi hawawezi kujua umuhimu WA kua na kiongozi kama wewe Allah protect you brother 🙏🏾
Indonesia
1
0
1
92
Ismail Ismail
Ismail Ismail@IsmailIsmailbi·
@MsigwaPeter TRENI LINA ZIMA KATI KATI YA MSITU KISA UMEME..HILO BWAWA LINA TOA UMEME AMBAO WA MGAO..HIZO NDEGE ZINA KAMATWA KILA LEO KISA MADENI... HEBU NI FAFANULIE KIPI KINACHO FURAHISHA HAPO....🤣???
Filipino
0
0
0
22
Peter Msigwa
Peter Msigwa@MsigwaPeter·
Watanzania wengi hawaoni mambo mengi sahihi na mazuri ambayo awamu ya sita imeyafanya kwa taifa hili, badala yake wanatumia muda mwingi kujadili yale machache ambayo hayajafanyika. Hii inawapa upofu wa kutokuona fursa zinazosaidia kupunguza umaskini katika familia zetu. Ni sawa na mtoto mdogo ukimpakata anachoona kwenye nguo yako ni kishikizo tu cha shati lako. Matumaini mengi wanayopewa na vyama vya upinzani hayana uhalisia, yanawafanya wendelee kutumainia kitu ambacho hakipo badala ya kunufaika na yale mengi yaliyofanyika.
Peter Msigwa tweet mediaPeter Msigwa tweet mediaPeter Msigwa tweet media
Indonesia
662
47
874
145.3K
Ismail Ismail
Ismail Ismail@IsmailIsmailbi·
@mwigulunchemba1 Mheshimiwa Mimi naomba nikuletee tie yangu utie sign yako tuu 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Filipino
0
0
0
8
Ismail Ismail
Ismail Ismail@IsmailIsmailbi·
@SuluhuSamia NDIO MAANA UMEME UMEKATIKA KWAKUA HAUPO NYUMBANI KWAKO 🤣🤣🤣
Filipino
0
0
0
11
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Nimewasili jijini Beijing nchini China kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika. Aprili 26 mwaka huu, Tanzania na China zilitimiza miaka 60 ya mahusiano ya kidiplomasia. Imekuwa miaka 60 ya mahusiano ya kimkakati yenye tija kwa pande zote mbili na urafiki katika nyakati zote. Kama ilivyokuwa ndoto ya waasisi wetu, jukumu letu ni kuhakikisha tunaendeleza mahusiano haya yaweze kuleta tija zaidi hasa katika maendeleo ya sekta muhimu za uchumi wetu.
Samia Suluhu tweet media
Indonesia
696
311
2.9K
242.6K
Ismail Ismail
Ismail Ismail@IsmailIsmailbi·
@AllyHapi My brother keep the work till the ends 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
English
0
0
0
67
Elon Musk
Elon Musk@elonmusk·
Haters will say this is AI 🕺🕺
English
99.2K
205.4K
1.7M
145.7M
Ismail Ismail
Ismail Ismail@IsmailIsmailbi·
@Meena_Official_ MWIJAKU ANA KUFAA MKAE KWENYE GHOROFA KAMA STANDI YA MWENDO KASI INA NJIA MOJA TUU😂😂😂
Indonesia
0
0
0
20
الهودي🇩🇯
الهودي🇩🇯@Al_Hawdi1991·
Compilation of UK riot fails. Let's Go.
الهودي🇩🇯 tweet media
English
681
3.7K
40.6K
9.5M
Ismail Ismail
Ismail Ismail@IsmailIsmailbi·
@SuluhuSamia MH RAISI WEWE SIO WA KUZINDUA DARAJA WALA HOSPITAL MKUU WA MKOA NA WA WILAYA WEWE UZINDUE VITU KAMA NEW TECHNOLOGY ILIYO VUMBILIWA NA MTANZANIA MIAKA 60 SASA BADO HOSPITAL NA MADARAJA
Indonesia
0
0
0
13
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Imekuwa siku njema ya kazi katika Wilaya za Gairo na Kilosa mkoani Mogorogoro ambapo pamoja na mambo mengine nimezindua rasmi matumizi ya Hospitali ya Wilaya ya Gairo, Daraja la Berega [kuunganisha Kilosa, Gairo, Kiteto na Kilindi] na kuzungumza na wananchi. Faraja kubwa kuona namna miradi ya maendeleo wilayani inavyosaidia kubadili maisha ya wananchi wetu.
Indonesia
214
155
790
47.4K
Ismail Ismail
Ismail Ismail@IsmailIsmailbi·
@Nape_Moses KAKA NAPE UTARUDI TENA KWA KISHINDO 🙏🏾🙏🏾🇹🇿
Filipino
0
0
0
6
Ismail Ismail
Ismail Ismail@IsmailIsmailbi·
@moodewji NIUZIE SIMBA BASI 🙏🏾🙏🏾 KWA PUNGUZO LA BEI 😂😂
Polski
0
0
0
17
Mohammed Dewji MO
Mohammed Dewji MO@moodewji·
“Na haya maisha ya dunia si chochote ila ni pumbao na mchezo. Na nyumba ya Akhera ndiyo yenye maisha halisi, laiti wangelijua.” — [Surah Al-Ankabut 29:64] #JummahMubarak
Mohammed Dewji MO tweet mediaMohammed Dewji MO tweet media
Filipino
377
355
3.5K
153.5K
Ismail Ismail
Ismail Ismail@IsmailIsmailbi·
@jokateM SASA TUNA MKOPEA NANI , BARABARA MBOVU,KIGAMBONI FARAJA UNALIPA,NDEGE IME PAKI MALAYSIA HII NCHI NGUMU..🤣🤣🤣
Indonesia
0
0
0
20
Jokate Mwegelo
Jokate Mwegelo@jokateM·
TAARIFA SAHIHI KUHUSU MKOPO WA TRILIONI 6.8 AMBAO TANZANIA UMEUPATA KUTOKA KATIKA SERIKALI YA JAMHURI YA KOREA. Mkopo huu ambao Tanzania imeupata ni mkopo wa Dola 2.5 bilioni ambao ni mkopo wa masharti nafuu ili kufadhili miradi muhimu ya maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo kuanzia Mwaka (2024 hadi 2028). Mkopo huu ni sehemu ya makubaliano katika awamu ya pili ya ushirikiano wa miaka mitano ijayo. Ni mkopo wa masharti nafuu utakaolipwa katika miaka 40 kuanzia mwaka wa 26 kwa riba ya 0.01%. Faida za mkopo huu kwa Tanzania ni kama zifuatazo: 1. Kufadhili Miradi ya Maendeleo Muhimu. Mkopo huu utasaidia kufadhili miradi muhimu ya maendeleo kama miundombinu, elimu, afya, na nishati. Hii itaboresha huduma za kijamii na kuinua kiwango cha maisha cha wananchi. 2. Kukuza Uchumi: Uwekezaji katika miradi ya maendeleo utachochea ukuaji wa uchumi kwa kuongeza ajira, kuboresha mazingira ya biashara, na kuvutia uwekezaji wa kigeni. 3. Masharti Nafuu: Mkopo huu ni moja katika ya mikopo ambayo una riba ya chini sana ambayo ni 0.01% na muda mrefu wa kulipa ambao ni miaka 40. Hii itapunguza mzigo wa deni kwa serikali na kuruhusu matumizi bora ya rasilimali za kifedha. 4. Kuimarisha Ushirikiano wa Kimataifa: Makubaliano haya yanaimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kiuchumi kati ya Tanzania na Korea Kusini, ambayo inaweza kufungua milango kwa fursa zaidi za ushirikiano na msaada wa kiufundi. 5. Kuboresha Miundombinu: Miradi inayofadhiliwa na mkopo huu inaweza kujumuisha ujenzi wa barabara, madaraja, na mifumo ya maji na umeme, ambayo ni muhimu kwa maendeleo endelevu ya taifa. 6. Kuimarisha Huduma za Kijamii: Ufadhili wa miradi ya afya na elimu utaboresha huduma za kijamii, kupunguza umasikini, na kuimarisha uwezo wa kitaalamu wa wananchi. 7. Kuwezesha Ukuaji wa Maendeleo: Mkopo huu utatoa msingi imara wa maendeleo endelevu kwa kuhakikisha miradi inatekelezwa kwa ufanisi na kwa wakati. Kwa ujumla, mkopo huu utakuwa na matokeo chanya kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii ya Tanzania, na kuchangia katika kufikia malengo ya maendeleo endelevu na mkopo huu utamnufaisha kila mmoja.
Indonesia
1.2K
117
686
434K
Ismail Ismail
Ismail Ismail@IsmailIsmailbi·
@nulphin BORA UNGE MPA TUNDU LISU ANUNUE OIL YA GARI YAKE 🤣
Indonesia
0
0
0
11
Dr Calipso
Dr Calipso@nulphin·
Hela zinavunja urafiki nikemkopesha rafiki angu mmoja Milioni 3 akiahid kua nimpe miez 3 atakua amenirudishia siku zimeenda miez ikapita ikawa 6 ikawa 9 now hapokei simu wala hajibu meseji nimemtumia meseji kua basi usilipe nimekusamehe we achana nayo pokea simu bado hapokei.
Dr Calipso tweet media
Indonesia
253
72
886
87.5K
Ismail Ismail
Ismail Ismail@IsmailIsmailbi·
@joeselasini ALAFU BONGO AKIRUDI MKE WAKE KUNA BODA BODA ANA MGONGEA 🤣🤣🤣
Filipino
0
0
0
20
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Tuwaambie watoto wetu na vijana wapambane hapahapa kutafuta msisha huko ugaibuni mambo ndo haya hawana huruma hawa japo sisi tunawafuga na kuwanyenyekea sana huku kwetu.
Filipino
241
164
501
143.9K
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe·
Huu ni mji gani katika Miji mikubwa ukanda wa SADC/EAC? Picha imepigwa kutoka dirisha la ndege ikiwa inatua
Filipino
52
18
129
46K
Ismail Ismail
Ismail Ismail@IsmailIsmailbi·
@Nnauye_Nape KWAIYO SATELLITE 📡 ILIYO NUNULIWA NA TAIFA NI YA NINI KAMA TUNA TUMIA NYAYA ZA BAHARINI 😂🤣🤣
Filipino
0
0
0
40
Nape Moses Nnauye
Nape Moses Nnauye@Nnauye_Nape·
KUKOSEKANA KWA INTANETI Mnamo majira ya saa tano asubuhi, tumeshuhudia kukosekana kwa huduma za intaneti pamoja na huduma za simu za kimataifa (international Voice). Tumepokea taarifa ya awali kutoka kwa watoa huduma wa nyaya za baharini (submarine cables), Seacom na EASSy, kwamba kuna hitilafu kwenye nyaya zao zilizo baharini. Seacom na EASSy wameripoti kuwa kuna tatizo kwenye nyaya kati ya Msumbiji na Afrika Kusini, iliyosababisha kukosekana kwa huduma hiyo nchini Tanzania. Jitihada za kutatua tatizo hilo zinaendelea. Aidha, wakati utatuzi wa tatizo hilo unaendelea, upatikanaji wa huduma za intaneti pamoja na huduma za simu za kimataifa utakuwa wa kiwango cha chini kwa kutumia njia mbadala mpaka tatizo husika litakapotatuliwa. POLENI KWA USUMBUFU WOWOTE ULIOJITOKEZA.
Filipino
236
71
575
137.5K
Ismail Ismail
Ismail Ismail@IsmailIsmailbi·
@MariaSTsehai HIVI HUYU ANA NINI NA SERIKALI YETU MAANA SIO KIONGOZI WA NCHI ILA ANA KABIDHI WA MAJUKUMU MUHIMU YA SERIKALINI
Indonesia
0
0
0
411
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Nisaidieni mnaoweza kutafsiri Rostam Aziz Baluchi 😀
Indonesia
37
46
205
56.1K
Ismail Ismail
Ismail Ismail@IsmailIsmailbi·
@HKigwangalla UGUMU WAKE NI WABUNGE WENGI WA MIKOANI WANAIISHI DAR🤣😂🤣. WE MBUNGE WA MOROGORO SASA ANA PIGA PROMO YA KIBANGO HICHO 😂😂🤣 WAKATI JIMBO LAKE HAKUNA HATA BARABARA 🤣🤣
Filipino
0
0
0
16
Dr. Hamisi Kigwangalla
Dr. Hamisi Kigwangalla@HKigwangalla·
Ubunge ni kazi ngumu. Kama unanibishia mwakani ni mwaka wa uchaguzi, gombea.
Kalova@kivamba54

@HKigwangalla Lakini akimaliza muda wake Mafao yake hayakatwi Kodi na Analipwa zote pasipokuathiriwa na kikokotoo Cha 33%

Indonesia
285
15
493
91.5K
Ismail Ismail
Ismail Ismail@IsmailIsmailbi·
@AnanileaN FIRST OF ALL THAT IS NOT NAIROBI ITS ZIMBABWE AND ITS VERY OLD VIDEO
English
0
0
0
26
Ananilea Nkya (PhD)
Ananilea Nkya (PhD)@AnanileaN·
Hiyo video iliyoambatanishwa na ujumbe huu "Huko Nairobi, Mzungu akicharazwa viboko baada ya kumuita pump attendant Nyani" nimeipata kwenye mtandao mmoja. Swali: 👉🏾Je ingekuwa ni wewe ungechukua hatua gani tofauti na hii waliyochukuwa hawa watu?
Indonesia
140
90
390
42.4K