MAPIGO chapa chapa

7.3K posts

MAPIGO chapa chapa

MAPIGO chapa chapa

@Mapgo_Tz

Hip Hop artist. Song Writer. Entrepreneur. view $ subscribe my YouTube channel link hpo chin.

Mwanza, Tanzania Beigetreten Ekim 2021
7.2K Folgt7.5K Follower
MAPIGO chapa chapa retweetet
S t e w a r d
S t e w a r d@madeinmusoma·
Ndipo pazia lote la siri likaporomoka. Binti akajua kuwa baba yake hakuwa yule aliyesimuliwa kwa miaka yote; alikuwa na familia nyingine, ndugu aliosema hana, na maisha aliyoyaficha kwa makusudi. Kifo chake kilikuwa mwisho wa uongo mrefu, lakini mwanzo wa ukweli mchungu. Moyo wa binti ukajaa maswali: Kwa nini alidanganya? Kwa nini aliwaacha? Kwa nini ukweli uje sasa? Hakupata majibu yote, isipokuwa kimya kizito. Akamtafuta mama yake kwa simu, sauti ikikatika kwa kilio. Mama alisikiliza bila kumkatiza, akavuta pumzi ndefu kisha akasema kwa utulivu uliojaa uchungu: “Mwanangu, si kila kilichofichwa ni kwa chuki, lakini kila uongo huumiza. Tusiruhusu yaliyopita yatunyang’anye kesho.” Maneno yale yakawa kama dawa, hayakuondoa maumivu, lakini yalipunguza uzito wake. Binti akaamua kusimama imara. Akaendelea na masomo yake, akiheshimu kumbukumbu ya baba yake bila kuishi ndani ya kivuli cha makosa yake. Akajifunza kwamba mapenzi bila ukweli ni mzigo, na siri huchelewesha amani lakini haziizuii milele. Mwishowe akakubali: kuna mambo hayabadiliki, lakini moyo wa binadamu una uwezo wa kusamehe, kujifunza, na kuanza upya. Na hapo hadithi ikafungwa kwa funzo moja kubwa—ukweli unaweza kuumiza, lakini huweka huru; na uhai unaendelea, hata baada ya maumivu makubwa. 💔
Filipino
3
3
35
4.7K
MAPIGO chapa chapa retweetet
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Hongera sana kaka. Wanangu turetweet yangu nidake hiyo simu ndio niongeze mawanda ya kutoa nondo kwa simu nyingi. Haters na wanangu sana. Turetweet hii nishinde sasa, hamnilipagi mjue🤣 Hii naiombeni. @Njiwa_Store
James Munisi@NjiwaFLow

💨 Noma sana nimefikisha followers 200,000 🙏 Leo tunatoa zawadi ya Xmas kwa quote au reply zitakayokuwa na retweet nyingi ziwe umeitag @Njiwa_Store Washindi watano 1: Samsung A06 64GB 2: Redmi Watch 5 Active 3: Redmi buds 6 play 4: Redmi buds 6 play 5: Redmi buds 6 play @grok utanitajia washindi baada ya masaa 48.

Filipino
22
614
485
46.1K
MAPIGO chapa chapa retweetet
Kamala Dickson
Kamala Dickson@ItsKamala·
1 Kama Mawaziri wasingetokana na wabunge tusingehitaji wabunge 10 wa Mh Raisi 2 Kila wilaya ingekuwa na mbunge mmoja tungekuwa na Wabunge 270+ 3 Tungeondoa Viti Maalum tungeondokana na kuudumia wabunge 110+ Tungepata bunge dogo lenye ufanisi na weledi na tukapunguza matumizi
Indonesia
25
51
417
11.7K
MAPIGO chapa chapa retweetet
Kamala Dickson
Kamala Dickson@ItsKamala·
Leo Nadhani wameongeza Majimbo mapya 8 ya Uchaguzi, Bunge letu lilikuwa na wabunge 397 maana yake tutakuwa na wabunge 405. Kwa hali ya Bunge letu je tunahitaji wabunge 405? Kwa lipi wanalochangia kwa Hii Nchi? Wazalendo tunapaswa kuangalia namna ya matumizi ya fedha zetu za Umma
Indonesia
59
129
751
50.4K
Hint
Hint@mysizzg·
Kuona Mbunye na Mtindi wa Martha pia kutazama mavideo yake akinajisi hekalu la Bwana ni tshs 56308 tu, pale fanvue😅😅😅🚮🚮
Indonesia
15
12
234
23K
MAPIGO chapa chapa retweetet
DevotaTweve
DevotaTweve@TweveDevota·
Tusisahau kuwaombea vijana wenzetu hawa.
DevotaTweve tweet mediaDevotaTweve tweet media
Indonesia
14
220
962
26.1K
MAPIGO chapa chapa retweetet
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
Chadema Tanzania tweet media
ZXX
6
168
779
20.1K
MAPIGO chapa chapa retweetet
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara) Mhe. @HecheJohn akiongoza shughuli ya kuchangisha fedha kusaidia operesheni #NoReformsNoElection mara baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Bukoba.
Chadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet media
Indonesia
6
80
503
11.9K
MAPIGO chapa chapa retweetet
John Pambalu
John Pambalu@John_Pambalu·
John Pambalu tweet media
ZXX
16
136
623
10.8K
MAPIGO chapa chapa retweetet
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
Katibu Mkuu wa Chama Mhe. @jjmnyika akizungumza na wanachi wa Bukoba Mjini, ikiwa ni mwendelezo wa operesheni #NoReformsNoElection Kanda ya Victoria.
Chadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet media
Indonesia
17
155
675
16.7K
MAPIGO chapa chapa retweetet
Pope Mwita I
Pope Mwita I@EJ_Mwita·
Wana-CCM mnaona wenzenu CHADEMA wanavyompigania MDUDE? Jiulize wewe na hicho chama chako leo ukipotea kama kuna atakae fungua DOMO. Kapotea CHONCHORIO, MNEC wa CCM-MARA, Lakini ni familia yake, ndugu na marafiki pekee ndio wanamuhangaikia. CHONCHORIO ni Mfanyabiashara na TAJIRI lakini nani anampigania? MDUDE hana kitu, SOKA hakuwa na kitu lakini wana-CHADEMA hawachoki kuwapigania. Labda ni wakati wa kurudi nyuma na kujiuliza, Likikutokea la kukutokea leo, NANI ATASIMAMA NA WEWE? Ikiwa Binti wa JPM anakwambia baada ya kifo cha baba yao majority waliitenga familia yao, ITAKUWA wewe kapuku mwenzangu 😊😊😊 Bora uwapiganie wanaoweza kukupigania ukikwama au kuanguka kesho. #Let’sTakeOurCountryBack #FreeTunduLissu #BringBackSoka #BringBackChonchorio #BringBackMdude
Indonesia
32
128
582
30.8K
MAPIGO chapa chapa retweetet
#Naythetrueboy
#Naythetrueboy@naythetrueboy·
Wana Haribu kwa Makusudi ili Kutisha wengine, Wanataka Kututoa Kwenye Vitu Vya Msingi Tuanze Kujadili Ujinga Wanao Utengeneza Wenyewe. Bora tunajua @TunduALissu Yupo Jela. But mpaka sasa Hatujui Alipo @mdudenyagali Tuendelee Kupambana Na Kupaza Sauti. #FreeMdude
Indonesia
26
335
1.4K
25.2K
MAPIGO chapa chapa retweetet
EZEKIAH JEREMIAH
EZEKIAH JEREMIAH@ezzy_wix·
Watu wa dar ukiwa mkoani kwenu wanajifanya wema sana utasikia "Mwanangu njoo dar utakula bata bill juu yangu we ndugu yangu bhana" Then paap!! Unapata safari ya kwenda dar unasema ngoja nimcheki Mwanangu alonambia nikija atanipeleka viwanja, wahuni hawashikagi konga kabisa. 😁🙌
Indonesia
3
2
5
455
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
Verse : (Wakazi) Nimesha kesha, usiku kama Popo, na Wapopo Sio Issue, Askari halali, Jenerali mpaka Corporal Tafuta fedha halali, “gettin’ bread”, tena Boflo All you MOFOs, steady hatin’, hoping for my DAWN-fall I mean “down”, kwenye game, I’m in now Tuliyopitia, we persevered, Thank God, Amina Waliotangulia, “Innah lillahi wa innah Ilayhi rajiun” Hii Safari tunafatana kama July na June But, who was there for me?! Only God, homie Nilipotafuta sikuchoka, hoping siku za usoni Nitapata, kwenye hustle, naweka mbali soni Unknowing, Mungu kanipa Utakaso, hamnioni Unadhani nakuchukia? Mi sina issue we Beberu wa KISIMANI, so I, wish you WELL Wish you Health, Wealth, fanaka na mafanikio Andy Music tune, Wakazi na Jide, kwa kiitikio
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader tweet media
Filipino
11
14
91
4.1K
Kentsuh Wrudate
Kentsuh Wrudate@KWrudate·
@Mapgo_Tz @FatmahShokat Hili jamaa linakuja kuambia dem yake anyoe mbele ya umati. Hayo mambo malizaneni hukohuko faragha.. sisi hatutak kujua kama kanyoa au lah.. the fuck!
Indonesia
1
0
0
112