John Heche

91.6K posts

John Heche banner
John Heche

John Heche

@HecheJohn

Vice Chairman Chadema Tanganyika, former Member of Parliament for Tarime rural constituency, a reformer.

Tarime, Mara, Tanzania. Katılım Nisan 2012
1.8K Takip Edilen803K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Mnaua watu kwa maelfu, Mnateka watu na kuwapoteza. Mnaiba uchaguzi kwa nguvu.. Alafu mnasema kuna watu wanawaonea wivu kwasababu ya rasimali!!!! Hivi mnawaona Watanzania ni wajinga? Kwamba Mataifa ya nje ndio yaliwatuma kuiba uchaguzi ambao hamjashinda!!!! Watu sio sisimizi mmeua lazima muwajibike.
Indonesia
77
562
1.9K
94.6K
John Heche retweetledi
Mnigajia
Mnigajia@nicomwaih·
Kuua wale ndugu zetu ile October 29 wauaji ndiyo mjisahaulishe ila sisi raia wema kamwe hatutasahau.
Eesti
2
47
110
1.2K
John Heche retweetledi
Official Bavicha Taifa
Official Bavicha Taifa@bavicha_taifa·
Viongozi wa BAVICHA Taifa wakiongozwa na @AdvMahinyila wamekutana na Kamati ya Uratibu ya BAVICHA Kanda ya Pwani kwaajili ya kijadili Mambo yanayohusu Vijana hususani wa Kanda ya Pwani.
Official Bavicha Taifa tweet mediaOfficial Bavicha Taifa tweet mediaOfficial Bavicha Taifa tweet media
Indonesia
0
23
97
1.2K
John Heche retweetledi
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
It five now since 29/10/2025 Mungu aendelee kuwalaza pema peponi ndugu zetu, na Familia ziwe imara, Kuna watu hawastahili msamaha hata kama kuna after life, 🕊 😭🙏🕊
Sekenke One 🌻 tweet media
Indonesia
1
85
310
3.9K
John Heche retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Ukitaka kujua kwamba Idd Amin Mama na washirika wake walikuwa wamejipanga kuuwa Watanganyika Oktoba 29, 2025. Baada ya watu kuandamana muda huo huo Polisi walianza kuwafyatulia risasi za moto wakati kawaida njia ya kutuliza au kutawanya Waandamanaji ni mabomu ya machozi au maji ya kuwasha. Idd Amin Mama na washirika wake hawakutaka kabisa kutumia Mabomu ya machozi wala Maji ya kuwasha kwasababu lengo lao lilikuwa ni kuuwa Watanganyika wengi kwa kadri ya uwezo wao. Ndo maana walipoona Maandamano yamepamba moto ili watuuwe vizuri bila Dunia kuona, walizima Internet, wakakata umeme then vikosi vyao TISS, KMKM, Jeshi la Polisi na Wanajeshi wa kukodi kutoka Uganda wakaingia mtaani na kuanza kupiga risasi kila waliyemkuta barabani. Walipomaliza kuuwa watu Barabarani, kwenye Bar n.k wakahamia majumbani, kuna mahali walikuwa wakivamia kwenye nyumba ya mtu, walikuwa wanaamuru wanaume wote watoke njee, wakitoka tu njee wanapigwa risasi wanauwawa. Walidhamiria kuangamiza Taifa letu ndo maana katika kupiga risasi walitarget Wanaume. Halafu baada kuuwa Watanganyika zaidi ya elfu kumi Nduli Idd Amin Mama akasema kwamba “Nguvu iliyotumika Oktoba 29 iliendana na tukio…” Kamwe hatutasahau Ukatili wa Idd Ami Mama pamoja na washirika wake, Damu ya mtu huwa haiendi bure, damu za Watanganyika wenzetu zitamlilia yeye na kizazi chake mpaka siku waingia kaburini.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
12
91
275
10.1K
John Heche retweetledi
maguta
maguta@bBabaRita·
Serikali ya ccm imekuuwa kwa Risasi bila hatia, endelea kupumzika kwa amani
maguta tweet media
Indonesia
8
71
272
3.3K
John Heche retweetledi
💨mangi mkuu
💨mangi mkuu@kavishePb·
Tuwakumbuke mashujaa wetu #Mo29
💨mangi mkuu tweet media
Indonesia
1
55
164
1.4K
John Heche retweetledi
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Mashujaa wa #MO29 hatuwezi kuwasahau kwa CASHOUT YA 23M Ambayo hata tungepata usingepewa. Leo focus ni moja tuu kuwakumbuka mashujaa wetu wa #MO29 Tamaa zako za hela za watu pelekea maskini wenzio. Unatokea bongo? Haya kasalimie wakina Zuchu. #MO29
SATIVA tweet media
Indonesia
17
203
846
9.9K
John Heche retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
“Mama amkaa!…” 😭😭😭😭
Türkçe
9
157
491
9.7K
John Heche retweetledi
Chadema Kanda ya Pwani
Chadema Kanda ya Pwani@chademapwani·
MATUKIO KATIKA PICHA Wanawakee ni jeshi Kubwa✌️ Mapema Bawacha Mkoa wa kinondon wametbelea kituo cha kulea watoto yatima na wenye mahitaj maalum na kukabidhi sadaka yao #CHADEMAPWANI
Chadema Kanda ya Pwani tweet mediaChadema Kanda ya Pwani tweet mediaChadema Kanda ya Pwani tweet mediaChadema Kanda ya Pwani tweet media
Filipino
5
30
154
2.3K
John Heche retweetledi
Mamwavi_Nkabasia
Mamwavi_Nkabasia@joeselasini·
LISSU hana hatia. Mmemtungia kesi ya uongo kumtesa. Amewaambia anaumwa anahitaji matibabu mmekataa na kudai haumwi kana kwamba mnatembea na mwili wake. Hakuna asiyejua jaribio kumuuwa na risasi alizipigwa, operation alizoingia na bado risasi ipo mgongoni. MWACHIENI NA TUBUNI.
Mamwavi_Nkabasia tweet media
Filipino
4
72
294
6.6K
John Heche retweetledi
Barnaba Mwandenuka
Barnaba Mwandenuka@BSMwandenuka·
PRAY FOR TUNDU LISSU, Shetani na vibaraka wake (CCM) wako kazini, Tusichoke kumuombea na kumpigania kwa hali na mali. Lakini tutashinda.
Barnaba Mwandenuka tweet media
Filipino
2
45
173
2K
John Heche retweetledi
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, ametoa ujumbe mzito wa kiroho kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Tundu Lissu, akimtaka kuwa hodari na mwenye moyo wa ushujaa katika kipindi hiki anachopitia. Akizungumza katika mahojiano maalum hivi karibuni, Mchungaji Kimondo amemnukuu Lissu kupitia kitabu cha Yoshua 1:18, akimtaka asitetereke wala kulegea kwa kuwa Mungu yuko pamoja naye, huku akimfariji zaidi kwa neno kutoka kitabu cha Yeremia 1:8 linalosema: "Usiogope kwa sababu ya hao, maana mimi niko pamoja nawe nikuokoe." Mchungaji Kimondo amesisitiza kuwa Lissu asijione yuko peke yake huko aliko, kwani anaamini kuwa harakati na utetezi wa haki alioufanya akiwa nje ni mpango maalum ambao Mungu alimtuma auyafanye kama mjumbe wake kwa ajili ya taifa. Amebainisha kuwa muujiza wa Lissu kuishi mpaka leo, licha ya kushambuliwa kwa idadi kubwa ya risasi mnamo mwaka 2017, ni thibitisho tosha kuwa kiongozi huyo ana ulinzi wa kiungu, akilinganisha na matukio ambapo watu wengine hufariki kwa risasi moja tu, na kusisitiza kwa ujasiri kuwa: "Lissu hatakufa mpaka atimize kusudi la Mungu katika taifa hili." Aidha, kiongozi huyo wa dini ametoa mwito kwa Watanzania wote kuungana na watu wanaotetea haki pamoja na wale wanaopigania upatikanaji wa Katiba Mpya kwa ajili ya mustakabali wa Tanzania. Amesema kuwa harakati za kudai Katiba Mpya na haki zisichukuliwe kama faida ya vyama au makundi kadhaa ya kisiasa, bali ni hitaji muhimu kwa ajili ya ustawi wa taifa zima kwa ujumla ili kuleta usawa na maendeleo ya kweli kwa kila raia bila kujali itikadi yake. Mchungaji Kimondo amehitimisha kwa kusema kuwa taifa linapita katika wakati ambao unahitaji ujasiri na unyoofu wa moyo, akiamini kuwa kusudi la Mungu kwa Tanzania litatimia kupitia watu walioandaliwa kusimamia ukweli. Amewataka waumini na wananchi kuendelea kuliombea taifa ili liweze kuvuka changamoto za sasa kwa amani, huku haki ikitendeka kwa kila mmoja kama msingi mkuu wa utulivu na umoja wa kitaifa.
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
3
76
363
5.3K
John Heche retweetledi
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, ametoa wito mzito kwa vyombo vya dola na viongozi wa kitaifa, akitaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Tundu Lissu, aachiwe huru mara moja. Mchungaji Kimondo amebainisha kuwa kufutwa kwa kesi hiyo ni hatua ya kwanza ya toba ya dhati itakayolirejesha taifa katika mahusiano mema na Mungu pamoja na kuimarisha umoja wa kitaifa. Akizungumza katika mahojiano maalum hivi karibuni, Mchungaji Kimondo amesisitiza kuwa huu ni wakati wa kila mmoja kujitafakari, hususan wale waliohusika katika kuanzisha mchakato wa kisheria dhidi ya Mhe. Tundu Lissu, ambao anauona kuwa hauna mashiko ya kisheria. Amesema kuwa kuendelea kumshikilia kiongozi huyo kwa makusudi huku wakijua kuwa tuhuma hizo ni za "kutunga" ni kujidanganya, kwani Mungu hawezi kutoa msamaha wa dhati pasipo kuwepo kwa utekelezaji wa haki. Mchungaji amewataka viongozi na wananchi kutafakari kwa kina muujiza wa uhai wa Mwenyekiti huyo wa CHADEMA, akishangaa namna binadamu wanavyoweza kupuuza ukweli kuwa Lissu alinusurika licha ya kushambuliwa kwa idadi kubwa ya risasi mnamo mwaka 2017. Kwa mtazamo wake, kudumu kwa uhai wa kiongozi huyo ni thibitisho tosha kuwa Mungu ana mpango maalum naye ndani ya taifa hili, na hakuna nguvu ya kibinadamu inayoweza kuukatisha mpango huo kabla ya wakati wake wa kiungu haujawadia. Katika kutoa suluhu ya kurejesha taifa katika mstari, Mchungaji Kimondo ametoa rai kuwa ikiwa kweli kuna ushahidi madhubuti wa makosa dhidi ya Mhe. Tundu Lissu, basi uwekwe wazi kwa umma ili haki ionekane ikitendeka. Hata hivyo, amesisitiza kuwa ikiwa kesi hiyo haina vigezo vya kisheria, njia pekee ya kupata amani ya kweli na msamaha wa kimungu ni kumuachia huru kiongozi huyo na kukiri makosa yaliyofanyika ili kufungua ukurasa mpya wa maridhiano. Hatimaye, amehitimisha kwa kusema kuwa taifa haliwezi kupiga hatua ikiwa kuna mpasuko wa kisheria na haki inatolewa kwa upendeleo wa kisiasa. Ameitaka jamii na viongozi kuacha kutenda mambo yasiyo sahihi kwa makusudi, akisisitiza kuwa kurejesha mahusiano mazuri na Mungu kunategemea unyenyekevu wa viongozi kukubali pale walipoteleza na kurejesha haki kwa kila raia anayestahili, bila kujali itikadi yake ya kisiasa.
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
20
121
495
9.5K
John Heche retweetledi
Brenda Rupia Jonas
Brenda Rupia Jonas@BrendaRupia·
Ewe Mwenyezi Mungu,tunaendelea kukuomba umlinde Mwenyekiti na kumpa afya njema,naamini kwamba tutafurahi nae hivi karibuni.Nina Imani na uwezo wako baba,nina Imani na nguvu yako.Kile Kilichobaki moyoni mwangu ni Imani peke yake. Baba naiombea nchi yangu Tanzania.Baba bariki nchi hii baba .Wewe umekuwepo nyakati zote na unaendelea kushuhudia udhalimu unao endelea nchini .Jehova waTanganyika wananyanyasika,wanapitia magumu nchini mwao baba.Tusikie kilio chetu na ututendee haki. Tenda Yesu,Tenda eee Jehova.Tenda El ROI. Amina. It shall be well Mwenyekiti.🙏
Brenda Rupia Jonas tweet media
Filipino
19
93
475
5.1K
John Heche retweetledi
HUMAN RİGHTS DEFENDER
HUMAN RİGHTS DEFENDER@WakandaM95833·
SEREKALI HARAMU ACHENI KUTUPANGIA MAISHA ..WAKATI MLIPOUWA NDUGU ZETU MLIJIPOKEZA ..NA SISI WANANCHI LEO TUNASHEREKEA VIONGOZI WANAPOKUFAA KWETU NA SHANGWE
Indonesia
8
68
277
9.6K
John Heche retweetledi
MO 29 TV
MO 29 TV@MO29TV·
Hapa duniani wote tunapita hawa wote mnaowaona hapa makaburini ni watu: JOHN HECHE
Indonesia
8
45
277
6.9K
John Heche retweetledi
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Katika hali ya majonzi na tafakari nzito, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Yosefu, Padre Denis Wigira, ametoa fundisho kali kuhusu asili ya mwanadamu, akibainisha kuwa migogoro na chuki zinazoikabili jamii hivi sasa zinatokana na binadamu kupoteza uwezo wa kutambua thamani ya mwenzake. Akizungumza leo, Machi 28, 2026, katika viwanja vya Karimjee wakati wa ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Hayati William Vangimembe Lukuvi, Padre Wigira amesisitiza kuwa mwanadamu ana thamani ya asili ambayo haitolewi, haiuzwi, wala haiwezi kuchukuliwa na kiumbe mwingine yeyote chini ya jua. Padre Wigira amefafanua kuwa, kwa sababu ya kutotambua thamani hiyo ya kipekee, watu wamejikuta wakiishi katika tofauti, hasira, na mafarakano yasiyokuwa na tija. Alibainisha kuwa thamani ya mwanadamu ni ya kiungu na haipaswi kupimwa kwa vigezo vya kidunia au vyeo, bali kwa utu na udugu wa kibinadamu ambao ni zawadi ya kudumu. Aidha, kiongozi huyo wa kiroho amegusia kile alichokiita "Upofu wa Baada ya Kifo," ambapo jamii huchelewa kutambua fahari na mchango wa mtu mpaka anapofariki. Alisema ni jambo la kuhuzunisha kuona sifa, heshima, na utukufu wa mwanadamu vikipamba anga wakati mhusika akiwa tayari amepoteza uhai, jambo linaloonyesha mapungufu makubwa ya kifikra na kimaadili katika jamii yetu. Huku akitoa wito kwa waombolezaji waliojitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa Hayati Lukuvi, Padre Wigira amewataka Watanzania kujitathmini na kurejea kwenye misingi ya kuthaminiana wakati wa uhai. Amehitimisha kwa kusema kuwa maombolezo haya yanapaswa kuwa shule ya upendo, ambapo kila mmoja anapaswa kujifunza kuona thamani ya mwenzake kabla ya safari ya mwisho haijawadia.
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
12
24
164
19.4K
Hamadi.Mbeyale🔥🔥
Hamadi.Mbeyale🔥🔥@hamadimbeyale·
Namshukuru Mungu kwa yote Ahsanten watanzania kwa maombi yenu na kuhakikisha napata matibabu sahihi Mungu akawazidishie zaidi. Soon narejea nikiwa imara zaidi kwani mwili wa mwanadamu hutetereka na kuimarika mapenzi ya Mungu ni makubwa mno kwetu Amina.
Hamadi.Mbeyale🔥🔥 tweet mediaHamadi.Mbeyale🔥🔥 tweet media
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
14
22
245
9.4K