Ayie Tag

116.9K posts

Ayie Tag

Ayie Tag

@TagAyie

Katılım Temmuz 2019
423 Takip Edilen1.5K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Ayie Tag
Ayie Tag@TagAyie·
MBOWE!MBOWE! Umeamua kutaka CDM ife chama uliyoipigania kwa jasho na damu kwa miaka30 kisa Pesa!. CDM haitakufa kwasbabu Mungu ndie aliyekutoa kwenye uongozi alitaka kukujenga, alitaka UTUBU. Ameendelea kukupa muda wa kutafakari na kujirudi lkn Pesa Shetani wamekuzidi. Filimani
Indonesia
2
5
16
587
Ayie Tag retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Jaji Kende anasema nchi nzima waliopigwa risasi za kichwa ni watu 12 tu. Sasa nimewasogezea hii Hawa ni Vijana 17 wa Mji mwema- Mwanza Walikuwa wanaangalia mpira kwenye kibanda umiza. Polisi waliwavamia, wakawatoa njee na kuwambia walale chini kifudifudi kisha wakawapiga risasi za vichwa na kuwauwa wote. Hapo bado hatujazungumza kuhusu miili ya watu wote waliouwawa Mkoa wa Mwanza, Mbeya, Songwe, Arusha, Geita Mara, Kahama, Rukwa etc.
Indonesia
24
113
284
5.1K
Ayie Tag retweetledi
GASTON SHUNDO GARUBINDI
GASTON SHUNDO GARUBINDI@ShundoGaston·
BUNDA UPDATE 24/ 04/2026 Mungu ni mwema, tumepata dhamana ya Kaunya na wenzake 4 sasa yuko nje kwa dhamana baada ya kuwa mahabusu kwa kipindi cha miezi sita. Watuhumiwa wengine 3 dhamana zao zitakamilika siku ya Jumatatu tarehe 27/04/2026. Tunawashukuru kwa maombi yenu.
Filipino
15
107
379
4.5K
Ayie Tag retweetledi
MWANAMAPINDUZI
MWANAMAPINDUZI@MachumuKadutu·
Sisi hatuna ugomvi na mtu yeyote, sisi tuna ugomvi na shetani, haki isipopatikana lazima tusimame!
Slovenščina
6
138
786
24.3K
Ayie Tag retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Ni taarifa gani ya uongo iliyotolewa na Tume ya Jaji Mohamed Chande Othman leo ambayo imekushtua au kukushangaza sana leo? What false or misleading statement was released today by Judge Mohamed Chande Othman’s Commission that has shocked or greatly surprised you?
Filipino
132
111
971
32.1K
Ayie Tag retweetledi
Larry Madowo
Larry Madowo@LarryMadowo·
Let’s talk about Tanzania
English
288
2.3K
8.5K
391.2K
Ayie Tag retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
MaCCM yasichojua ni kwamba lazima yatatakiwa jibu nani alitoa order ya SHOT TO KILL maana watu wangeweza pigwa risasi miguu Lakini nani alitoa order ya kuua na risasi za kichwa zikaanza pigwa Jana media zote zimetoa habari kwamba watu 500 waliuwawa kwenye uchaguzi Thamani ya maisha ya mtu ni kubwa sana machoni mwa watu wastaarabu hakuna namna watasikiliza upuuzi mwingine watataka kujua kwanza nani alikuwa anaua watu Hata kama kungekuwa na ushahidi wa silaha lazima jibu la nani alitoa order ya kuua ijulikane Hoi video ya Nyalandu imetusaidia sana
Sky News@SkyNews

@BarbaraGSerra: "You may call it rescuing the day, but I go back to my question, was the government responsible for the shooting and killing of around 500 protesters?" Ambassador Lazaro Nyalandu, senior advisor to Tanzanian president Samia Suluhu Hassa, responds to claims security forces killed hundreds of people following Tanzania's widely disputed election in 2025. 🌍 trib.al/zff6Z7W

Indonesia
5
16
71
4.2K
Ayie Tag retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Wahuni wameteka nchi
Indonesia
3
56
221
3.6K
Ayie Tag retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Huyu aliyebeba bendera yetu ni Daniel aka Lissu wa Kitaa. Alipigwa risasi akauwawa akiwa anadai uadilifu wa bendera yetu. Mdogo wake pia aliuwawa. Samia atalipia haya mauwaji ya halaiki. Sisi hatuko bound na blah blah za Chande aka Kiande. RIP Daniel aka Lissu wa Kitaa!!
Tito Magoti tweet media
Indonesia
27
469
2.1K
28.5K
Ayie Tag retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
UKIWA MUONGO UWE NA KUMBUKUMBU Lazaro Nyalandu anasema tume ilitembelea familia zaidi ya 1323 za watu waliouliwa ndugu zao na kuwahoji! Kama waliokufa mnasema ni 500 Kwanini tena mnasema familia mlizotembelea za waliokufa ni zaidi ya 1300+, how…? Damu za Watanganyika zinawalilia mpaka wanachanganyikiwa wanatoa siri na bado mpaka mtasema yote tu ni swala la muda.
Indonesia
12
77
243
5.8K
Ayie Tag retweetledi
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
Chande anakuwa kwenye Tume za kuchunguza matukio ya nchi za watu ambazo yeye sio raia wa nchi hizo, Sasa kwanini na yeye hakuona umuhimu wa kupata mtu ambaye sio raia wa Tz kuchunguza ya TZ? Mnatuletea ujinga?, Sisi sio watoto! Kifuatacho ITV “IGIZO” Wakuu njaa mbaya sana!!
Indonesia
29
208
973
21.1K
Ayie Tag retweetledi
Baba Mwita
Baba Mwita@BabaMwita·
Kwa sheria za nchi hii, kazi ya kufanya UCHUNGUZI/UPELELEZI wa jinai ni ya Jeshi la Polisi. Ila, kwa kuwa jeshi hili ndilo MTUHUMIWA wa #MO29, na kwa kutambua MGONGANO WA KIMASLAHI (conflict of interest), sheria ikaelekeza iundwe TUME ya pembeni kufanya uchunguzi wa tukio hili. Cha kushangaza, mkuu wa Tume ambaye si tu ni mwanasheria, bali ni Jaji mstaafu, anachunguza halafu anasema, anaiachia Serikali ichunguze kupitia vyombo vyake vya uchunguzi (ambalo ni jeshi la Polisi), ambaye ndiye anatuhumiwa kuua raia!
Indonesia
12
68
304
8.1K
Ayie Tag retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Kwa mujibu wa JAJI KYANDE ni kwamba Waandamanaji walipata mafunzo na walilipwa. Nimemkumbuka ndugu MASTA TINDWA (R.I.P) aliefuatwa nyumbani na Kupigwa risasi hadi kufariki. Usiku wa jana NYALANDU kahojiwa na Sky news ya uingereza anaulizwa "nani alitoa amri ya kuuwa?" Anasema Askari walienda kutuliza wananchi ambao walikuwa wanauwana wao kwa wao. Ikumbukwe kabla ya mauwaji yote kuendelea "IGP WAMBURA" Alitoka na press iliyoruka live akiwataka wananchi waingie kulala saa 12 jioni, na kwamba wana "KAZI MAALUMU YA KUFANYA". Baada ya hapo watu walianza kupigwa risasi za vichwa sio tuu waandamanaji mpaka watu waliokuwa majumbani walifuatwa na kupigwa risasi za vichwa. Mtandao ukazimwa na baadhi ya maeneo umeme pia ukazimwa nchi ikaingia GIZANI kwa siku 6. Haya yote ushahidi upo na dunia inajua. Sasa endeleeni kuleta NGONJERA kwenye maisha ya watu, hakuna kitu kigumu kama kutetea UONGO. Leo mnasema watu walipanga haya maandamano nawalipata mafunzo na walilipwa, nafikiri mnatakiwa kutuambia ni wapi mafunzo yalifanyika? Pesa hizo ziliwafikiaje waandamanaji? Tume ilikuwa na MAJAJI wawili na IGP mstaafu ambae pia ni mwanasheria wote hawa ni wataalamu wa Sheria ila ukisikiliza Ripoti ni kama imeandikwa na Watoto wadogo wanaoanza kuota VUZI. TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA tweet media
Indonesia
19
100
539
20.5K
Ayie Tag retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
“Jaji KYANDE na kamati yake ilitembelea familia 1327 za watu waliokua wameuliwa au kupotea” @LazaroNyalandu asikika Sky News ya UINGEREZA jana usiku. wakati huohuo ripoti ya KYANDE inasema wameuliwa watu 518 au 818. REPOST 500 TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA tweet media
Indonesia
18
83
266
4.9K
Ayie Tag retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Ushahidi UPO na tunatamba nao. Repost 500 TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA tweet media
Filipino
5
128
524
5.7K
Ayie Tag retweetledi
Masoud Kipanya
Masoud Kipanya@masoudkipanya·
Katunix
Masoud Kipanya tweet media
Eesti
196
423
2.6K
45.7K
Ayie Tag retweetledi
Mwaura Robert
Mwaura Robert@MwauraRobert2·
Fully agreed. Samia is a criminal, period.
English
4
139
419
8K
Ayie Tag retweetledi
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Jana Taifa limebaki na KIDONDA, tena chenye USAHA mwingi…
Indonesia
48
215
1.2K
12.9K
Ayie Tag retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Huu utafiti unasema Chande ni muongo hakuna mwananchi mwenye imani na polisi
Think Different tweet media
HT
8
60
294
12K