James Mbowe

2K posts

James Mbowe banner
James Mbowe

James Mbowe

@JamesMbowe4

Tanzania Beigetreten Temmuz 2020
344 Folgt44.8K Follower
James Mbowe
James Mbowe@JamesMbowe4·
Nichukue nafasi hii kipekee kuwapongeza @airtanzania kwa namna wanavyo badili ratiba za ndege mara kwa mara. Mfano leo ndege ya Air Tanzania iliyokuwa iruke kwenda Kigoma saa 5:40 imesogezwa mpaka saa 9:30 sababu wanasema ni Operation yaani siyo hata kwamba hali ya hewa ni mbaya au ndege mbovu bali ni sababu za Uendeshaji. Yaani mnaacha Abiria wanatoka majumbani usiku wanawahi Airport alafu kwa Urahisi kabisa bila Aibu mnatangaza ni sababu za kiuendeshaji. Kwa kweli kutoka Moyoni niwapongeze sana hii inaonyesha ni kwa jinsi gani Shirika letu linavyowajali wateja wake. Kuna mtu aliwahi kuniambia Kirefu cha ATC ni Anytime Cancelation, sasa nimeanza kumwelewa.
James Mbowe tweet mediaJames Mbowe tweet media
Indonesia
100
43
573
66.3K
James Mbowe
James Mbowe@JamesMbowe4·
Power is not permanent Be humble. Acha nyodo
English
7
0
8
19.4K
James Mbowe
James Mbowe@JamesMbowe4·
Hai kwanza, Pamoja Tutashinda .
James Mbowe tweet mediaJames Mbowe tweet mediaJames Mbowe tweet mediaJames Mbowe tweet media
Italiano
38
6
110
7.9K
James Mbowe
James Mbowe@JamesMbowe4·
Kwake tunaishi na kuwa na Uzima wetu
James Mbowe tweet mediaJames Mbowe tweet mediaJames Mbowe tweet mediaJames Mbowe tweet media
Polski
14
1
27
5.2K
James Mbowe
James Mbowe@JamesMbowe4·
Jifunze kujisikiliza,
James Mbowe tweet media
Lietuvių
1
1
19
3.5K
James Mbowe
James Mbowe@JamesMbowe4·
Mungu akupe Maisha marefu yenye Heri na Baraka nyingi MCHUNGAJI Dr Eliona Kimaro.
James Mbowe tweet mediaJames Mbowe tweet mediaJames Mbowe tweet mediaJames Mbowe tweet media
Indonesia
12
15
176
7.7K
James Mbowe
James Mbowe@JamesMbowe4·
Shirika la umeme @Tanescoyetuna wananchi wa Tunduma wamewakosea nini mbona swala la kukatwa kwa umeme huku limekuwa extremely? Au usikute hawa wanahesabika kama wazambia! Hebu fikiria uchumi bila Nishati ya uhakika, mnachochea sana watu watafute bar zenye Generator wachaji simu wakati wanachaji simu na wenyewe wanatumia muda huo huo kujichaji 😭😭
Indonesia
9
5
67
5.6K
James Mbowe
James Mbowe@JamesMbowe4·
Rais wa Baraza la Maaskofu nchini, Askofu Wolfgang Pisa O.F.M. Cap, amekanusha vikali taarifa iliyotolewa na jeshi la Polisi kwamba Katibu Mkuu wa Baraza hilo Fr.Dr.Charles Kitima (PhD) alikua anapata kinywaji kabla ya kushambuliwa. "Hakuna baa katika eneo aliloshambuliwa Fr.Kitima na hivyo hakuwa anapata kinywaji kama inavyoelezwa. Pale ni mgahawani. Kusema mtu alikua anakunywa saa zote hizo si kweli. Tunaandaa taarifa kamili, tutaitia itakapokua tayari" Amesema Askofu Pisa.
James Mbowe tweet media
Indonesia
20
34
288
12.2K
James Mbowe
James Mbowe@JamesMbowe4·
Zaburi 23
James Mbowe tweet mediaJames Mbowe tweet mediaJames Mbowe tweet mediaJames Mbowe tweet media
Euskara
2
0
10
2.9K
James Mbowe
James Mbowe@JamesMbowe4·
Family over everything 🙏🙏
English
8
10
135
10.9K
James Mbowe
James Mbowe@JamesMbowe4·
Pumzika kwa Amani ya Kristo Yesu Papa Francis. Umevipiga vita vizuri mwendo umemaliza na Imani uliilinda Upumzike kwa Amani🙏🙏
James Mbowe tweet mediaJames Mbowe tweet mediaJames Mbowe tweet mediaJames Mbowe tweet media
Filipino
7
13
91
7K
James Mbowe
James Mbowe@JamesMbowe4·
Only in Tz. Ila hii mbegu inayopandwa itaota na itatoa matunda. Matunda yakiiva itabidi yaliwe hata kama ni machungu.
James Mbowe tweet media
Indonesia
27
77
587
19.5K
James Mbowe
James Mbowe@JamesMbowe4·
Mambo haya yataendelea mpaka lini? Who is next? Kwanini uonevu huu ni kwa Viongozi wa Chadema tu? Au Chadema siyo watanzania? Hivi mtu kama @hechejohn akiitwa Polisi atakaidi kuja? Utaratibu uliotumika kumkamata Tundulisu naona ndio huo huo umetumika kumkamata Heche, ingawa Lisu mlimwacha akamaliza mkutano safari hii Makamu amekamatwa hata kabla ya kuhutubia. Mambo haya yanatia hasira sana. Free Tundulisu Free Heche. Kiwango cha chuki kinachojengwa kwenye Mioyo ya watu ni kikubwa sana.
Indonesia
45
83
377
27.5K
James Mbowe
James Mbowe@JamesMbowe4·
Zaburi ya 23
James Mbowe tweet mediaJames Mbowe tweet media
Indonesia
25
15
238
14.9K
James Mbowe
James Mbowe@JamesMbowe4·
Ndiyo, ukimya pia ni jibu zuri mara nyingi. Mara nyingine ukimya unaweza kuonyesha busara, uvumilivu, au hata kukataa kuingilia katika mjadala usio na maana. Katika hali nyingi, kusema kidogo au kutosema chochote ni njia bora ya kuonyesha heshima na kutunza Amani.
Indonesia
22
9
99
7.5K
James Mbowe
James Mbowe@JamesMbowe4·
Mafanikio na Mihemko havikai nyumba moja tulia focus na mipango yako, kelele za watu zisikutoe kwenye focus yako. Kumbuka neno moja Wanadamu wana Maneno lakini Mungu analo neno juu ya Maisha na mipango yako. Focus
Indonesia
28
12
102
9.4K
James Mbowe
James Mbowe@JamesMbowe4·
Unaweza kuwa chochote unachotaka maishani mwako. Muhimu Jiamini simamia ndoto zako, timiza Malengo. Usiyumbishwe na kelele za watu. Mjue sana Mungu ndipo hayo mema yatakapokujilia wewe.
Indonesia
40
23
372
29.5K