Sabitlenmiş Tweet
Jokate Mwegelo
45.5K posts

Jokate Mwegelo
@jokateM
Visionary | Leader | Former District Commissioner - UR Tanzania, President’s Office | Secretary General Youth Wing @ccm_tanzania member of @clubdemadrid
Tanzania Katılım Ekim 2011
1.4K Takip Edilen1.2M Takipçiler

Still overwhelmed with love 🥰🤍
Asanteni sana ndugu, jamaa na marafiki kwa kunifunika kwa salamu za kheri, dua na upendo mwingi katika siku yangu ya kuzaliwa.
Nilijitahidi kwa kadri nilivyoweza kuwajibu wote kwa wakati, na kama kuna yeyote sikumfikia tafadhali fahamu kuwa ninathamini sana ujumbe wako.
Upendo wenu ni zawadi kubwa kwangu.
Mungu awabariki sana 🙏🏽✨

Indonesia

Happy Birthday to me 🥰🤍
Today I celebrate life.
I celebrate purpose.
I celebrate the woman I am becoming.
Asante sana Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya uhai, kwa kunilinda, kuniongoza na kunipa nguvu ya kuendelea kuota ndoto kubwa.
Kila mwaka ni ushahidi kwamba bado nina mengi ya kufanya, mengi ya kujifunza na mengi ya kugusa katika maisha ya wengine.
This year I choose courage.
I choose impact.
I choose to shine even brighter.
The journey continues… and the best is yet to come. 🥂✨
#BirthdayMood #GratefulHeart #NewBeginnings #PurposeDriven #Blessed

Filipino
Jokate Mwegelo retweetledi
Jokate Mwegelo retweetledi

Ahsanteni sana Mwanza. Ahsanteni sana Watanzania.
Shukrani kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa kutujaalia kuhitimisha salama kampeni, baada ya safari ya miezi miwili ya kukutana na kuzungumza na wananchi.
Kote nilipopita nimefarijika kwa wingi wenu, nimefurahi kwa hamasa yenu na kupata nguvu zaidi kwa ukarimu na upendo wenu. Nimeona namna ambavyo nchi yetu inaendelea kupiga hatua kubwa za maendeleo kupitia kazi ambazo Serikali imefanya, na nimesikia sauti zenu kwa yale ambayo mngependa Serikali itekeleze katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Jukumu letu sasa ni kujitokeza kwa wingi kesho, Oktoba 29 na kupiga kura kwa amani na utulivu. Ahsanteni kwa uelewa wa pamoja kuwa, yote tunayotamani nchi yetu iyafikie katika kipindi cha miaka mitano ijayo yatawezekana kwa kuchagua wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Ninawapenda sana.
Mwenyezi Mungu awabariki sana.
Mungu Ibariki Tanzania.




Indonesia
Jokate Mwegelo retweetledi

Ahsanteni sana wananchi wa Mkoa wa Arusha kwa ukarimu na upendo tangu juzi mlipotupokea pale Arumeru, jana Arusha Mjini hadi leo tulipohitimishia Karatu. Tuendelee kukumbushana na kuhamasishana sote kwa pamoja, ili ifikapo Oktoba 29 tukapige kura kuchagua wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kama tulivyozungumza, kura ya NDIYO kwa wagombea wa CCM ni kura ya kukubali kuwa kazi zimefanyika, zinaonekana na zinaendelea. Vilevile ni kura kwa sera zinazotekelezeka huku tukiendelea kubaki kuwa Taifa moja, lenye amani, utulivu na ustawi.
Mwenyezi Mungu awabariki sana.




Indonesia
Jokate Mwegelo retweetledi

Sehemu ya mazungumzo yangu na wananchi wa Lindi juu ya dhamira ya dhati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake kuendelea kusimamia, kulinda na kuendeleza rasilimali za nchi yetu na miradi inayotekelezwa nchini, ili kuhakikisha kila Mtanzania ananufaika.
Ahsanteni sana. Mwenyezi Mungu awabariki sana.
Indonesia
Jokate Mwegelo retweetledi

Ninawashukuru sana wananchi wa Lindi kwa namna mlivyokuwa nasi tangu jana tulipoanza kampeni za Urais za Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani hapa, hadi leo tulipohitimisha kwa kishindo kile kile tulichoanza nacho.
Ahadi yangu na ya CCM kwenu na kwa Watanzania wote ni kuendelea kuwatumikia kwa nguvu na uwezo wetu wote katika kuboresha hali ya nchi yetu kiuchumi na kijamii, huku tukihakikisha Taifa letu linadumu katika umoja, amani na mshikamano.




Indonesia
Jokate Mwegelo retweetledi

On behalf of the Government and the people of the United Republic of Tanzania, I convey my heartfelt congratulations to His Excellency Professor Arthur Peter Mutharika, President-elect of the Republic of Malawi, on his victory in the 2025 Malawian general election. I look forward to working together to further strengthen our historic ties.
I commend His Excellency President Dr. Lazarus Chakwera, the Malawi Congress Party (MCP) and the people of Malawi, for a peaceful election and a smooth transition.
God bless Africa.
God bless Malawi.

English

Kipekee niwapongeze kwa uamuzi wa kuita hili darasa lenu SAMIA MASTER CLASS hakika jina hili linaakisi uhalisia kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa Darasa Huru na la Kibobezi hasa kwetu sisi wapambanaji ambao hatukati tamaa na katika hali zote tunafanya jambo kwa ajili ya kuleta matokeo chanya kwa jamii yetu. Jina la darasa lenu hili limeonesha dhahiri namna mnavyojipambanua kupitia Chama Cha Ma-salunist na Ma-Make Up Artist kama wapambanaji wazuri wa maisha yenu na jamii yetu ya Tanzania.
Ushindi wa Dr. Samia Oktoba 29, 2025 unaenda kuuthibitishia Ulimwengu nguvu ya Mwanamke katika kusimamia Ndoto zake. Asanteni sana kwa kuahidi kumuunga mkono na ahadi ya kumpa Ushindi wa Kishindo kutoka katika kundi hili muhimu sana. #NguvuyaMwanamke #OktobaTunatiki ✅
Indonesia

Nilikuwa jeshi le kukodi 😃
Comrade Agustine Hamli@ComradeAgustine
Hongera Mtani Mama Fiona, Tabasamu la nusu fainali @jokateM
Filipino

Vijana wa tawi la KIUT waliitika hasa 💚
AMOSI 🇹🇿@_AmosiRichard
Huu ni mkutano mkuu wa Tawi la UVCCM Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala, hapa sio Wilaya wala Mkoa ni Tawi tu tena la Chuo Kikuu hilo ndio nyomi lake, ambapo SG @jokateM alikua mgeni rasmi. Sasa naelewa kwa nini wale Jamaa wanahubiri kutokuingiza timu uwanjani🙌🙌
Filipino







