Priscilla
10.8K posts

Priscilla
@Magandula
Producer, Preacher, Manager

Kwa nini viongozi wanasiasa na wanaharkati wameamua kwa makusudi kuvuruga na kuipa kisogo ajenda ya Msimamo wa LISSU kuhusu utayari wake wa kufanya Mazungumzo baada ya kufutiwa mashitaka dhidi yake ? @godbless_lema @HecheJohn @HildaNewton21 @IAMartin_




@joeselasini Wasituambie Hakufa Mtu.




Sijua baada ya kile kama kingekuja hiki,na sijui baada ya hiki kitakuja kipi..! Ninachojua ni kitu kimoja tu. CHADEMA ni kama Meli ya Kigiriki,pamoja na Mawimbi mengi,makubwa na makali lakini CHOMBO kitavuka salama.!






Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, imeongezewa tena muda wa siku 21 na Mamlaka ya Uteuzi. Sababu za kuongezewa muda ni pamoja na kuiwezesha kukamilisha uchambuzi wa ushahidi, taarifa na maoni yaliyopokelewa, kutoa fursa kwa wataalamu wa uchunguzi wa kisayansi kufanyia kazi baadhi ya vielelezo vipya vilivyowasilishwa na kukamilisha maandalizi ya ripoti itakayowasilishwa kwa Rais.
















